Ishowspeed ana miaka 20 anazunguka dunia nzima wewe una 35 hata nauli ya chalinze huna

Ishowspeed ana miaka 20 anazunguka dunia nzima wewe una 35 hata nauli ya chalinze huna

Kila kitu ni mipango.

Pia nchi unayozaliwa ina mchango mkubwa sana wa kushape future yako.

Huyo  Ishowspeed kazaliwa, Cincinnati Ohio USA 🇺🇸.

Passport ya USA inakuwezesha kusafiri nchi yoyote Duniani pasipo kikwazo chochote.

Bongo sasa, kupata tu hiyo passport, unaambiwa leta barua ya Afisa mtendaji, mara leta barua ya uthibitisho unapokwenda, miyeyusho kama yote.

Nchi za wenzetu, mtoto akizaliwa anapata passport kama birth certificate, maana ni haki ya kila raia.
 
INATEGEMEA NA UMEZALIWA WAPI NA UMEZALIWA NA NANI NA UMEZALIWA NCHI GANI .


MAMBO YOTE HAYANA UHUSIANO NA MUNGU NI MIPANGO NA MIAKAKATI.

SO IT IS POSSIBLE .

MFANO MTOTO WA JAY Z BLUE IVY KWA MIAKA 12 TU AMESHAPATA GRAMMY AWARD .

ILA GRAMMY AWARD KUNA WATU WAPO HAPO HAPO USA WAMEFANYA SANA MUZIKI N.K ILA HAWAJAIPATA .


IKIWA FAMILIA YAKO NI BROKE NA NCHI YAKO NI BROKE NI NGUMU UKIWA NA MIAKA 20 SIO TU KUSAFIRI KUPANDA NDEGE ILA HATA BUS .
 
Morogoro kote huko? Hata nikiitwa kwenda kariakoo hapo tuu sina nauli.
Heri yeye
 
Unakuta hata wewe hujawahi kufika Mikumi national park na unaishi Dar au Morogoro.
 
Hii ni aibu dogo ana 20 anazunguka duniani na Africa wewe una 36 hata nauli ya morogoro huna
Mtu anaezaliwa huku ana uhakika wa kula,kuvaa,kulala ni tofauti na mtu anaezaliwa hadi kufa hana uhakika wa kula,kulala au kuvaa.
 
Nchi uliyozaliwa au unayoishi ina mchango katika kuamua future yako. Alon Musk angeamua kuchukua uraia wa south africa na kufanyia shughuli zake hapo hapo asingeweza kuwa tajiri namba moja duniani
 
Back
Top Bottom