imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kwanini huwa huongelei mada za Waarabu kutangaza Vita dhidi ya Mabinti wa Kazi kutoka Afrika?!Mimi nilikuona wewe bwege unataka ISIS atumie ballistic missiles wakati nilisema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini huwa huongelei mada za Waarabu kutangaza Vita dhidi ya Mabinti wa Kazi kutoka Afrika?!Mimi nilikuona wewe bwege unataka ISIS atumie ballistic missiles wakati nilisema
Tatizo we unatazama uarabuni wakati wafanya kazi wengine wamenda uza mili yao huko badala ya kazi.Kwanini huwa huongelei mada za Waarabu kutangaza Vita dhidi ya Mabinti wa Kazi kutoka Afrika?!
Kwani hujui kuna muisrael alikamtwa france akijiandaa kulipua na kujifanya muarabu wa syria akashtukiwa ,Tangu lini wakristo wakampigania Mohammad na Allah?
Islamic States intelligence servicesIsraeli Secret Intelligence Service=ISIS.
Nilikuwa nawakumbusha, sijaona ISIS kavamia au katangaza vita na nchi za kikristo au Israel 😄
Magaidi ni Magaidi tu hata chembe ya huruma hamna lakini siku yenu yaja mnajificha kwa Allah kumbe ni Wauwaji na Maharamia.Tatizo we unatazama uarabuni wakati wafanya kazi wengine wamenda uza mili yao huko badala ya kazi.
Wako wengi huko wenye adabu zao walienda kwa nia za kufanya kazi sio kuuza mili yao, wana enjoy wambie basi warudi 😄 We huoni wafanya kazi hapa unapo ishi wanafanyiwa ushenzi kuliko huo mbona huongei.
Afadhali kidogo una akili za hesabu inawezekana wengine wakamini uwongo huo ulivyo tune, safi sana 😄Islamic States intelligence services
HQ yao ipo Washington DCISIS ipo wapi?
Acha wapunguzaneHii inaitwa mbwa kala mbwa! Wote ni magaidi
Tatizo wewe unachuki na warabu we deal na warabu. Uislam sio uwarabu Uislam ni dini na haikulazimishi kuamini uislam imekuambia very simpleMagaidi ni Magaidi tu hata chembe ya huruma hamna lakini siku yenu yaja mnajificha kwa Allah kumbe ni Wauwaji na Maharamia.
Mbona Azana mnaitana kiarabu wakati ninyi ni Wamatumbi?Uislam sio uwarabu
Hapo we Huna habari kuna mkono wa Israel na USA, ukiona sehemu kuna fitna ya Sunni na Shia basi uko mkono wa Israel na USA.Yemen wanapigana wenyewe kwa Wenyewe, Je ni Wayahudi Ndio wanapiganisha?
Wewe huelewi kitu anachopigania ISIS na wanachokipigania Hamas ni vitu viwili ISIS anapigana atawale Kwa Sheria za kiislamu Hamas wanapigana ili wajitawale wenyewe kwa democracyHaya wametema ukweli wao ISIS wametangaza vita Rasmi na Hamasi.
Tukiwambia wakristo hao ISIS ni mafunzo ya kikristo na kiyahudi mnabisha, jioneni sasa wameona Israel kazidiwa wameamua kutangaza vita na Hamasi.
Tukiwambia tuonyesheni risasi moja ISIS kapiga Israel hamuwezi tuonyesha.
Eti azana ni Adhani nyie hio Adhani yenu mnaitana kigogo au.Mbona Azana mnaitana kiarabu wakati ninyi ni Wamatumbi?
We bwege hebu nionyeshe wapi uislam na extremist. Hilo neno linatumiwa na madui wa kislam wa kwanza US, UK. Na Europe kuchafua Uislam.Wewe huelewi kitu anachopigania ISIS na wanachokipigania Hamas ni vitu viwili ISIS anapigana atawale Kwa Sheria za kiislamu Hamas wanapigana ili wajitawale wenyewe kwa democracy
Hakuna ukweli wowote kwamba IS wanafanya kazi na waisrael ukweli ni kwamba IS ni extremist (siasa Kali) hivyo hua wanawachukulia wapiganaji wengine wasio na malengo kama Yao ya kutawala na sheria ni maadui( makafiri)
Huyo Allah ni Racist na mwenye chuki dhidi ya Watu weusi.Tatizo hamtaki kufahamu Kiarabu ni lugha ilio chaguliwa na Mungu
Alipo wachagua Wayahudi . mbona mlimsifia kumchagua mwarabu kawa Racist 😄Huyo Allah ni Racist na mwenye chuki dhidi ya Watu weusi.
Hijawahi kuwasikia tu, mmoja wao ni Mtume Mwanamalundi wa Seke.Mitume wa Kiswahili
Mwarabu ni Mwizi wa Scriptures hana Utume wowote.kumchagua mwarabu kawa Racist