Ishara: Waliomhujumu Magufuli na Samia wameanza tena kumsumbua Samia. Tusikubali

Ishara: Waliomhujumu Magufuli na Samia wameanza tena kumsumbua Samia. Tusikubali

Nawe unaakili unasema Samia alihujumiwa au anahujumiwa?

Huyu yete ni hujuma tosha.
 
jingalao, nani anamsumbua Samia na nguvu zote za dola alizo nazo? Labda ungesema yeye ndiye anasumbua wapinzani. Au kuna wanaomsumbua ndani ya chama chama chake?
Napita tu
 
mtu anayemuweka raisi samia na P.Magufuli kundi moja, hajui hata nini kilichoendelea na kinachoendelea nchi hii, kwanza P.Magufuli was a devoted Christian wakati raisi samia ni muslim …
Kabla ya Muislamu na Mkristu palikuwepo Himaya za Kiafrika Tanzania himaya hizo ziliridhia kuacha tamaduni zao na mifumo yao kwa ajili ustawi wa jamii.
Historia haiwapi wakristu wala waislamu chochote hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom