Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
ππStory TU kakaAisee! kwahiyo ndugu umeamua kutuchana.. π
Hii nchi inakazi kuwa na watu wa namna hii
NakubaliHii ni aibu dogo ana 20 anazunguka duniani na Africa wewe una 36 hata nauli ya morogoro huna
πππUsifosi tufanane, liziki ya mtu mafungu saba.
Mtu anaezaliwa huku ana uhakika wa kula,kuvaa,kulala ni tofauti na mtu anaezaliwa hadi kufa hana uhakika wa kula,kulala au kuvaa.Hii ni aibu dogo ana 20 anazunguka duniani na Africa wewe una 36 hata nauli ya morogoro huna