Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Watu wanapeana salam ghaali sana! Na inataka ufahamu wa hali ya juu kufikia kiwango hiki!
Sio nyie wagalatia " bwana awe nawe bla bla bla! Nyie kila mtu awe na bwana?? Sasa huu si ubasha huu?
Maskini we hujui hata maana ya salam zenu hizo! Unaitikia tu! Tawile!!
Teh teh teh teh! Chunga kijana hawa wachungwaji wabaya sana kwa vijana wadogo.!
Mkuu kahtaan umetoa ya mwaka!! Nimecheka mpaka nikataka kuzimia, familia yangu ilikimbilia chumbani kuniangalia ikifiri nimepata heart attack. Hivi maneno haya huwa mnaya chimbua wapi, biblia mnaisoma saa ngapi maanake naona munaimanya sana!! Mimi ni mkristo lakini hii kali mkuu.
Mkuu kwani Malcom X alikuwa wa madhebu gani ya kidini? Hivi kwa nini Edgar Hoover alikuwa anamouna Malcom X kama tishio la Uncle SAM, je alikuwa anaogopa sura yake, msimamo wake au DINI yake? Nimewahi kusikiliza speech za Malcom X na kusoma vitabu vinavyo eleza historia yake, binafsi sihafiki na maoni ya kusema Malcom X was incapable of seeing beyond his nose, unless kama tunataka ku-emulate maoni ya Edgar Hoover 2 the letter. Kila binadamu mwenye akili timamu anajuwa kwamba Malcom X alikuwa anasemwa mambo mengi tu ya kumuaribia sifa/kumpakazia kutokana na DINI yake si, kitu kingine.
Nashukuru sana kuliona hilo mkuu, your alias name (Gombesugu) limenikumbusha enzi zangu pale Minaki nikiwa na rafiki yangu Kambangwa akitufundisha kucheza/piga ngoma za Mwaneromango na Kazimzumbwi. Karibu sana mkuu.
Struggle to change the future and not the past coz past is already gone and not coming back hata wakisema waandike vitabu upya wawa recognise na waislam hamna mtu atakaesoma na kila mtu ataona its fake why now mlikuwa wapi cku zote,matatizo ni mengi nchi hii na kasoro ktk kila jamii hazikosekani so its better tu struggle zisijirudie na sio kuendekeza vitu vilivyopita
whether ndie baba ama mjomba wa taifa hili, kumbuka kuna waliohusika kumpa huo ubaba ama ujomba kwa hiyo sio dhambi michango yao ikatambuliwa kwasababu pengine mjomba Nyerere asingefika hapo alipofika kama sio hao walio-sacrifice kumweka.NYERERE ndio Baba wa Taifa hili. Hayo mengine ni makelele ya vijiwe vya wauza kahawa na kashata.
nasubiri toleo jipya,, "islam's role in terrorism" .
Ahsanta
You can never ever separate religion with history of Tanganyika politics no matter how much you try:
If you have any other way of narrating the history of Tanganyika struggle for freedom without touching the "religious affiliation", kindly do so.
Believe you me, this is a challenge which you will never ever be able to achieve. Start to prove me wrong.
UDINI UDINI UDINI ndiyo shida yako! Hivi kama wamatumbi au wakinga ndiyo walikuwa wengi au hata kama ndiyo walioasisi mapambano dhidi ya mkoloni katika nchi na pengine wakafanikisha kumuondoa mkoloni! Je? yatosha hapo kusema wamatumbi so and so ndiyo waliyofanikisha kumuondoa mkoloni au tutawataja kwa utanzania or rather utanganyika wao? Sioni mantiki ya kuizungumzia historia ya ukombozi wa Tanzania kwa misingi ya kikabila au ya kidini! Na kwakweli ninamdharau sana anayefanya hivyo.
