Ishmael alizaa Maseyidi (watoto) 12 ambao ndio Waarabu wa leo. Eneo lao la umiliki ni kuanzia Saudi Arabia kuelekea Ashuru na mashariki ya Misri

Ishmael hakuwa baba wa waarabu maana hakuwa mwarabu why?

Yakobo alizaa na mwanamke wa kimisri ambaye kwa mujibu wa vitabu misri ni mwana wa ham (ukoo wa jamii ya watu weusi) hivyo basi hata mtoto aliyezaliwa kutoka kwa ibrahimu ambaye nae race yake ina utata(si mwarabu si mzungu) hivyo ishmael lazima angekuwa Afro-Asiatic, mujue kuwa misri ya kale sio hii ya leo inayokaliwa na majizi mapandikizi kutoka uarabun, misri ya kale ilikuwa ardhi isiyo na watu weupe.

Hivyo basi mwana wa Yakobo si mwarabu na si baba wa waarabu na hakuitwa ishmael kwakua hana Asili wala , uhusika na watu wa Asia.

Qur'an imeharibu sana historia ya babu zetu kwa kuiba na kuweka ktk vitabu vyao vyenye stori za kubuni.

Someni vizuri na muelewe hizo dini tumepigwa, tumefundishwa vitu vingi vya uongo.

Mwarabu asili yake haihusiki na huyo ishmael wa mchongo, Yakobo hausiki na uzao wa waarabu wala jamii ya hao waisrael wa uongo hapo middle east.

Siku si nyingi mtakuja kugundua ushenzi wa hizi dini zilizoharibu mfumo wa maisha kwa kuwapandikiza uongo+chuki.
Hahahaaa!
JamiiForums1121301448.jpg
 
Lakini nchi tukufu haipo africa daa huyo mungu basi wa upendeleo
Africa tuna historia kubwa katika hizi dini.musa alizaliwa Africa,yusuphu aliishi Africa na wengineo.
Hata yesu alikuja Africa.
 
Nimekuelewa na nimesisimuliwa zaidi na upangiliaji mzuri wa maelezo Yako ndugu herriel, siku nyingine utusaidie kujua waebrania walianzia wapi kwa sababu kwa asili Abraham alitoka Iraq ,yaani uru ya ukaldayo ,kwa hivyo bila shaka alikuwa mwarabu je huyu mwebrania chimbuko lake ni wapi?
 
Chotara aliyetokaa na Cheusi(Mkushi wa Misri) na Mmedi wa Uru wa Ukaldayo ndo Mwarabu Ishmaeli
Ukaldayo nu miliki ya falme mbali mbali zilizoanguka kwa babeli zikawepo Uamedi na uajemi nk hii Waarabu ni nini? Falme au kabila? au ni koo tu
 
Ishmael ni Mhebrania, alizaliwa canaan, lugha yake ya kwanza kabisa kabla kujua kiarabu ni Kihebrania!

Na huko uarabuni alipoenda alikuta kuna waarabu tayari wanaishi huko
 
Ibrahim hakumpa urithi wa ardhi ishamael kwa bahati mbaya hapana, ni maelekezo kutoka kwa Mungu.
Sara alipomuambua mtoto wangu hatarithi na mtoto wa mjakaza , mfukuze, neno hilo Ibrahim hakupokea vizuri alista, ndipo Mungu akamuambia Ibrahim,usione vibaya ,msikilize mkeo.
Ishamael alifungashiwa pamoja na mama yake vitu mbalimbali wakaondoka nyumbani kwa Ibrahim, urithi wa mali walipewa.
Hiki ulichoandika mleta uzi kakiruka kwa makusudi halaf kaandika mawazo yake🤣😆😂 yaan kuna watu wanataka kusahihisha kusudi la Mungu! ipo wazi sana Ishmael si mtoto wa agano. Isaka ndiye mtoto wa agano kati ya Mungu na Ibrahim na ndiyo ana baraka ya urithi wa ardhi. Kwa kifupi mojawapo ya la kujifunza ni kuwa mwanadamu akiwa na subira kusubiria cha Mungu atapata kitu bora ambacho hakina shida but akitaka kulazimisha matokeo yake ndo anapata ishmael. Baraka ya ndani ya agano ni bora kuliko baraka ya nje ya agano. Kwa kupitia Isaka Mungu amejifunua na kuleta ukomboz kwa mwanadam. Kwa kupitia Ishmael shetan naye kajifunua na kuleta udangamyifu kwa mwanadam
 
Ishmael hakuwa baba wa waarabu maana hakuwa mwarabu why?

