Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Alikuwa anatishia kujamba kumbe anaumwa tumbo ha ha ha haya mambo ya kumtishia tishia mtu ntakuacha siyataki mie, unatishia af jamaa anasepa kweli huku nyuma nabaki nalia tu kamasi znantoka kama kondoo akaaa atajutraaaAngetulia zake tulii kama hayupo....Kukaa kimya ni jibu tosha, hata kama anaumia angejililia chumbani akitoka nje full masmile...lakini hivi anavyowafatilia ndo anajishusha....
Angefanya yake tuu....