Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle


Wickama,
Nitakujibu moja tu.

Waislam si wabaguzi.
Ubaguzi unapigwa vita na Uislam.

AMNUT ilikuwa na historia ya kuanzishwa kwake.
Ikiwa huijui soma kitabu changu.

TANU kilikuwa chama cha Waislam na ndiyo waliokiasisi
wakakipa viongozi na wanachama.

Hayo mengine ukitaka majibu lete uzi wake hapa ''we are
keeping our eyes on the ball.''
 


I hate two faced people...the likes of you and Mag3.

It makes it harder for me to decide which side to slap first!

Ahsanta.
 

Gombesugu,
Dr. Watts ni mtoto wa Rawson Watts muasisi wa AA.
 
Gombesugu,
Dr. Watts ni mtoto wa Rawson Watts muasisi wa AA.



Duh!

Sheikh Mohamed Said,

Wallahi,shukran nyingi mno.

Kama usemavyo,sisi wengine historia zimo majumbani mwetu.

Unajua mie miaka yoote hata siku nilikua sijui na wala sijawahi hata kumuuliza Mzee wangu kuhusu khabar hii.

Yaani sisi tulikuwa tunajua yule ni Uncle Dr Watts tu,rafiki ya Mzee wetu basi!

Kumbe maskini na mie ningaliyajua haya kitambo,basi si ningalipata japo kiduchu ya kumuuliza au kuyajua toka kwake mwenyewe juu ya khabar za Mzee wake!?...from the horses' mouth!

Zipo picha kadhaa hapo nyumbani kwenye family albums za Dr Watts na Mzee wangu na nyingine tulipiga nae Dr Watts na Mzee wetu kwenye hunting trip Saadan na Mauya,wakti huo tukiwa likizo ya Shule kitambo kiduchu!

Sasa mbona Dr Watts ametoka vile kama Mzungu/biracial,au huyo Mzee Watts mwenyewe alikua ni Mzungu!?

Nashukuru mno kwa haya...kila kukicha waizidi kunisomesha Al Akhiy.

Ahsanta.
 
Hapana The big, hujanisoma vizuri. Gari yangu ina indicator nzuri sana tatizo watu wanaangalia kwa macho ya kengeza tena wanaangalia full light teh teh

Nimesema mara nyingi Bakwata ilianzishwa na Nyerere kama counter attack dhidi ya makundi.
Nikasema Nyerere amenusurika mara nyingi kuondolewa uongozini kwasababu ya Ukristo.

Kwa muktadha huo mbegu ya Bakwata haikuanza mwaka 1967 bali utengnezaji wake ulifanywa na makundi hasimu kuanzia 1957 kwa mtindo ule ule analolaumiwa Nyerere. Alipotengwa ilikuwa haijambo , alipodhibiti makundi ikawa nongwa! jamani haya makengeza kwanini tusiyafanyie appointment CCBRT?

Nikasema baada ya kuundwa Bakwata, iliungwa mkono na waislam kwa kuiendesha wenyewe.
Nikasisitiza kama kulikuwa na remote control katika uendeshaji wake hilo ni jambo jingine.

Mwisho nikasema hata MoHamed Said aliwahi kuwa ndani ya Bwakata hivyo tatizo si Bakwata kama chombo ni viongozi wa Bakwata. Nikaishia kutanabaisha kuwa ulua na maslahi ndio chanzo cha kuipa nguvu Bakwata ambayo ilianzishwa kudhibiti makundi yaliyoleta vurugu za kichini chini ya akina Amir na Platan

Makundi hayo bado watoto wao wapo na wajukuu! nikasema JK na Mwinyi walipaswa kuliona hilo lakini wameikumbatia. Hii maana yake Bakwata haikuundwa kuwadhibiti waislam bali makundi na hatari hiyo wameiona waungwana.

Nimeuliza iweje Machame na Mkuranga watofautiane katika mazingira yale yale ya kudhibitiwa 'Uislam' kama hilo lilikuwa lengo?


 
Mzee MS
umefanya jambo zuri, tumshukuru pia Nguruvi kukugusa mpaka
kumfungulia uzi Mkatoliki huyu. Tuko pamoja.

We jina lako linatisha kidogo! Limekaa kama wale wenye kutumia makalio kufikiri!

Unajifanya kuuma huku unapuliza!
Ujanja wa kizamaaani huo!
Halafu nimeshaskia harufu ya UGALATIA kutoka kwako!
Hizo salam za kiungwa unaweza kujing'ata ulimi bure!

We kama unadukuduku lako speak like a man!
Dont give us ohh shemeji yangu ohhh wifi ohhh ahsantum!

