Ishawahi kukutokea umepata aibu wakati wa mechi?

Alikuelekezaje?

Mimi kwangu huo ni uchafu.
 
Ukiendelea kutucheka Wazee hatuchelewi kutoa lazi ujue πŸ˜…

Cheza na vyote lakini kushindwa kusimamisha, ni aibu ambayo haizoeleki

Ndiyo maana Wazee tunakula kula mizizi kujiweka sawa πŸ€—
Mtakufa mapema mtuachie sasa
 
Ya hiyo sk sintoisahau, nilitamani niifunge POP iligoma kusimama kabisaa kwenye ulingo. Nikajitetea sijala
 
Mwanamke haonewi huruma kwenye tendo.

Ukicheza vizuri na hisia zake lazima ata submit
 
Tokapa,,nimeghairi sasaπŸ€£πŸ€£πŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈ
Hahaha..........kuwa na Imani na Wazee, hii ni Siri ya Babu na Mjukuu tuπŸ€—
 
Ukajua unaikomoaπŸ˜‚
 
Tobaaaaah!! Hivi kumbe ni kweli kuna wanaume wananyonywa vichuchuu? Ni rijali kabisaa?
Mabwaku, bas kuna watu wanapitia mengi, Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…