ISIS watangaza vita na Hamas

ISIS watangaza vita na Hamas

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
7,681
Reaction score
9,892
Haya wametema ukweli wao ISIS wametangaza vita Rasmi na Hamasi.

Tukiwambia wakristo hao ISIS ni mafunzo ya kikristo na kiyahudi mnabisha, jioneni sasa wameona Israel kazidiwa wameamua kutangaza vita na Hamasi.

Tukiwambia tuonyesheni risasi moja ISIS kapiga Israel hamuwezi tuonyesha.

View: https://x.com/OmaPalestine/status/1814570484337406272?t=e86i8Fw7uUBHK6GgOs857Q&s=19

Swala za usiku ni mbaya sana. Na samia ana kueleza wanacho taka ni pesa subiri ukose eneo lako ukizani ni saudia hapa
 
Kuna wakati dini, mapenzi, chuki na hasira zinamfanya binadamu apoteze ufanisi wake katika baadhi ya mambo.
Kweli ulicho ongea, waswahili pia wanamsemo kuliza si ujinga, nataka nijuwe kwanini hao ISIS vita vyao vyote na nchi za kiarabu au kislam tu, sijawahi ona wamevamia Israel au nchi za kikristo na walifika mpaa Lebanon na Syria wasirushe hata risasi Israel, ajabu kweli.
 
Wanadai wanataka utawala wa kalphate iliyotabiriwa na sw ,wanaona waislam kama vile wamepitisha kuran
 
Haya wametema ukweli wao ISIS wametangaza vita Rasmi na Hamasi.

Tukiwambia wakristo hao ISIS ni mafunzo ya kikristo na kiyahudi mnabisha, jioneni sasa wameona Israel kazidiwa wameamua kutangaza vita na Hamasi.

Tukiwambia tuonyesheni risasi moja ISIS kapiga Israel hamuwezi tuonyesha.

View: https://x.com/OmaPalestine/status/1814570484337406272?t=e86i8Fw7uUBHK6GgOs857Q&s=19

Kibaraka wa US,walishindwa kwa Syria naona US kaamua kuwatumia upande wa Hamas. Dunia imejaa unafiki mwingi sana hasa US.
 
Back
Top Bottom