When you want to drop it! Dont be like a chicken!

Drop it like a man!
Haya wacha vigeregere leta maneno!
 

Your too low.. bongo yako imejaa udini tu
 
Your too low.. bongo yako imejaa udini tu

Hilo kwangu sio tusi kijana!
Hio mimi ni sifa! Tena nakwambia kabisa.
IN MY LIFE, MY RELIGION COMES FIRST!
sasa we ulitaka vipi! Niwe part religious?
Kama nyie sio!?
Huku mnasamehe dhambi wanakondoo!
Huku mnafungisha wanakondo ndoa za kiliberali!?
Mimi ni moto kwenda mbele! Hakuna kuwa na sura mbili km nyie!

So tell your mates to talk like a man!

Not crying like a little sissy girl playing"mary go round"
 
TANU ilikuwa chama cha Waislam!! in the record !!!
Nadhani hapa utakuwa umekwenda mbali sana na kutoa picha isiyotarajiwa. Real!

Kuna AMNUT hiki ndicho cha waislam hasa, lakini kilikataliwa na waislam wenyewe kwasababu TANU Ilikuwa ya wote.

Hasira hasara, Mohamed ameongea mambo na kuwaacha vijana uchi.

Vijana wamekataa siku zaidi ya tano kuwa historia ya Mohamed si ya dini, wakasema uhuru si suala la dini na wala hawatetei udini wanatetea historia iliyosahauliwa.

Ghafla Mohamed anajitokeza na kuwachapa kibao cha usoni, anasema tulieni ninyi vijana, historia yake ni ya TANU chama kilichoasisiwa na waislam na kwa lengo la kuwakomboa! Jamani !
Hao wengine walidandia tuu! anamalizia mzee!

Halafu anakataa kuwa hakukuwa na ubaguzi wakati Nyerere alinusurika kuondolewa madarkani kwasababu ya imani yake.Ameshau nini Platan na Amir walikusudia dhidi ya Nyerere.

Vijana rejeeni mkatae kama si historia ya dini, mzee kasema yote
 




Maulana Dr Kahtaan,


Asalaam Alaykum!

Yaani nimecheka pita kiasi! Kwi! Kwi! Kwi!

Wenyewe tulikua kimya hapa kutwa nzima na Sheikh Mohamed Said na Ayatollah Chamviga...ghafula umekurupuka wewe hatujui ulokotokea,na jamvi loote lishakua lako peke yako! Kwi! Kwi! Kwi!

Al Akhiy,you know how much I respect and love you to death.

More importantly,the way you come across,always like a bullet! Kwi! Kwi! Kwi!

This is not Holywood,this is real life,basically we don't need actors here...we need more real people with staright talk like You!

Bless!

Ahsanta.


Ps;Shariff Ritz....niwie radhi yanilazim kutoka kiduchu,maana hapa mindhal kaingia Ulamaa Dr Kahtaan,mie itakua kazi yangu kuangua vicheko tu na sintafanza lolote la maana humu kwa sasa! Kwi! Kwi! kwi!

Kwa Ihsan yako,kipata fursa nitafutie ile post ambayo Nguruvi3 anadai yakuwa Sheikh Mohamed Said ati heshi kumsimbulia mno Nyerere wao na kumsimanga kuhusu chakula na manginayo!?

Kuna maneno kiduchu nataka kumjibu huyo Nguruvi3 kwenye hiyo post...nimejaribu mno kuipekura humu lakini siipati!?

Kuna "jamaa wengine" nao,shughuli yao takuja wamalizia kesho Insha Allah kipata fursa.

Kaa vyema na Maulana Dr. Kahtaan na Al Murid THE BIG SHOW! Kwi! Kwi! kwi!

Ahsanta.
 



Hivi wewe jamaa ni msomi na mstaarabu/muungwana kweli kama unavyojinasib humu Jf au hapa jamvini!?...au ndo yale makhanatha ya "Muungwana Zomboko"!? Kwi! Kwi! Kwi!

Nachelea, isijekuwa sisi tumo hapa na kuacha shughuli zetu za maana,kumbe tunazungumza na muuza mitumba wa pale Manzese!?

Mbona unazungumza kama mambo ya vilabuni!?...utasemaje sisi tuko uchi!?...imekhusu nini kuutaja huo uchi hapa jamvini!?

Au ndo kule kwenu Kicheba ukizungumza na wenzio unatumia maneno haya!?...khalaf wewe mwenyewe utarejea hapa kujifanza victim ati yakuwa umetukanwa!?

Yakhe,mbona hushi kujisahau kila kukicha!?

Inna Lillahi!


Ahsanta sana.
 

