Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
takuwa barHiyo ni video ya 2018 sio sasa. Kama source yako ni hiyo post basi umefeli
Cc JamiiCheck futa uzushi.
Video ni 2018 lakini hizo ndio habari za kweli, ISIS wako bega kwa bega na Israel, wakipigana na HamasiHiyo ni video ya 2018 sio sasa. Kama source yako ni hiyo post basi umefeli
Cc JamiiCheck futa uzushi.
Swala za usiku ni mbaya sana. Na samia ana kueleza wanacho taka ni pesa subiri ukose eneo lako ukizani ni saudia hapaHaya wametema ukweli wao ISIS wametangaza vita Rasmi na Hamasi.
Tukiwambia wakristo hao ISIS ni mafunzo ya kikristo na kiyahudi mnabisha, jioneni sasa wameona Israel kazidiwa wameamua kutangaza vita na Hamasi.
Tukiwambia tuonyesheni risasi moja ISIS kapiga Israel hamuwezi tuonyesha.
View: https://x.com/OmaPalestine/status/1814570484337406272?t=e86i8Fw7uUBHK6GgOs857Q&s=19
Israeli Secret Intelligence Service=ISIS.Tangu lini wakristo wakampigania Mohammad na Allah?
Kwani tukiwakumbusha ISIS hajawahi kupigana vita na Israel au nchi za kikristo ni kosa.Swala za usiku ni mbaya sana. Na samia ana kueleza wanacho taka ni pesa subiri ukose eneo lako ukizani ni saudia hapa
Kuna wakati dini, mapenzi, chuki na hasira zinamfanya binadamu apoteze ufanisi wake katika baadhi ya mambo.Israeli Secret Intelligence Service=ISIS.
Nilikuwa nawakumbusha, sijaona ISIS kavamia au katangaza vita na nchi za kikristo au Israel 😄
Kweli ulicho ongea, waswahili pia wanamsemo kuliza si ujinga, nataka nijuwe kwanini hao ISIS vita vyao vyote na nchi za kiarabu au kislam tu, sijawahi ona wamevamia Israel au nchi za kikristo na walifika mpaa Lebanon na Syria wasirushe hata risasi Israel, ajabu kweli.Kuna wakati dini, mapenzi, chuki na hasira zinamfanya binadamu apoteze ufanisi wake katika baadhi ya mambo.
Wanadai wanataka utawala wa kalphate iliyotabiriwa na sw ,wanaona waislam kama vile wamepitisha kuranKweli ulicho ongea, waswahili pia wanamsemo kuliza si ujinga, nataka nijuwe kwanini hao ISIS vita vyao vyote na nchi za kiarabu au kislam tu, sijawahi ona wamevamia Israel au nchi za kikristo na walifika mpaa Lebanon na Syria wasirushe hata risasi Israel, ajabu kweli.
Propaganda tu hiziVideo ni 2018 lakini hizo ndio habari za kweli, ISIS wako bega kwa bega na Israel, wakipigana na Hamasi
Swali lini ISiS kagusa Israel? Wamefika, Lebanon, Syria hapo ni pua na mdomo na Israel na pia walifika EgyptPropaganda tu hizi
Unafikiri ulinzi wa Israel ni kama huo wa kwenye kahawa?Swali lini ISiS kagusa Israel? Wamefika, Lebanon, Syria hapo ni pua na mdomo na Israel na pia walifika Egypt
Hezbollah mbona anarusha kila kukicha risasi na missiles, vipi ISIS ashindwe na aliweza pigana na Hezbollah.Unafikiri ulinzi wa Israel ni kama huo wa kwenye kahawa?
Kibaraka wa US,walishindwa kwa Syria naona US kaamua kuwatumia upande wa Hamas. Dunia imejaa unafiki mwingi sana hasa US.Haya wametema ukweli wao ISIS wametangaza vita Rasmi na Hamasi.
Tukiwambia wakristo hao ISIS ni mafunzo ya kikristo na kiyahudi mnabisha, jioneni sasa wameona Israel kazidiwa wameamua kutangaza vita na Hamasi.
Tukiwambia tuonyesheni risasi moja ISIS kapiga Israel hamuwezi tuonyesha.
View: https://x.com/OmaPalestine/status/1814570484337406272?t=e86i8Fw7uUBHK6GgOs857Q&s=19
Wapi uliona Magaidi wa ISIS wana Balistic Missiles?Hezbollah mbona anarusha kila kukicha risasi na missiles, vipi ISIS ashindwe na aliweza pigana na Hezbollah.