Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe na wasiwasi kakangu. Drimulaina nayo nayo inatumika kusafirisha kinyesi cha punda kwa ajili ya kutengeneza mbolea huko kigoma.Siku hizi hata husikii tena juu ya DREAMLINER sijui imekwenda CHINA haijarudi!!!! Mwenye taarifa ya DREAMLINER tafadhali atujuze kwani hata pale JNIA ilipokuwa inapark haionekani tena. Wananchi tuna haki ya kujua kwani hela yetu nyingi sana imetumika kununua lile dege!
DuhUsiwe na wasiwasi kakangu. Drimulaina nayo nayo inatumika kusafirisha kinyesi cha punda kwa ajili ya kutengeneza mbolea huko kigoma.
Nenda website ya atcl jaribu kufanya booking ya airbus ya kesho, uone kama utapata nafasi
Last year atcl pekee imebeba pax 500000 ndege hazitoshi nyie pigeni kelele kama wendawazimu...route zinaongezwa kila siku ,Mumbai,Guangzhou, Bangkok,Johannesburg soon
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda website ya atcl jaribu kufanya booking ya airbus ya kesho, uone kama utapata nafasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Last year atcl pekee imebeba pax 500000 ndege hazitoshi nyie pigeni kelele kama wendawazimu...route zinaongezwa kila siku ,Mumbai,Guangzhou, Bangkok,Johannesburg soon
Sent using Jamii Forums mobile app
exactlyHehehehe!!! ila nahisi huruma na huzuni, kwa kweli Magufuli anapambana sana na ana nia njema, ila itakua aidha hashauriwi ipasavyo au hashauriki, anafanya kimabavu.
Is it true that ATLC has no passengers to carry and has assorted to transporting meat? Watz nataka jibu.
====
“Airbus iliyokuja juzi shughuli zote zilisimama, leo hatuelewi kwamba hadi sasa imezalisha shilingi ngapi? Zipo taarifa inaonekana inabeba nyama kutoka Mwanza, tunataka tuambiwe kwa sababu
zimenunuliwa na fedha za Watanzania."- Mbunge Devota
Minja akihoji ilipo Airbus ya ATCL
View attachment 1063874
Tunaopanda ndege tunaona ndege hazitoshi, wasiopanda ndege wanasema ndege hazina abiria
Sent using Jamii Forums mobile app
Huelewi unataka uwe uaambiwa leo imepakia abilia wangapi think big na sio kizembe hivyo
Fatilia info b4 kuleta huku
Sent using Jamii Forums mobile app