Gombesugu, Wallah raha ilioje kukusoma!!!!

Naona ukali wako na neno kiduchu viko pale pale hahahahaha. La mwanzo hebu tupeane mamkuzi mema; Aslaam aleykum.

Mimi kumsaidia Nguruvi si rahisi nilijazia tuu kama unavyojazia kila akiandika Ustadh Ritz au Mzee MS, wenyewe tumeshayazoea haya wala hayatupi shida, ndio mila ya kundi letu. Tuendelee.

Hapa penye uvivu hukupasema vizuri. Palitajwa mipango bora, na Nguruvi akaomba msaada wa taarifa toka Mkuranga, huko nakumbuka kuna shule ilikuwa na matatatizo na ilikuwa na wanafunzi wachache sana.

Gombesugu, kuwaenzi mashujaa ni jambo zuri. Marekani sasa hivi unajua sana GERANIMO ni shujaa wa kitaifa kwa zile vita zake dhidi ya wazungu. Imechukua muda watu kubadili mtazamo. Afrika kusini, hali kadhalika. Binafsi ningependa sana kuona Bibi Titi Memorial University, why NOT?

Awali kama unakumbuka tulisema sana humu JF hivi kinachofanya Kirinjiko au Mudio au Buhongwa Islamic seminaries wafaulu kitaifa ni NINI? hili swali wallah halijibiwi, na kwa bahati mbaya kila ukilibold basi Gombesugu unatu-koromea KWANINI?

Maswali mengine nadhani yameshajibiwa ktk majibu tangulizi. Karibu Mazinde au Kabuku au Pangani ujenge shule kama Kirinjiko wacha lawama, muda haungoji.
 
Wickama.

Salama, nadhani hakuna anayepinga hawa mashujaa wetu sisi Waislam kupewa majina ya shule zetu na vyuo vyetu, hilo siyo tatizo letu kama anavyosema jamaa yako Nguruvi3. na wewe una mtetea hebu msome hapa chini.
Endelea kumsoma jamaa yako na unayetetea maneno yake.
Leo watu wanasugu vichwa barbara zipewe majina!
Wenye akili wanasugua vichwa wafanye nini kuongeza shule, vyuo n.k.
Nadhani wanaukumbi pamoja na wewe wamemsoma huyu jamaa yako sijui nani alikuambia haya majina ya barabara na ya vyuo ndiyo madai ya Waislam wa Tanzania.
Article yake inagawa uwanja wa lawama kwa waislamu kuhangaika na marehemu Nyerere (14 yrs ago) huku wao wakikosa udiriki wa wakuenzi mashujaa wao wenyewe japo kwa kutumia majina ya mashujaa hao katika taasisi wanazounda.
Sheikh Mohamed Said. amendika kitabu chake mwaka 1997 wakati Nyerere yupo hai, siyo kweli kuwa sisi Waislam tunahangaika na marehemu, hauwezi kuwazuia Wacongo wasimuongelee Leopold II, hauwezi kuwazuia Ukraine wasimjadili Jozef Stalin, hauwezi kuwazuia kuwazua Wajapan wasimjadili Hideki Tojo, hauwezi kuwazuia Cambodia watu wasimuonglee Pol Pot, kisa wameishakuwa marehemu.
Nakukaribisha Tanga nitakutembeza wewe na utakaokuja nao kwa gharama zangu binafsi katika taasisi za kiislamu zenye shule za sekondari hapa mjini petu hadi lushoto kisha upime kama nasema uongo. Ni-PM unataka kuja lini niwaandalie mapokezi.
Kwanza namshukuru Allah, Alhamdulilah, najiweza kujikimu kidogo na haram wewe kiniandalia mapokezi, bahati nzuri hapa Tanga ni nyumbani kuna ndugu zangu wengi wakisikia wewe ndiyo unakaribisha Tanga itakua kituko, hauwezi kufanya reference ya masula ya Waislam kwa kutembela Lushoto, mimi mwezi ujao naenda Morogoro kisha taenda Mwanza na Bukoba kwenye shule za Waislam vijana wa Kiislam wamepata Scholarships nchi za Asia, Marekani, Ulaya, kwenda kusoma Masters, PhD, Degree, Courses, pitia hizi habari za mwaka juzi kiduchu hapa chini kutoka Morogoro peke yake uone harakati zetu unadhani watu tunacheza, tatizo nyie Wakirsto chuki zenu zimepita kiasi.
Nadhani umesoma hizi bayana kiduchu ukitaka takupa maendeleo ya hizi harakati za Waislam ambao kila kukicha mnawadharau.





sioni dalili za Nguruvi kuubeza uislamu kama dini hapa na hata mimi kama mwislamu singekubaliana naye katika hilo. La maana sisi kama waislamu lazima tukubali kuwa hatuna mafuta wala mjomba wa kututoa katika hii DHIMA ila HARD WORK and good plans.
Soma hapa chini HARD WORK za Waislam.
Soma hapa chini HARD WORK and good plans.





