Ishara: Waliomhujumu Magufuli na Samia wameanza tena kumsumbua Samia. Tusikubali

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Sisi wataalamu wa kuyasoma matukio tumeamshwa tena ...na hatutaacha kuonya na kusema.

Wale wale waliowahi kuzandiki Serikali tena kipindi kile kile cha kuelekea uchaguzi wamerudi tena kwa style ile ile.

Waliowahi kumsema,Kumtweza na kumsingizia Hayati Magufuli wamerudi vile vile na sasa wanamsema Rais Samia. Wanamsingizia yale yale na wanatumia mbinu zile zile .

Kazi kwetu watanzania...tusikubali this time.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Waliowahi kumsema,Kumtweza na kumsingizia Hayati Magufuli wamerudi vile vile na sasa wanamsema Rais Samia.
wanamsingizia yale yale na wanatumia mbinu zile zile .
Kazi kwetu watanzania...tusikubali this time....

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!

View: https://youtu.be/muMuhQrt0Tg?si=sqYZKEpllYzjnCOO
 
mtu anayemuweka raisi samia na P.Magufuli kundi moja, hajui hata nini kilichoendelea na kinachoendelea nchi hii, kwanza P.Magufuli was a devoted Christian wakati raisi samia ni muslim …
 
Ningependa ku-like ila sasa sijui umemaanisha nini,,, kuona tu hayo majina, najua ni ardhi na mbingu ila sasa wewe, mbingu ni yupi na ardhi ni yupi ndo ungefafanua kidogo
 
Sisi wataalamu wa kuyasoma matukio tumeamshwa tena ...na hatutaacha kuonya na kusema.

Wale wale waliowahi kuzandiki Serikali tena kipindi kile kile cha kuelekea uchaguzi wamerudi tena kwa style ile ile.

Waliowahi kumsema,Kumtweza na kumsingizia Hayati Magufuli wamerudi vile vile na sasa wanamsema Rais Samia. Wanamsingizia yale yale na wanatumia mbinu zile zile .

Kazi kwetu watanzania...tusikubali this time.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Kwa hiyo wewe Chawa umeibuka kwa slogan hii siyo?

Hao wazandiki Serikali imekuwa na makuntu kushughulikia wahalifu?

Embu tuacheni tusonge na No election, no... kwanza, mnataka kutupoteza uelekeo sasa.
 
Sisi wataalamu wa kuyasoma matukio tumeamshwa tena ...na hatutaacha kuonya na kusema.

Wale wale waliowahi kuzandiki Serikali tena kipindi kile kile cha kuelekea uchaguzi wamerudi tena kwa style ile ile.

Waliowahi kumsema,Kumtweza na kumsingizia Hayati Magufuli wamerudi vile vile na sasa wanamsema Rais Samia. Wanamsingizia yale yale na wanatumia mbinu zile zile .

Kazi kwetu watanzania...tusikubali this time.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Ccm daima Samia mitano
 
Kazi kwetu watanzaniGasewa...tusikubali this time.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Magufuli alikuwa ni muhalifu mwenye madaraka. Mama Samia alianza kwa kujitenga na uhalifuwa wa Magufuli, kwa kufuata ushauri wa watu waovu waliokuwa nyuma ya Magufuli, ameiga uchafu ule ule wa Magufuli. Ni ngumu kutawala kwa dhuluma. Subiri uone kitakachomkuta kwenye kupambania madaraka.
 
Mtoa mada unataka kusema kuwa hao wahujumu hayat rais JPM na mh rais SSH ni tofauti na wahujum rasilimali za umma au tutarajie wengne au ndo waliohoj dp world, ujenzi wa kiwanja kimataifa chato au wakosoaji wa uchaguzi wa 2020 na 2024.
Au wanawahujum kwa style ipi???
 
Sisi wataalamu wa kuyasoma matukio tumeamshwa tena ...na hatutaacha kuonya na kusema.

Wale wale waliowahi kuzandiki Serikali tena kipindi kile kile cha kuelekea uchaguzi wamerudi tena kwa style ile ile.

Waliowahi kumsema,Kumtweza na kumsingizia Hayati Magufuli wamerudi vile vile na sasa wanamsema Rais Samia. Wanamsingizia yale yale na wanatumia mbinu zile zile .

Kazi kwetu watanzania...tusikubali this time.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!

Kwani haiwezekani naye alishiriki kumhujumu ili ashike kiti maana kwa uroho alio nao wa kiti hatuamini kwamba alikalia kwa bahati nasibu.
 
Sisi wataalamu wa kuyasoma matukio tumeamshwa tena ...na hatutaacha kuonya na kusema.

Wale wale waliowahi kuzandiki Serikali tena kipindi kile kile cha kuelekea uchaguzi wamerudi tena kwa style ile ile.

Waliowahi kumsema,Kumtweza na kumsingizia Hayati Magufuli wamerudi vile vile na sasa wanamsema Rais Samia. Wanamsingizia yale yale na wanatumia mbinu zile zile .

Kazi kwetu watanzania...tusikubali this time.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!

View: https://web.facebook.com/reel/9703116549747895
 
Sisi wataalamu wa kuyasoma matukio tumeamshwa tena ...na hatutaacha kuonya na kusema.

Wale wale waliowahi kuzandiki Serikali tena kipindi kile kile cha kuelekea uchaguzi wamerudi tena kwa style ile ile.

Waliowahi kumsema,Kumtweza na kumsingizia Hayati Magufuli wamerudi vile vile na sasa wanamsema Rais Samia. Wanamsingizia yale yale na wanatumia mbinu zile zile .

Kazi kwetu watanzania...tusikubali this time.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Wamewatengeneza wenyewe waache wawatafune
 
Acheni utani basi,huyu mzanzibar lazima arudi kwao Kizimkazi,mnataka kusema Tanganyika yenye wakazi 60M+ hakuna mtanganyika wa kutuongoza Hadi tukodi mtu toka nchi nyingine,huu ni uhayawani
Nilishauri muda mrefu huyu Mama kukamatwa na kutiwa ndani kabla ya kutoroka nchi, inawezekanje mtu wa nje awe rais wetu? Ona madudu ayafanyayo mwanaye wa kiume.
 
Sisi wataalamu wa kuyasoma matukio tumeamshwa tena ...na hatutaacha kuonya na kusema.

Wale wale waliowahi kuzandiki Serikali tena kipindi kile kile cha kuelekea uchaguzi wamerudi tena kwa style ile ile.

Waliowahi kumsema,Kumtweza na kumsingizia Hayati Magufuli wamerudi vile vile na sasa wanamsema Rais Samia. Wanamsingizia yale yale na wanatumia mbinu zile zile .

Kazi kwetu watanzania...tusikubali this time.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Hao watu ni akina nani????
 
mtu anayemuweka raisi samia na P.Magufuli kundi moja, hajui hata nini kilichoendelea na kinachoendelea nchi hii, kwanza P.Magufuli was a devoted Christian wakati raisi samia ni muslim …
Nani kazungumzia udini?
 
Back
Top Bottom