Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Chukuwa darsa kidogo kijana.mzee mmoja wa tabora alidai nyerere ndiye aliyewaambia kuwa nchi yao, wao walidhani ni chi ya wazungu. nipe details kupruvu hoja yako dhaifu kama hiyo
Julius Kambarage Nyerere, kwa mara ya kwanza anakanyanga ardhi ya Mzizima Dar es Salaam ilikuwa mwaka 1952 alikuja kwenye mkutano wa TAA na kupokelewa na Dossa akitokea Tabora kama mjumbe wa tawi alikaa Dar es Salaam siku tatu na kurudi Tabora.
Mwaka 1954 alikuja rasmi Dar es Salaam na kupokelewa na Abdulwahid Sykes na wakawa wanaishi wote Kariakoo kama ndugu.
Umeona sasa kijana aliwakuta Wazee wameishanza harakati za kudai uhuru.