Soma hapa chini HARD WORK and good plans.
Tuishie hapa habari ni nyingi sana.
 
Last edited by a moderator:


Wickam,

Salaam.

Nitajitahidi tuzungumze uzuri japo kesho.

Nilikua tayari nimeshaaga hapa,lakini nimeamua kukujibu japo kiduchu kwa hishma yako.

Nami halikadhalika,nimefurahika pia kukusikia tena humu Jf!

Ukae salama.

Ahsanta.
 



Duh!!....Shariff Ritz,we mtu unatisha!

Ahsanta.
 

Al habib gombesugu wallahi I love all of you my brothers for the sake of Allah!

Na pia sipendi kuingiza maneno wakati maulamaa mnapotoa elimu kwetu na kuwakumbusha wale summun bukmun!

Lkn nashindwa vumilia mtu akileta makhanatha ktkt ya mnakasha!

Jitu zima linaingia hapa kwa mbweembwe! Ohh shemeji Ritz ohh al akhyi CHAMVIGA ohhh ndugu yangu gombesugu

Kumbe unafiki mtupu!

Wanamtusi ulamaa Mohamed Said halafu wanatulaumu sisi eti tuna watusi!!
Ajeeb!

Na mimi nishawambia hawa wagalatia ya kuwa mimi si msemaji wa Mohamed Said na wallahi wala huyu maalim hata hanijui!

Ispokuwa MIMI NA WAGALATIA NI MAADUI WA WAZI KABISA!

sasa yale mambo yao ya kinafiki siwezi yapuuza hata siku moja!

Tutafyatuana mpaka kiama!

Teh teh teh teh!

Mtaniwia radhi wakati mwingine mashekhe wangu! Manake nimesomea hizi shule za kigalatia! Kwa hiyo wakati mwingine ya makhnatha ya kigalatia na mimi ninayo!
Teh teh teh teh!

Jazakallahu kheiran fee daarain!
 
Last edited by a moderator:

Shemeji Ritz
Kwanza pokea salaamu na pia nimefurahi ushahidi wako wa HAED WORK AND GOOD PLANS. Haya ya mitaa, hata mkiita Clinton au Hitler iiteni tutapita na bodaboda bado. Basi ustadh ukija hapa mjini kwa nduguzo basi tujulishane, hilo nadhani halitakutia doa. Mbona, nyumba moja, fito ..... Tuko pamoja Ritz?

Karibu sana
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh Nguruvi3, naona sasa umeamua kurusha ngumi hewani na bado endelea kumwaga mtama njiwa wale sasa hivi umeamua kulia na vijana teh teh teh..
Halafu anakataa kuwa hakukuwa na ubaguzi wakati Nyerere alinusurika kuondolewa madarkani kwasababu ya imani yake.Ameshau nini Platan na Amir walikusudia dhidi ya Nyerere.
Hebu msome Nyerere mwenyewe hapa chini usimsemehe marehemu. hebu tulizana kunywa glasi moja ya juice ya tende upunguze munkari kisha msome Nyerere alichokiongea dhidi ya Waislam ambao wewe unasema walimbagua.
Waislam wangekuwa wabaguzi kwa nini wasimbague Nyerere ambaye alikuwa Mkristo peke yake haya maneno aliyaongea kwenye hotuba ya kuwaaga wazee wa Dar es Salaam,
 
Kwani ni Tambaza tu, nilisikia hata Bagamoyo. Hebu tupe maneno ya Nyerere aliyosema akiwa kama si Bagamoyo ni hapo Tambaza kwa urefu.
Nimeipenda sana hii maana njia wanafunguliwa! Naulizwa mtama uko wapi?
 
Kwani ni Tambaza tu, nilisikia hata Bagamoyo. Hebu tupe maneno ya Nyerere aliyosema akiwa kama si Bagamoyo ni hapo Tambaza kwa urefu.
Nimeipenda sana hii maana njia wanafunguliwa! Naulizwa mtama uko wapi?

Nguruvi,
Kipo kisomo kingine alisomewa na Sheikh Mohamed Yusuf Badi Lindi mwaka 1956.

Kisomo kingine alifanyiwa Mnyanjani, Tanga mwaka 1958.
Hii ndiyo historia ya Nyerere na TANU.

Vipi Waislam wasijidai...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…