Ni jambo la kusikitisha sana kuzungumzia kufanikiwa au kutofanikiwa for that matter kwa taifa hili kwa misingi ya kidini au kikabila! tunapofanikiwa tunafanikiwa sote kama taifa bila kujali misingi yetu ya kidini na tunaposhindwa tunashindwa wote kama taifa! Hili la kusema ni waislam au wakristo ndiyo waliopelekea tupate mafanikio au kutofanikiwa si jambo la kiungwana na kwakweli linajengwa katika misingi ya kuligawa taifa na uchochezi wa kidini usio na kichwa wala mkia!
Napata shida sana kwakweli kuona kuna watu wenye akili timamu wanazungumza mambo kama mataahira kwasababu tu ya kutaka dini yao ionekane ndiyo imefanya mambo makubwa!!
whether ndie baba ama mjomba wa taifa hili, kumbuka kuna waliohusika kumpa huo ubaba ama ujomba kwa hiyo sio dhambi michango yao ikatambuliwa kwasababu pengine mjomba Nyerere asingefika hapo alipofika kama sio hao walio-sacrifice kumweka.
yaan waislam mnaumwa ,tena ugonjwa hatari wa kugawa watuy kwa mising ya din zao,na kutokana na umamuma wetu mnawakokota watz hasa waumini wenu mkiwajaza ujinga, eti waislam ndio waliokuwa mstari wa mbele au ndio hasa waliop pigania uhuru wa nchi hii .je walipigania kwa sababu ya din yao?ingekuwa ivo bas wasingefanikiwea tanu kushinda,maaawaislam walikuwa chama chao cha kidin,cha ,makamanda muda wa hewan umeisha,ntawacheki tena
I think you would have posted "Islam's role in killing people in the name of their God and get gifted 72 virgins"
cjapata kuona jiniazzz kama wewe leo.kwanini Mohammed Said asichangishe waislam wote ili waanze kuchapisha vitabu vipya vya historia ya Tanzania vitakavyotumiwa na watoto wa kiislam tu?!
I am tired of reading these suggested 'corrections' to our history..which of course will never materialize to anything.
. siasa na role ya Waislaam na Uislaam katika "Tanzania freedom struggles nani alitakiwa awa-acknowledge waislamu ? mbona mnazidi kumwongezea sifa nyerere kwa uwezo wake wa kuwa-dominate kiakili na kimaamuzi huku yeye hakuwa muumini . ikiwa kama misikiti ilikuwepo na makanisa hayakuwepo, je kwanini sasa mnadai waislamu hawakuwekwa nani alitakiwa kuwaweka? tujuze?Hata siasa ni dini, kama huijui maana ya dini inabidi kwanza uijue maana ya dini. Ngoja nikupe darsa dogo;
Dini ni njia na muongozo wa kupitia katika mfumo wa maisha ya kila siku, safari uliyokuwa nayo duniani hadidu rejea yake ndio dini yako, kwa hiyo kama wewe unaamini Uislaam ndio dini (njia yako), Kama unaamini Ukristo ndio dini (njia yako), kama Unaamini Upagani, Uhindi, Ubuddha, Mti, kenge, kondoo, panya, sayansi, katiba, basi hiyo unayoamini kuwa ni rejea yako ya mwisho ya kukuongoza katika uyafanyayo kila siku ndio dini (njia yako).
Hapa kinachoongelewa ni siasa na role ya Waislaam na Uislaam katika "Tanzania freedom struggle", au una usongo kwa kuwa unajuwa kuwa Kanisa halikuwemo katika "freedom struggle"?
. kama misikiti ilikuwepo, kwanini sasa mnadai hawakuwekwa, siasa na role ya Waislaam na Uislaam katika "Tanzania freedom struggles nani alitakiwa awa-acknowledge na kwenye nchi isiyo na dini wa wawekwe ili nini? mbona mnazidi kumwongezea sifa nyerere kwa uwezo wake wa kuwa-dominate kiakili na kimaamuzi huku yeye sio muumini