Ishara: Waliomhujumu Magufuli na Samia wameanza tena kumsumbua Samia. Tusikubali

Bora wamseme tu.maana Toka arithi hakuna Cha maana alichofanya.Ukiondoa safari ambazo hazina tija kwetu hakuna kitu alichofanya Cha manufaa kwetu
 
Sisi wataalamu wa kuyasoma matukio tumeamshwa tena ...na hatutaacha kuonya na kusema.

Wale wale waliowahi kuzandiki Serikali tena kipindi kile kile cha kuelekea uchaguzi wamerudi tena kwa style ile ile.

Waliowahi kumsema,Kumtweza na kumsingizia Hayati Magufuli wamerudi vile vile na sasa wanamsema Rais Samia. Wanamsingizia yale yale na wanatumia mbinu zile zile .

Kazi kwetu watanzania...tusikubali this time.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Be thoughtful brother.. Na usijitie upofu wa mbuni... Wewe kabisa unaona mambo yako sawa? Tuachane kabisa na uvyama tusimame na Tanganyika! Unadhani hakuna mushkeli mkubwa mahali?
 
Shida inaanzia pale mchakato wa kuipata katiba mpya ulivyosalitiwa.
 
Be thoughtful brother.. Na usijitie upofu wa mbuni... Wewe kabisa unaona mambo yako sawa? Tuachane kabisa na uvyama tusimame na Tanganyika! Unadhani hakuna mushkeli mkubwa mahali?
Wengine wanatazama mbolishibe tu.
 
mtu anayemuweka raisi samia na P.Magufuli kundi moja, hajui hata nini kilichoendelea na kinachoendelea nchi hii, kwanza P.Magufuli was a devoted Christian wakati raisi samia ni muslim …
Comments reserved
 
Sisi wataalamu wa kuyasoma matukio tumeamshwa tena ...na hatutaacha kuonya na kusema.

Wale wale waliowahi kuzandiki Serikali tena kipindi kile kile cha kuelekea uchaguzi wamerudi tena kwa style ile ile.

Waliowahi kumsema,Kumtweza na kumsingizia Hayati Magufuli wamerudi vile vile na sasa wanamsema Rais Samia. Wanamsingizia yale yale na wanatumia mbinu zile zile .

Kazi kwetu watanzania...tusikubali this time.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
polepole ametoa hoja kwamba, uteuzi ulikuwa batili, ninyi mnakwepa hoja. hebu jibuni hoja basi.
 
Oktoba tukatiki ili kuwaonesha Safari ipo pale pale...
 
Back
Top Bottom