Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Angetulia zake tulii kama hayupo....Kukaa kimya ni jibu tosha, hata kama anaumia angejililia chumbani akitoka nje full masmile...lakini hivi anavyowafatilia ndo anajishusha....

Angefanya yake tuu....
Alikuwa anatishia kujamba kumbe anaumwa tumbo ha ha ha haya mambo ya kumtishia tishia mtu ntakuacha siyataki mie, unatishia af jamaa anasepa kweli huku nyuma nabaki nalia tu kamasi znantoka kama kondoo akaaa atajutraaa
 
Hahahaaaa yaan nikiingiaga insta siishi kucheka team zari inanifurahishaga jaman uwii.....iyoo ya miguu ka fagio nlichekaa mm nusu nizimie
Wenyewe wanajiita teamnostress na kweli hawana stress ila hawa wa wema watakufa siku sio zao
 
Ha ha ha wakati madam ndo kamfollow Ivan, wanakomaa kumpigia debe sijui hata kama jamaa anamjua wema na sijui kama anaelewa kiswahili cha hao teamushuzzzz
 
Sijui ni kwanini, yaani ni kama nimepigwa shoti! Kelele zote zile za Bring Back Our Wema mwishowe wanaishia kumpeleka mnadani!!! Kwahiyo wakisikia Wema kamegwa na Ivan, watashangilia "ehehehehehehehee, Wema wetu kato.mbwa na Ivan...!" omg...

they are useless , disgraced, bit*ches..
 

Ha ha ha eti bwana wao, kumbe bwana wa madam ni bwana wa kikosi ha ha ha makubwa haya
 
Tangu niliposikia ile clip mama wema anatukana live kama shankupe la rojojo. I was very sorry for DIAMOND.

NI BORA WALIVYOACHANA. NAUHAKIKA DIAMOND ALIWAVUMILIA SANA...SANA...SAANAAA
 
hahahaha Mwl hiyo ya kumwaga mboga na kutoboa sufuria huwa inaniacha hoi sana!

Kuna wanawake wanapenda kujidhalilisha Wema anaongoza! hayo anayo yafanya ni sawa na kujiuza kabisa!

Ye haoni kama ni kujidhalilisha ila ana make headlines si unajua attention seeker yule
 
Sijui ni kwanini, yaani ni kama nimepigwa shoti! Kelele zote zile za Bring Back Our Wema mwishowe wanaishia kumpeleka mnadani!!! Kwahiyo wakisikia Wema kamegwa na Ivan, watashangilia "ehehehehehehehee, Wema wetu kato.mbwa na Ivan...!" omg...
Ha ha ha papuchi ipo mnadani tunangoja ichukuliwe tushangilie...
 

Mother of Guadalupe!
 
Huyu kashapotea mda wajinga wenzie nao hawajielewi atakumbuka shuka kumekucha
Na alivo na nyota yan akifungua biashara akauza hata yale machupi anavaaga mbuta nanga hakika atapiga hela, ila kwa kuwa uchumi anao ngoja asiukalie auuze kwanza
 
Madame wema punguza show off ztakupa stress utajkuta umelala mtaloni
 
Ukishangaa ya michirizi utashangaa ya ---- kudondoka!!
 
Kweli baadhi ya mabinti TZ mnaendekeza njaa na Umalaya. Now watu wa UG na KE wanawashangaa tu huko, mnapong'ang'aniza mwenzenu akaka....m...liwe. Na kwa kichwa chake soon yatatokea, FULL UMALAYA na VISASI VYA KUKOMOA KUTUMIA NYUCHI ZENU.

Ptuuuuuuu
Kwani umekula omo? mbona unamwagika povu bila mpangilio? hebu relax af uje tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…