inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
ISIS wakati wanafanya vurugu walikua walitibiwa IsraelWapi uliona Magaidi wa ISIS wana Balistic Missiles?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ISIS wakati wanafanya vurugu walikua walitibiwa IsraelWapi uliona Magaidi wa ISIS wana Balistic Missiles?
Hiyo inaitwa Israel vs IdiotsISIS wakati wanafanya vurugu walikua walitibiwa Israel
Wakati wa Vita Libya, Syria na Iraq kulitulia kiasi,maana wapiganaji walipelekwa LibyaHiyo inaitwa Israel vs Idiots
We kweli umelala nakuwekea quote hapaWapi uliona Magaidi wa ISIS wana Balistic Missiles?
Haya wametema ukweli wao ISIS wametangaza vita Rasmi na Hamasi.
Tukiwambia wakristo hao ISIS ni mafunzo ya kikristo na kiyahudi mnabisha, jioneni sasa wameona Israel kazidiwa wameamua kutangaza vita na Hamasi.
Tukiwambia tuonyesheni risasi moja ISIS kapiga Israel hamuwezi tuonyesha.
View: https://x.com/OmaPalestine/status/1814570484337406272?t=e86i8Fw7uUBHK6GgOs857Q&s=19
Ballistic Missiles for God's sake! Mbona huu Uidiot mnakua nao hivi?!We kweli umelala nakuwekea quote hapa
Among ISIS’s arsenal are portable air defence systems, guided anti-tank missiles and armoured fighting vehicles, as well as assault rifles like the Russian AK series and the US M16 and Bushmaster.
![]()
How Islamic State got its weapons
‘Decades of free-flowing arms into Iraq meant that when IS took control of these areas, they were like children in a sweetshop,' says Amnesty's Arms Director, Oliver Sprague.www.amnesty.org.uk
Mimi nilikuona wewe bwege unataka ISIS atumie ballistic missiles wakati nilisema hajapiga risasi hata moja kuelekea Israel.Ballistic Missiles for God's sake! Mbona huu Uidiot mnakua nao hivi?!
Kwani lengo la isis ilikuwa kupigana na nchi za kikristo ? Au kuanzisha dola la kiislamu?Kweli ulicho ongea, waswahili pia wanamsemo kuliza si ujinga, nataka nijuwe kwanini hao ISIS vita vyao vyote na nchi za kiarabu au kislam tu, sijawahi ona wamevamia Israel au nchi za kikristo na walifika mpaa Lebanon na Syria wasirushe hata risasi Israel, ajabu kweli.
Vipi wakanzishe dola la kiislamu kwenye nchi zimeisha kuwa waislamKwani lengo la isis ilikuwa kupigana na nchi za kikristo ? Au kuanzisha dola la kiislamu?
Nchi za kikristo ni zipi hizo mkuu?Israeli Secret Intelligence Service=ISIS.
Nilikuwa nawakumbusha, sijaona ISIS kavamia au katangaza vita na nchi za kikristo au Israel 😄
We jamaa level ya uelewa wako ni mdogo na ipo chini sana. Jitahidi kutopost vitu hovyo ili kuficha uchi wa akili yako mbele za watu.Vipi wakanzishe dola la kiislamu kwenye nchi zimeisha kuwa waislam
Si wange enda nchi za kikristo huko ndio wangefanikiwa malengo yao 😄
Walio unda hio ISISNchi za kikristo ni zipi hizo mkuu?
Mimi huwa sichukui maelekezo kwa wanao abudu binadamu, sababu kwanza wakapime akili zao kama ziko sawa.We jamaa level ya uelewa wako ni mdogo na ipo chini sana. Jitahidi kutopost vitu hovyo ili kuficha uchi wa akili yako mbele za watu.
Hapana ilianzishwa wakati wa Obama. Hillary Clinton na John McCain pamoja Israel.ISIS ilianzishwa na USA na Israel ili kumshughulikia Saddam
Hi ndio akili haswa wengi hawaioni, safi sana.