Ishu ya Prince Dube na Fei Toto ni tofauti, huyu mwanasheria wa Yanga mbona sio muelewa?

Ishu ya Prince Dube na Fei Toto ni tofauti, huyu mwanasheria wa Yanga mbona sio muelewa?

Mikataba ya Ulaya inaandikwa kumbana mchezaji kiasi kuwa kuuuvunja sio rahisi....Mfano Mbape ameitumikia PSG hadi mkataba wake ukaisha, sababu kwenye kuivunja ingekuwa gharama kubwa sana
Wengi tu wanalipa hizo gharama. Wakiamua kuuvunja ni dakika moja wachezaji kibao ghali wamevunja mikataba. Else wise huoni uvunjwaji mwingi kwasababu wenzetu huwa wana pima sana risks.
Mchezaji atapewa anachostahili, mshahara mzuri, Gari nzuri. Au appartment nzzuri. Ulinzi, kutunziwa familia. Hivo kutoka kwenye timu sio rahisi. Atasuniri mkataba tu uisje aangalie nani anna muhitji in good condition. Hata hapa bongo unafikiri 800m au 2b ni nzito kumlipia mchezaji. Ni simple saaaaaana. Na watu wanalipa bla kujipapasa. Yaani mtu yupo kidimbwi pale fei anamfata ..kaka nataka milioni 600 anampa.
 
Wewe kama nani hadi uione? Waliokubaliana ni Azam FC na Dube, wala ulikuwa humjui. Halafu leo eti unataka uuone mkataba! dube mwenyewe hana tatizo na Azam ndio maana kila wanachomtaka anakifanya maana anajua Azam wanastahili
Kama wangekuwa hawana tatizo wasinge fika huku.
Screenshot_20240306_151246_Instagram.jpg
Screenshot_20240306_151156_Instagram.jpg
20240307_095024.jpg

Na kama hujui Dube alipigiwa simu aende mazoezini kakataa.
 
Wewe kama nani hadi uione? Waliokubaliana ni Azam FC na Dube, wala ulikuwa humjui. Halafu leo eti unataka uuone mkataba! dube mwenyewe hana tatizo na Azam ndio maana kila wanachomtaka anakifanya maana anajua Azam wanastahili
Sasa kumbe mnalilia nini ?

Kama DUBE anafata hatua zote.

Mumuache anajua anachokifanya atamaliza anachohohitaji kufanya ataondoka.
 
Issue sio mikataba. Issue ushambiwa mchezaji ameamua kuachana na klabu. Hesabu zinapigwa kitita cha kuvunja kinatolewa mambo yanaisha. Hii ipo dunia nziima. Sasa unataka kusema nini tena. Huna haja ya mkataba. Mkataba wwte lazma ustate iwapo utavunjwa lazma hela flani ilipwe.
HESABU zinapigwa na nani ?

Maana kama ambavyo AZAM wametoka hadharani kudai M700 ndio hivyo pia YANGA walitoka hadharani kudai B2.

Issue inarudi kwenye MIKATABA inasemaje?

Mtu anakudai B2 hadharani, wewe unasema ni M112. (Tutarudi tu kwenye mkataba)

Ndio AZAM wanataka M700 , DUBE amejibu ? amelipa ?. Mkataba unasemaje?.
 
Hiyo 800M walipanga pande zote mbili Azam FC na Dube kupitia mkataba, na Azam hawajaongeza lolote nje ya mkataba. Ile 2.1B ya Yanga haikuwa katika mkataba wa Yanga na Feisal, ilitamkwa tu nje ya maandishi ili kumzuia. Kwa Yanga na Feisal mkataba ulikuwa ni sh. 112M, yaani hela ya usajili 100M na mishahara ya miezi mitatu 12M. Hizo zote 112M kijana alikuwa ameshadeposit kwenye akaunti ya Yanga, lakini Yanga wakakataa na kuzirudisha kwenye akaunti ya Feisal
Unaweza kutuwekea hapa hio mikataba tuone?
 
Back
Top Bottom