Ishu ya Prince Dube na Fei Toto ni tofauti, huyu mwanasheria wa Yanga mbona sio muelewa?

Mikataba ya Ulaya inaandikwa kumbana mchezaji kiasi kuwa kuuuvunja sio rahisi....Mfano Mbape ameitumikia PSG hadi mkataba wake ukaisha, sababu kwenye kuivunja ingekuwa gharama kubwa sana
Wengi tu wanalipa hizo gharama. Wakiamua kuuvunja ni dakika moja wachezaji kibao ghali wamevunja mikataba. Else wise huoni uvunjwaji mwingi kwasababu wenzetu huwa wana pima sana risks.
Mchezaji atapewa anachostahili, mshahara mzuri, Gari nzuri. Au appartment nzzuri. Ulinzi, kutunziwa familia. Hivo kutoka kwenye timu sio rahisi. Atasuniri mkataba tu uisje aangalie nani anna muhitji in good condition. Hata hapa bongo unafikiri 800m au 2b ni nzito kumlipia mchezaji. Ni simple saaaaaana. Na watu wanalipa bla kujipapasa. Yaani mtu yupo kidimbwi pale fei anamfata ..kaka nataka milioni 600 anampa.
 
Wewe kama nani hadi uione? Waliokubaliana ni Azam FC na Dube, wala ulikuwa humjui. Halafu leo eti unataka uuone mkataba! dube mwenyewe hana tatizo na Azam ndio maana kila wanachomtaka anakifanya maana anajua Azam wanastahili
Kama wangekuwa hawana tatizo wasinge fika huku.

Na kama hujui Dube alipigiwa simu aende mazoezini kakataa.
 
Wewe kama nani hadi uione? Waliokubaliana ni Azam FC na Dube, wala ulikuwa humjui. Halafu leo eti unataka uuone mkataba! dube mwenyewe hana tatizo na Azam ndio maana kila wanachomtaka anakifanya maana anajua Azam wanastahili
Sasa kumbe mnalilia nini ?

Kama DUBE anafata hatua zote.

Mumuache anajua anachokifanya atamaliza anachohohitaji kufanya ataondoka.
 
HESABU zinapigwa na nani ?

Maana kama ambavyo AZAM wametoka hadharani kudai M700 ndio hivyo pia YANGA walitoka hadharani kudai B2.

Issue inarudi kwenye MIKATABA inasemaje?

Mtu anakudai B2 hadharani, wewe unasema ni M112. (Tutarudi tu kwenye mkataba)

Ndio AZAM wanataka M700 , DUBE amejibu ? amelipa ?. Mkataba unasemaje?.
 
Unaweza kutuwekea hapa hio mikataba tuone?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…