Is it true that ATLC has no passengers to carry and has assorted to transporting meat?

Is it true that ATLC has no passengers to carry and has assorted to transporting meat?

THE NYAMA AIRLINES..... ..... The only only one I bet on the planet
 
Siku hizi hata husikii tena juu ya DREAMLINER sijui imekwenda CHINA haijarudi!!!! Mwenye taarifa ya DREAMLINER tafadhali atujuze kwani hata pale JNIA ilipokuwa inapark haionekani tena. Wananchi tuna haki ya kujua kwani hela yetu nyingi sana imetumika kununua lile dege!
Usiwe na wasiwasi kakangu. Drimulaina nayo nayo inatumika kusafirisha kinyesi cha punda kwa ajili ya kutengeneza mbolea huko kigoma.
 
Nenda flightradar uangalie..hizo airbus zinapiga mzgo kila Day kama zinaenda entebe na lusaka kufwata nyama..wabunge wanajiongelesha mambo hawajui
Screenshot_20190406-152055.jpg
Screenshot_20190406-152012.jpg
Screenshot_20190406-152003.jpg
Screenshot_20190406-151950.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwhyo hyo mbunge kuongelea hilo swala tz one hajui kitu wewe ndio unajuwa zaidi...unatuletea vitu vya kijinga hapa..kwhyo nyinyi mnajua kuliko huyo mbunge...bwahahaaa
 
Hizo taarifa hazina uthibitisho... taarifa zilizopo ni kwamba hatuna taarifa zake...


Cc: mahondaw
 
Is it true that ATLC has no passengers to carry and has assorted to transporting meat? Watz nataka jibu.

====

“Airbus iliyokuja juzi shughuli zote zilisimama, leo hatuelewi kwamba hadi sasa imezalisha shilingi ngapi? Zipo taarifa inaonekana inabeba nyama kutoka Mwanza, tunataka tuambiwe kwa sababu
zimenunuliwa na fedha za Watanzania."- Mbunge Devota
Minja akihoji ilipo Airbus ya ATCL
View attachment 1063874

Huelewi unataka uwe uaambiwa leo imepakia abilia wangapi think big na sio kizembe hivyo
Fatilia info b4 kuleta huku


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom