Ishawahi kukutokea umepata aibu wakati wa mechi?

Hakuna aibu kubwa Kwa sisi Me kama kuingia Kwenye mechi na kitu kikagoma kusimama

Binti wa watu anaamua kukufanyia michezo yote ikiwemo kuimba na maiki kunyonya vichuchu kifuani lakini Mnala wa Babeli hata kusoma network hakuna

Ndiyo pale unagundua kumbe tayari una umri wa Mzee Grahams, Wazee wa Mwaka 47 πŸ˜œπŸ™Œ
 
Aibu aibu yako hata wewe πŸ˜‚
 
mziki ulikua mkuuubwa sasa nisijue kama wimbo hua unakata,si nkajiachia kujamba aseeee
Inaonekana hamkuzoeana na huyo boyfriend wako

Kwenye maisha yangu yote ya kudate, ni wapenzi wangu wawili pekee ambao wamewahi kupumua hivyo tukiwa pamoja

Wengine wote, nahisi huwa wanafanya hivyo wakienda washroom

Inaonekana ni jambo la aibu kujamba mbele ya mpenzi wako, japo Kwa wenzetu ngozi nyeupe hata sio ishu sana
 
unalosema ni kweli,,ila babuuuu kuna ile ya nguvu yaani unaelewa naposema nguvuu,wapangaji hawakuepo barazani tu kwakweli πŸ™ŒπŸΎ
 
unalosema ni kweli,,ila babuuuu kuna ile ya nguvu yaani unaelewa naposema nguvuu,wapangaji hawakuepo barazani tu kwakweli πŸ™ŒπŸΎ
Hahahaha.........hiyo ni too much Mjukuu, ila seems hukutegemea kama muziki ungeisha ghafla

Mkiwa mmezoea na mpenzi wako, ni jambo la kawaida japo ni mara chache sana wapenzi kujamba wakiwa pamoja 😜
 
Hahahaha.........hiyo ni too much Mjukuu, ila seems hukutegemea kama muziki ungeisha ghafla

Mkiwa mmezoea na mpenzi wako, ni jambo la kawaida japo ni mara chache sana wapenzi kujamba wakiwa pamoja 😜
kweli,,ila ile mbuuuuuuuuuu ya mziki kutoka kuzima gafla,kwanza alishtuka mkaka wawatuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
 
kweli,,ila ile mbuuuuuuuuuu ya mziki kutoka kuzima gafla,kwanza alishtuka mkaka wawatuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
Hahaha...........ila hayo mambo yanashangaza sana japo huongeza sana bond kati ya Wapenzi

Kuna Siku nilikuwa namuuliza, hivi katika mahusiano yako ya nyuma umewahi kufanya hivyo

Akasema, "nasikia utimilifu kwako, najihisi kukuzoea na kuhisi amani zaidi nikiwa na wewe kuliko dating zangu zote za nyuma"

Huenda kwa Uzee huu ameona ni kama Babu yake tu, kwahiyo aliamua kujiachia tu 😜
 
Aaaah tokapa ,, unazeeka vibaya sasa we babu kijana
 
hadi leo hii nipo makini sana kwenye hilo swala aseee,labda ile ya chini chini ndo naitoa πŸ™ŒπŸΎπŸ˜‚
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒLeo ndiyo wakati wa kujua mengi uliyonayo, hebu mwambie Waiter akuongezee Chupa nyingine Kwa bill yangu

Mwambie na mtu wa Jikoni akuchomee Kuku 😜
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒLeo ndiyo wakati wa kujua mengi uliyonayo, hebu mwambie Waiter akuongezee Chupa nyingine Kwa bill yangu

Mwambie na mtu wa Jikoni akuchomee Kuku 😜
Tokapa,,nimeghairi sasaπŸ€£πŸ€£πŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…