Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Tulikuwa tunaishi karibu na barabara kubwa ya lami, upande wa pili wa Ile barabara kulikuwa na kibanda flani Cha abiria wanakaa hapo kusubiria magari(checkpoint) ni Cha muda mrefu kilikuwa hakitumiki, Vijana tuliokuwa tunaishi maeneo Yale tulifanya Kama kijiwe Cha story,tunacheza drafti nk.(sio kijiwe Cha wahuni)
Nakumbuka muda wote uwezi kukosa watu,vijana wanaoishi mtaa ule kilikuwa Kama kituo chetu Cha kukutana. asubuhi,mchana,jioni lazima ukute watu pale mpaka mida ya usiku na siku ukiona hakuna watu ujue ni siku ya mpira tu
Siku ya tukio la kutisha
Nakumbuka ilikuwa mida Kama ya saa 3 asubuhi tupo kijiweni tunabishana kuhusu mpira,NI uwezo wa mungu tu siku hiyo Wana kijiwe hatukuwa wengi Kama watu 6 hivi,baada ya muda tuliondoka Kuna sehemu tulipeleka pesa kwa ajiri ya mchango wa ligi ya mtaa tuliondoka Kama vijana 4 Wana kijiwe,pale kijiwe tuliwaacha wezetu wawili na wao mida Ile Ile waliondoka kwa maelezo baada ya tukio kutokea.
Majira Kama ya saa 5 au 6 Kuna gari isuzu injection ya mchanga ilikuwa imebeba mawe madogo kokoto ilikosea njia na ilipata hitilafu kwenye break.maelezo baada ya ajari.
ikaenda kugonga kile kibanda(kijiwe) tulichokuwa tunakaa,gari ikapitiliza Kama mita 5 hivi ikagonga nyumba iliyopo bembeni ya barabara dereva alikufa hapohapo.
baada ya kishindo kikubwa kilichotokea,watu walikusanyika kuangalia Nini kimetokea wanakutana na Ajali hiyo,kila mzazi wa eneo Ilo ilikuwa patashika ana mtafuta kijana wake.wa kulia alilia siku hiyo.
kwa uwezo wa mungu wakati inatokea ajali Ile hakuna kijana yeyote aliyekuwepo eneo lile,NI uwezo wa mungu alituokoa siku Ile🙏🙏
Na kijiwe kilikufa siku hiyohiyo sehemu ili ilibomolewa isije kuleta matatizo Tena
Je, uliwahi kupata msala gani kwa uwezo wa mungu, ulivuka salama.
Ni story ya kweri asilimia👉💯