Ishawahi kukutokea umepata aibu wakati wa mechi?

Ishawahi kukutokea umepata aibu wakati wa mechi?

Guys me and ke je ni aibu gani ishawai kukuta wakati wa mechi ukavunga tu ila uliona aibu yaani kifupi ni tukio lilokupa aibu je ni lipi?

Mimi nilikuwa sijui matumiz ya shanga manzi ndio ikanielekeza niliona jau ila kutokana na asili yetu shanga kwa wanawake hawavai
Alikuelekezaje?

Mimi kwangu huo ni uchafu.
 
Ukiendelea kutucheka Wazee hatuchelewi kutoa lazi ujue ๐Ÿ˜…

Cheza na vyote lakini kushindwa kusimamisha, ni aibu ambayo haizoeleki

Ndiyo maana Wazee tunakula kula mizizi kujiweka sawa ๐Ÿค—
Mtakufa mapema mtuachie sasa
 
Guys me and ke je ni aibu gani ishawai kukuta wakati wa mechi ukavunga tu ila uliona aibu yaani kifupi ni tukio lilokupa aibu je ni lipi?

Mimi nilikuwa sijui matumiz ya shanga manzi ndio ikanielekeza niliona jau ila kutokana na asili yetu shanga kwa wanawake hawavai
Ya hiyo sk sintoisahau, nilitamani niifunge POP iligoma kusimama kabisaa kwenye ulingo. Nikajitetea sijala
 
Niliichapa vibaya mno mpaka mtoto akaanza kulalamika ya kwamba nimemuumiza!, mpaka nafsi yangu ikaanza kuniambia "Babu haya ni mapenzi sio kilimo!".
Nilijisikia vibaya sana nikajiona mimi mshamba nisiejua mahaba!, kuanzia siku hiyo nikaanza kuichapa kisomi bila kutumia nguvu, kistaarabu na kitaalamu...
Mwanamke haonewi huruma kwenye tendo.

Ukicheza vizuri na hisia zake lazima ata submit
 
Tokapa,,nimeghairi sasa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿƒ๐Ÿพโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿพโ€โ™€๏ธ
Hahaha..........kuwa na Imani na Wazee, hii ni Siri ya Babu na Mjukuu tu๐Ÿค—
 
Niliichapa vibaya mno mpaka mtoto akaanza kulalamika ya kwamba nimemuumiza!, mpaka nafsi yangu ikaanza kuniambia "Babu haya ni mapenzi sio kilimo!".
Nilijisikia vibaya sana nikajiona mimi mshamba nisiejua mahaba!, kuanzia siku hiyo nikaanza kuichapa kisomi bila kutumia nguvu, kistaarabu na kitaalamu...
Ukajua unaikomoa๐Ÿ˜‚
 
Hakuna aibu kubwa Kwa sisi Me kama kuingia Kwenye mechi na kitu kikagoma kusimama

Binti wa watu anaamua kukufanyia michezo yote ikiwemo kuimba na maiki kunyonya vichuchu kifuani lakini Mnala wa Babeli hata kusoma network hakuna

Ndiyo pale unagundua kumbe tayari una umri wa Mzee Grahams, Wazee wa Mwaka 47 ๐Ÿ˜œ๐Ÿ™Œ
Tobaaaaah!! Hivi kumbe ni kweli kuna wanaume wananyonywa vichuchuu? Ni rijali kabisaa?
Mabwaku, bas kuna watu wanapitia mengi, Lol
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom