Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

mzee mmoja wa tabora alidai nyerere ndiye aliyewaambia kuwa nchi yao, wao walidhani ni chi ya wazungu. nipe details kupruvu hoja yako dhaifu kama hiyo
Chukuwa darsa kidogo kijana.

Julius Kambarage Nyerere, kwa mara ya kwanza anakanyanga ardhi ya Mzizima Dar es Salaam ilikuwa mwaka 1952 alikuja kwenye mkutano wa TAA na kupokelewa na Dossa akitokea Tabora kama mjumbe wa tawi alikaa Dar es Salaam siku tatu na kurudi Tabora.

Mwaka 1954 alikuja rasmi Dar es Salaam na kupokelewa na Abdulwahid Sykes na wakawa wanaishi wote Kariakoo kama ndugu.

Umeona sasa kijana aliwakuta Wazee wameishanza harakati za kudai uhuru.
 
Sasa sundoka ulitaka aandike asiowajuwa? yeye kaandika ayajuwayo na awajuwao. Unaonaje na wewe ukashika keyboard ukaanza kuwaelezea hao uwajuao walioachwa? itakuwa umewatendea haki wao nasi pia.

Wengi na mengi aliyoyaandika Mohamed Said tulikuwa hatuyajui. Jee, kabla ya Kumsoma Mohamed Said ulimjuwa Mshume Kiyate?
 
Nguruvi3,
Swali langu ni moja kwanza kwako kisha tuendelee na mjadala,

Unakubali ama unakataa ya kwamba nyerere kwa kuanzisha kwake bakwata ili kiwe chombo rasmi cha kuwaratibu na kuwabana waislam ndan ya taifa hili yeye ndie chanzo cha mvurugano wote huu??

Naomba jibu kwanza kisha tusonge mbele inshallah
 
i told ya, that's a homicide religion. they enjoy killing in the name of Allah:shetani:, fighting,:boxing: at the same time they spread propaganda they are called themselves a religion of piece:shocked:!!!. which peice?!:tape:
they fool no one :smash:
 
Teh teh teh. Dr kahtaan mimi naogopa kuongeza mijiti unayo wapatia na akhy gombesugu. Inawatosha hao nikiongeza tutawazidishia maumivu.
 
Last edited by a moderator:
We muislamu ukisema hivo unazidi kujidharirisha. Hapo ni sawa na kusema mkristo mmoja ni sawa na waislamu 50.... kazi kulalamika kikekike tu
 
your question is fall point number two
A battleplan was composed to Islamise Africa with some less innocent points in that decision:

  • "To ensure only Muslims are elected to all political posts of member nations".
  • "To eradicate in all its forms and ramifications all non-Muslim religions in member nations (such religions shall include Christianity, Ahmadiyya and other tribal modes of worship unacceptable to Muslim)." (the word Christianity is underlined in the declaration)
  • "To ensure the ultimate replacement of all western forms of legal and judicial systems with the sharia in all member nations before then next "Islam in Africa conference."
  • "To ensure the appointment of only Muslims into strategic national and international posts of member nations."
 
Uislam nao ni Siasa kama ndio hivyo.... Muingereza hakuweza Kuiacha nchi kwa Muslim ingekuwa ni kosa kubwa Shukrani kwa Nyerere Christian Bila yeye usingejidai dai humu na ushungu wako Joto maker ukiutoa kichwani umejaa vipele vya joto tupu kichwani
 
Kama nyerere alikuja Dar Mwaka 1952 je alikuwa ndani ya nchi gani? hebu tupe na Historia ya Hao wazee wa Dar nao walipokelewa na nani? Maana Sykes ni Msouth Africa hilo halina Ubishi... na huyo Dossa mbona jina la Chakula cha Kihindi? Hii nchi Mwingereza Asingemwachia Mwana Madrasa.... Watu wa Kulalamika kila Kukicha
 
Ukimsikiliza Mwalimu Nyerere kwenye hotuba zake yeye mwenyewe anasema wazi kuwa kuna kipindi kwenye mikutano ya TANU Mkirsto alikuwa peke yake.
 
Uislam nao ni Siasa kama ndio hivyo.... Muingereza hakuweza Kuiacha nchi kwa Muslim ingekuwa ni kosa kubwa Shukrani kwa Nyerere Christian Bila yeye usingejidai dai humu na ushungu wako Joto maker ukiutoa kichwani umejaa vipele vya joto tupu kichwani

Halafu na hivi vijusi kafiri sijui vinatokeaga mashimo gani??

Shindwa pepo mchafu! We! Kwa jina la pengo! Or may be kwa jiiiiiina la DR SLAA!
 
Halafu na hivi vijusi kafiri sijui vinatokeaga mashimo gani??

Shindwa pepo mchafu! We! Kwa jina la pengo! Or may be kwa jiiiiiina la DR SLAA!
Mwenzio anaambiwa Ukweli wewe unashabikia tu au ndio wale wale Mashabiki Maandazi huo ujusi ulianzia kwenye ukoo wenu ukaishia kwako...

Imegundulika Allah Sio Mungu Tupishe sie Tumuabudie Mungu wa mbinguni aliye hai....
 
Very true!
 
Achana na tz. Kiongozi gani muislamu aliyekuwa mstari wa mbele kupigania uhuru wa taifa lake? Waislamu hawana uwezo huo wakristo wananch asili ya busara na pia hata wakifundishwa wanafundishika.
Uislam ni janga baya sn duniani
 
I think you would have posted "Islam's role in killing people in the name of their God and get gifted 72 virgins"

Not in the name of their God, say in the name of their gods....
 
Achana na tz. Kiongozi gani muislamu aliyekuwa mstari wa mbele kupigania uhuru wa taifa lake? Waislamu hawana uwezo huo wakristo wananch asili ya busara na pia hata wakifundishwa wanafundishika.
Uislam ni janga baya sn duniani
Umezaliwa mwaka gani wewe muulize baba nyumba hilo swali lako atakujibu sawa.
 
Kamuulize baba nyumba eti Dossa Aziz alikuwa nani kwenye TANU halafu muulize eti Mwalimu Nyerere alikuwa na asili ya Burundi (Mtusi) sawa kisha rudi JF tujadiliane.
 
Mwenzio anaambiwa Ukweli wewe unashabikia tu au ndio wale wale Mashabiki Maandazi huo ujusi ulianzia kwenye ukoo wenu ukaishia kwako...

Imegundulika Allah Sio Mungu Tupishe sie Tumuabudie Mungu wa mbinguni aliye hai....

Teh teh teh teh!
We huna habari kuwa huyo mungu unaemuabudu ni mzungu!
Halafu alishapjgwa mpaka akuawa!
Na ulivyokuwa una akili nyingi unaenda dukani kununua picha ya mzungu kavaa nepi kuuuubwa halafu unaipigia goti ukaibusu kila siku!
Huyo ndie unasema aliye mbinguni yuko hai!?
Teh teh teh teh teh!
Mi.mbona nilikutana nae hapa Los Angeles!?

Whatch this! You goner love it;-

Watch "JESUS RETURNS (Official sequel to Jesus Will Survive)" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=u6B1D0oyBK8&feature=youtube_gdata_player
 
Halafu na hivi vijusi kafiri sijui vinatokeaga mashimo gani??

Shindwa pepo mchafu! We! Kwa jina la pengo! Or may be kwa jiiiiiina la DR SLAA!

Acha kutaja majina kama uwakilishi wa hasira yako,au ni utindio wa ubongo unakusumbua ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…