Yakobo alizaa na mwanamke wa kimisri ambaye kwa mujibu wa vitabu misri ni mwana wa ham (ukoo wa jamii ya watu weusi) hivyo basi hata mtoto aliyezaliwa kutoka kwa ibrahimu ambaye nae race yake ina utata(si mwarabu si mzungu) hivyo ishmael lazima angekuwa Afro-Asiatic, mujue kuwa misri ya kale sio hii ya leo inayokaliwa na majizi mapandikizi kutoka uarabun, misri ya kale ilikuwa ardhi isiyo na watu weupe.

Hivyo basi mwana wa Yakobo si mwarabu na si baba wa waarabu na hakuitwa ishmael kwakua hana Asili wala , uhusika na watu wa Asia.

Qur'an imeharibu sana historia ya babu zetu kwa kuiba na kuweka ktk vitabu vyao vyenye stori za kubuni.

Someni vizuri na muelewe hizo dini tumepigwa, tumefundishwa vitu vingi vya uongo.

Mwarabu asili yake haihusiki na huyo ishmael wa mchongo, Yakobo hausiki na uzao wa waarabu wala jamii ya hao waisrael wa uongo hapo middle east.

Siku si nyingi mtakuja kugundua ushenzi wa hizi dini zilizoharibu mfumo wa maisha kwa kuwapandikiza uongo+chuki.
Porojo nyingi lakini huna reference za kusapoti unachokisema. Kama dini zimeharibu historia leta rejea nyingine zisizo za dini ili hoja zako ziwe na msingi. Vinginevyo hoja zako zinabaki hewani ni kama mtu uliyezaliwa leo. Mambo ya vizazi yapo hata kwenye vitabu visivyo na mlengo wa dini. Leta reference mkuu utaeleweka.
 
Ibrahim hakuwa muarabu mtu wa katikati ya iraq huko na, hajiri alikua ni cheusi wa misri ..hao waarabu wa ishmael wanatokea wapi?
Ur no kusini iraq karibu na saudi arabia,na si katikati iraq,acha kumkwepesha ibrahim na uarabu
 
Ishmael hakuwa baba wa waarabu maana hakuwa mwarabu why?

Yakobo alizaa na mwanamke wa kimisri ambaye kwa mujibu wa vitabu misri ni mwana wa ham (ukoo wa jamii ya watu weusi) hivyo basi hata mtoto aliyezaliwa kutoka kwa ibrahimu ambaye nae race yake ina utata(si mwarabu si mzungu) hivyo ishmael lazima angekuwa Afro-Asiatic, mujue kuwa misri ya kale sio hii ya leo inayokaliwa na majizi mapandikizi kutoka uarabun, misri ya kale ilikuwa ardhi isiyo na watu weupe.

Hivyo basi mwana wa Yakobo si mwarabu na si baba wa waarabu na hakuitwa ishmael kwakua hana Asili wala , uhusika na watu wa Asia.

Qur'an imeharibu sana historia ya babu zetu kwa kuiba na kuweka ktk vitabu vyao vyenye stori za kubuni.

Someni vizuri na muelewe hizo dini tumepigwa, tumefundishwa vitu vingi vya uongo.

Mwarabu asili yake haihusiki na huyo ishmael wa mchongo, Yakobo hausiki na uzao wa waarabu wala jamii ya hao waisrael wa uongo hapo middle east.

Siku si nyingi mtakuja kugundua ushenzi wa hizi dini zilizoharibu mfumo wa maisha kwa kuwapandikiza uongo+chuki.
Duh Jamaa linapingana na Historia alafu lenyewe halina cha kuelezea... wtf
 
Back
Top Bottom