Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Africa tuna historia kubwa katika hizi dini.musa alizaliwa Africa,yusuphu aliishi Africa na wengineo.
Hata yesu alikuja Africa.
Hahahaaa!Ishmael hakuwa baba wa waarabu maana hakuwa mwarabu why?
Yakobo alizaa na mwanamke wa kimisri ambaye kwa mujibu wa vitabu misri ni mwana wa ham (ukoo wa jamii ya watu weusi) hivyo basi hata mtoto aliyezaliwa kutoka kwa ibrahimu ambaye nae race yake ina utata(si mwarabu si mzungu) hivyo ishmael lazima angekuwa Afro-Asiatic, mujue kuwa misri ya kale sio hii ya leo inayokaliwa na majizi mapandikizi kutoka uarabun, misri ya kale ilikuwa ardhi isiyo na watu weupe.
Hivyo basi mwana wa Yakobo si mwarabu na si baba wa waarabu na hakuitwa ishmael kwakua hana Asili wala , uhusika na watu wa Asia.
Qur'an imeharibu sana historia ya babu zetu kwa kuiba na kuweka ktk vitabu vyao vyenye stori za kubuni.
Someni vizuri na muelewe hizo dini tumepigwa, tumefundishwa vitu vingi vya uongo.
Mwarabu asili yake haihusiki na huyo ishmael wa mchongo, Yakobo hausiki na uzao wa waarabu wala jamii ya hao waisrael wa uongo hapo middle east.
Siku si nyingi mtakuja kugundua ushenzi wa hizi dini zilizoharibu mfumo wa maisha kwa kuwapandikiza uongo+chuki.
Africa tuna historia kubwa katika hizi dini.musa alizaliwa Africa,yusuphu aliishi Africa na wengineo.
Hata yesu alikuja Africa.
Chotara aliyetokaa na Cheusi(Mkushi wa Misri) na Mmedi wa Uru wa Ukaldayo ndo Mwarabu IshmaeliIbrahim hakuwa muarabu mtu wa katikati ya iraq huko na, hajiri alikua ni cheusi wa misri ..hao waarabu wa ishmael wanatokea wapi?
Ukaldayo nu miliki ya falme mbali mbali zilizoanguka kwa babeli zikawepo Uamedi na uajemi nk hii Waarabu ni nini? Falme au kabila? au ni koo tuChotara aliyetokaa na Cheusi(Mkushi wa Misri) na Mmedi wa Uru wa Ukaldayo ndo Mwarabu Ishmaeli
Hiki ulichoandika mleta uzi kakiruka kwa makusudi halaf kaandika mawazo yake🤣😆😂 yaan kuna watu wanataka kusahihisha kusudi la Mungu! ipo wazi sana Ishmael si mtoto wa agano. Isaka ndiye mtoto wa agano kati ya Mungu na Ibrahim na ndiyo ana baraka ya urithi wa ardhi. Kwa kifupi mojawapo ya la kujifunza ni kuwa mwanadamu akiwa na subira kusubiria cha Mungu atapata kitu bora ambacho hakina shida but akitaka kulazimisha matokeo yake ndo anapata ishmael. Baraka ya ndani ya agano ni bora kuliko baraka ya nje ya agano. Kwa kupitia Isaka Mungu amejifunua na kuleta ukomboz kwa mwanadam. Kwa kupitia Ishmael shetan naye kajifunua na kuleta udangamyifu kwa mwanadamIbrahim hakumpa urithi wa ardhi ishamael kwa bahati mbaya hapana, ni maelekezo kutoka kwa Mungu.
Sara alipomuambua mtoto wangu hatarithi na mtoto wa mjakaza , mfukuze, neno hilo Ibrahim hakupokea vizuri alista, ndipo Mungu akamuambia Ibrahim,usione vibaya ,msikilize mkeo.
Ishamael alifungashiwa pamoja na mama yake vitu mbalimbali wakaondoka nyumbani kwa Ibrahim, urithi wa mali walipewa.
Porojo nyingi lakini huna reference za kusapoti unachokisema. Kama dini zimeharibu historia leta rejea nyingine zisizo za dini ili hoja zako ziwe na msingi. Vinginevyo hoja zako zinabaki hewani ni kama mtu uliyezaliwa leo. Mambo ya vizazi yapo hata kwenye vitabu visivyo na mlengo wa dini. Leta reference mkuu utaeleweka.Ishmael hakuwa baba wa waarabu maana hakuwa mwarabu why?
Yakobo alizaa na mwanamke wa kimisri ambaye kwa mujibu wa vitabu misri ni mwana wa ham (ukoo wa jamii ya watu weusi) hivyo basi hata mtoto aliyezaliwa kutoka kwa ibrahimu ambaye nae race yake ina utata(si mwarabu si mzungu) hivyo ishmael lazima angekuwa Afro-Asiatic, mujue kuwa misri ya kale sio hii ya leo inayokaliwa na majizi mapandikizi kutoka uarabun, misri ya kale ilikuwa ardhi isiyo na watu weupe.
Hivyo basi mwana wa Yakobo si mwarabu na si baba wa waarabu na hakuitwa ishmael kwakua hana Asili wala , uhusika na watu wa Asia.
Qur'an imeharibu sana historia ya babu zetu kwa kuiba na kuweka ktk vitabu vyao vyenye stori za kubuni.
Someni vizuri na muelewe hizo dini tumepigwa, tumefundishwa vitu vingi vya uongo.
Mwarabu asili yake haihusiki na huyo ishmael wa mchongo, Yakobo hausiki na uzao wa waarabu wala jamii ya hao waisrael wa uongo hapo middle east.
Siku si nyingi mtakuja kugundua ushenzi wa hizi dini zilizoharibu mfumo wa maisha kwa kuwapandikiza uongo+chuki.
Ur no kusini iraq karibu na saudi arabia,na si katikati iraq,acha kumkwepesha ibrahim na uarabuIbrahim hakuwa muarabu mtu wa katikati ya iraq huko na, hajiri alikua ni cheusi wa misri ..hao waarabu wa ishmael wanatokea wapi?
Akiwemo ibrahim ambaye kwao no iraq kusini jirani na saudiaSiyo waarabu wote ni uzao wa Ishmael. Maana kabla Ishmael hajazaliwa, Arabia kulikuwa na watu
Abram hajawahi fika Iraq wala SaudiaAkiwemo ibrahim ambaye kwao no iraq kusini jirani na saudia
Utasemaje hearsay wakati ametoa reference kwenye biblia?Hearsay tu....unaweza kuweka ushahidi kuwa Hawa waarabu wa leo Wana uhusiano na Ishmael?
Una uhakika alishawahi kiwepoAbram hajawahi fika Iraq wala Saudia
Shauri yako,si unajua ni mwenyeji wa ur huko Iraq ya Leo,akavuka mto Euphrates,kuvuka mto ndo kukamfanya aitwe muebraniaAbram hajawahi fika Iraq wala Saudia
Duh Jamaa linapingana na Historia alafu lenyewe halina cha kuelezea... wtfIshmael hakuwa baba wa waarabu maana hakuwa mwarabu why?