Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Is Zari and Diamond Platinumz project continues? What about Wema?

Angetulia zake tulii kama hayupo....Kukaa kimya ni jibu tosha, hata kama anaumia angejililia chumbani akitoka nje full masmile...lakini hivi anavyowafatilia ndo anajishusha....

Angefanya yake tuu....
Alikuwa anatishia kujamba kumbe anaumwa tumbo ha ha ha haya mambo ya kumtishia tishia mtu ntakuacha siyataki mie, unatishia af jamaa anasepa kweli huku nyuma nabaki nalia tu kamasi znantoka kama kondoo akaaa atajutraaa
 
Hahahaaaa yaan nikiingiaga insta siishi kucheka team zari inanifurahishaga jaman uwii.....iyoo ya miguu ka fagio nlichekaa mm nusu nizimie
Wenyewe wanajiita teamnostress na kweli hawana stress ila hawa wa wema watakufa siku sio zao
 
Nlichekaa walivokua wanamtetea boss wao wema et ivan ndio alianza kum follow yye wema ndio aka mfollow back nlichekaa plesha zna washuka et wanamwambia zari nyonyo limelala ka ndala loh bora mwenzie kazaa kuliko yy wema atujui ka anakizaz au vp na mikorogo yake
Ha ha ha wakati madam ndo kamfollow Ivan, wanakomaa kumpigia debe sijui hata kama jamaa anamjua wema na sijui kama anaelewa kiswahili cha hao teamushuzzzz
 
Sijui ni kwanini, yaani ni kama nimepigwa shoti! Kelele zote zile za Bring Back Our Wema mwishowe wanaishia kumpeleka mnadani!!! Kwahiyo wakisikia Wema kamegwa na Ivan, watashangilia "ehehehehehehehee, Wema wetu kato.mbwa na Ivan...!" omg...

they are useless , disgraced, bit*ches..
 
sijapata kuona watu wasiojielewa na wanafki,chakubimbi km tim wema
yaani wao si ndo walianza na bringback their wema
so whaaaaaasttttt
hawajielewi jappoooooo ht ile akili ya kuvaa chupi hawana hawa misukule
walimtukana peny kachakua bwana wao
leo wao wanataka waibe
hawana lolllloooote
tuzo zimewauma si waseme truuuuuuuu
ndo bas tena mshaharibuuuuuuj
daimond live ur life now
stey far with dhis drama kwini

Ha ha ha eti bwana wao, kumbe bwana wa madam ni bwana wa kikosi ha ha ha makubwa haya
 
Tangu niliposikia ile clip mama wema anatukana live kama shankupe la rojojo. I was very sorry for DIAMOND.

NI BORA WALIVYOACHANA. NAUHAKIKA DIAMOND ALIWAVUMILIA SANA...SANA...SAANAAA
 
Sijui ni kwanini, yaani ni kama nimepigwa shoti! Kelele zote zile za Bring Back Our Wema mwishowe wanaishia kumpeleka mnadani!!! Kwahiyo wakisikia Wema kamegwa na Ivan, watashangilia "ehehehehehehehee, Wema wetu kato.mbwa na Ivan...!" omg...
Ha ha ha papuchi ipo mnadani tunangoja ichukuliwe tushangilie...
 
Le Mbebez alisema hapa baada ya ile issue ya dougiemasta...kuwa hawa wenye team wanawanunuliaga simu na bundle wanawawekea ili watukane watu..Sa sijui ya kweli manake yule Mbaba nae wasiwasi tuu

Halafu atakuwa anaikomoa papuchi yake kwa kumpa kila MTU aisugue.....

Mother of Guadalupe!
 
Huyu kashapotea mda wajinga wenzie nao hawajielewi atakumbuka shuka kumekucha
Na alivo na nyota yan akifungua biashara akauza hata yale machupi anavaaga mbuta nanga hakika atapiga hela, ila kwa kuwa uchumi anao ngoja asiukalie auuze kwanza
 
Madame wema punguza show off ztakupa stress utajkuta umelala mtaloni
 
Ukishangaa ya michirizi utashangaa ya ---- kudondoka!!
 
Kweli baadhi ya mabinti TZ mnaendekeza njaa na Umalaya. Now watu wa UG na KE wanawashangaa tu huko, mnapong'ang'aniza mwenzenu akaka....m...liwe. Na kwa kichwa chake soon yatatokea, FULL UMALAYA na VISASI VYA KUKOMOA KUTUMIA NYUCHI ZENU.

Ptuuuuuuu
Kwani umekula omo? mbona unamwagika povu bila mpangilio? hebu relax af uje tena
 
Back
Top Bottom