Kisha wapate faida gani?..mimi siamini hii habari ya "usalama wa taifa."
..nadhani ni wingu tu limetengezwa ili kuwatia unyonge na kuwakatisha tamaa waTz.
cc Nyani Ngabu
Mlitaka corona iwe handle vp?Sikubaliani na Magufuli anavyo handle corona au kutoshiriki mikutano na viongozi wenzie, hoja yangu ni mazingira ambayo aliko Magufuli yanamfanya ashindwe kujadiliana nao . Rais wa nchi hawezi fanya mikutano kwa njia skype, its not safe to national security, skype tunafanya sisi ambao hatuna impacts yeyote kwa Taifa. Zoom inategemea inategemea na system wanayotumia wote ni cloud based system which you can book voice/video conference in the system and share a link to President, hapa hatujui kama invitations ilitumwa au haukutumwa kwenda kwake, au hawana hii system ni kumlaumu bure or still organizer wa hiyo meeting angeweza to invite Magufuli through his mobile number ,so inategemea na system wanayotumia .
..mimi siamini hii habari ya "usalama wa taifa."
..nadhani ni wingu tu limetengezwa ili kuwatia unyonge na kuwakatisha tamaa waTz.
cc Nyani Ngabu
What the way forward?
EA si ndiyo kitovu cha Kiswahili? Lugha pekee siyo tatizo,angeongea Kiswenglisukuma au akaweka mkalimani.Ukweli nikuwa mzee kingereza ajui.
Ukweli nikuwa mzee kingereza ajui.
..first of all we need to change our mindset.
..solution ni kuchagua mwingine oct 2020.
..pia tuchague wabunge wengine ambao wanatetea nchi, na wanaisimamia serikali kwelikweli.
..hatuwezi kuwa na Raisi au chama tawala kinachodharau wapiga kura.
..haya mambo yataisha siku Mtanzania akiacha kujiona ni mnyonge mbele ya Raisi, na chama tawala, na atakapotambua nguvu na thamani ya kura yake.
Kuna zengwe tunatengenezewa lbdaKis
Kisha wapate faida gani?
Hivi kwa Maisha ya mtanzania umpige lockdownTatizo la JPM sio language barrier. Yeye hakubalian na ugonjwa huu na jinsi ya kukabiliana nao.
Hakubaliana na Lockdown either partially au fulu, na kila kitu kwake anaona kuwa anahujumiwa.
Vipimo ambavyo viliidhinishwa na WHO yeye anasema vina matatizo etc.
Na hata Zambia wakivyofunga mipaka yeye anasema wanamhujumu na wanatumiwa na mabeberu. Kenya wamefunga nipaka ila lazima ata revenge just wait and see.
In short jamaa haeleweki.
Na ukisema haogopi ugonjwa sio kweli kwa sababu yeye kaenda kujificha.
Mbona unaongelea "lock down" always?Hivi kwa Maisha ya mtanzania umpige lockdown
Unafikiri wataweza kuishi
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kukanusha Unyonge na kuwa kama Watanzania ni wanyonge wa miaka inayokaribia 60 na wapi tayari kubakia kwenye unyonge,miye simo...first of all we need to change our mindset.
..solution ni kuchagua mwingine oct 2020.
..pia tuchague wabunge wengine ambao wanatetea nchi, na wanaisimamia serikali kwelikweli.
..hatuwezi kuwa na Raisi au chama tawala kinachodharau wapiga kura.
..haya mambo yataisha siku Mtanzania akiacha kujiona ni mnyonge mbele ya Raisi, na chama tawala, na atakapotambua nguvu na thamani ya kura yake.
Wanasiasa wote wa vyama vyote wanaotrend sasa hivi wamefeli pakubwa.kuanza upya kwa kila chama au vianziahe vipya.
Sasa kama hao WHO wanakuambia chanjo inawezekana kupatikana baada ya mwaka mmjaSweden pia hawajachukua hatua za kufungia watu ndani maisha yanaendelea, vifo vipo, hii corona naifananisha na msumeno inakata nyuma na mbele.
Tuendelee kungoja ila muhimu kujikinga na kuwakinga wengine, sio lazima kuiga kila kifanyachwo na majirani.
Naamini hatutaathirika pakubwa.
Niliwahi kukanusha Unyonge na kuwa kama Watanzania ni wanyonge wa miaka inayokaribia 60 na wapi tayari kubakia kwenye unyonge,miye simo.
Nikatahadharisha ya kuwa sipo tayari kuwa mnyonge-Mimi si Mnyonge.
Mbona unaongelea "lock down" always?
Hata hao wanaoshauri wala hawajasema kwamba nilazima tucopy na kupaste aina hiyo ya lock down waliyoifanya nchi majirani.
Ukweli ni kwamba Wanashauri na Walianza kushauri toka siku nyingi hatua madhubuti hazikuchukuliwa.
Hatua gani ?
Sent using Jamii Forums mobile app