Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Huyo jamaa hajielew kabisa vitu vingi anavyopost humo huwa vinashangaza sana.Hiyo ni video ya 2018 sio sasa. Kama source yako ni hiyo post basi umefeli
Cc JamiiCheck futa uzushi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa hajielew kabisa vitu vingi anavyopost humo huwa vinashangaza sana.Hiyo ni video ya 2018 sio sasa. Kama source yako ni hiyo post basi umefeli
Cc JamiiCheck futa uzushi.
Huyo labda utume alipewa na mizimu yenu ya kinyaturu.Hijawahi kuwasikia tu, mmoja wao ni Mtume Mwanamalundi wa Seke.
Kweni huyo Mtume wenu kapewa Utume na nani? muongo tu mwizi wa scriptures.Huyo labda utume alipewa na mizimu yenu ya kinyaturu.
Sijaona kamcopy Paulo 😄Mwarabu ni Mwizi wa Scriptures hana Utume wowote.
Acha uchizi jibu swali langu acha kuhamisha Goli.Sijaona kamcopy Paulo 😄
Ange mcopy Paulo Angesema Yesu ni Mungu, lakini Mtume Muhammad kasema huyo ni Mtume wa Mungu na kawaelezeni mpaa vipi Yesu kuzaliwa.
Paulo na nyie mlimdharau Yesu
mkasema kazaliwa kwenye zizi la ngo'mbe, vichaa kweli nyie.
Kwa nini uweke video 2018, ulitaka utudanganye.Video ni 2018 lakini hizo ndio habari za kweli, ISIS wako bega kwa bega na Israel, wakipigana na Hamasi
Nilisha kueleza bora mimi kuliko wewe panya unaye sema binadamu ni Mungu, kapime akili zako kwanza.Huyo jamaa hajielew kabisa vitu vingi anavyopost humo huwa vinashangaza sana.
Kwani video ikiwa ya nyuma ndio habari si za kweli. unaweza weka video hata za nyuma.Kwa nini uweke video 2018, ulitaka utudanganye.
Hawa si ndo wenye mafungamano na ADF NARU ya Congo?Israeli Secret Intelligence Service=ISIS.
Nilikuwa nawakumbusha, sijaona ISIS kavamia au katangaza vita na nchi za kikristo au Israel 😄
Haya wametema ukweli wao ISIS wametangaza vita Rasmi na Hamasi.
Tukiwambia wakristo hao ISIS ni mafunzo ya kikristo na kiyahudi mnabisha, jioneni sasa wameona Israel kazidiwa wameamua kutangaza vita na Hamasi.
Tukiwambia tuonyesheni risasi moja ISIS kapiga Israel hamuwezi tuonyesha.
View: https://x.com/OmaPalestine/status/1814570484337406272?t=e86i8Fw7uUBHK6GgOs857Q&s=19
Mzee umeingizwa chaka na maustadh ukakimbilia kuanzisha uziVideo ni 2018 lakini hizo ndio habari za kweli, ISIS wako bega kwa bega na Israel, wakipigana na Hamasi
Mpaka Yesu arudiHii vita sioni ikiisha hapo mashariki ya kati
Anacharazwa vibaya sana hasemi tu ngojea nikuonyeshe Hezbullah anavyo muaibishaIsrael amezidiwa? 😆
mwaka 2003 Obama alikuwa rais wa nchi gan ?Hapana ilianzishwa wakati wa Obama. Hillary Clinton na John McCain pamoja Israel.
acha ubishiWe bwege hebu nionyeshe wapi uislam na extremist. Hilo neno linatumiwa na madui wa kislam wa kwanza US, UK. Na Europe kuchafua Uislam.
Wewe unaye jidai unajua hebu nionyeshe wapi mafunzo ya ISIS yanaenda na Uislam kama sio propoganda za madui wa ki Islamu .
Uislam hauna ujinga huo wa extremists, hizo ni fikra zenu mlio kuwa brainwashed na US na Europe
umepaniki bro , kwan Mudi ni bro wako ?Muhammad na hawa ISIS na Hamas vina uhusiano gani? Kuna sehemu nimemtaja mtume humo kwenye komenti yangu..............
We unaongelea hao Al Qaeida sio ISIS. US anajaribu kuwasingizia hao sababu, Abu Mus'ab al-Zarqawi kwa tarifa yako sio Abu Bakari Baghdad 😄mwaka 2003 Obama alikuwa rais wa nchi gan ?
Kwa hio Trump naye muongo nani anajua zaidi wewe au Trump 😄acha ubishi