Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

kwa hiyo mtu yeyote asieamini kwenye kile unachoamini wewe basi hawezi kuwa ndugu yako? that is how low you can think?!
kazi ipo! hongera kwa kufikiria ufikiriavyo.

Let me make this very clear! MIMI SIWEZI KUWA NA UNDUGU NA KAFIRI!! ABADDAN.
Na hii sio kashfa! Bali ni kanuni ya maisha ambayo NIMEAHIDI KUIFUATA!

Mimi nasema MUNGU MMOJA!
Wewe na wenzako mnasema miungu WATATU!!
SASA HUO UNDUGU UTATOKA WAPI??
MANAKE KWENYE DAMU HAUMO! NA KWENYE IMANI HAUMO VILEVILE!

Mi sio mnafiki kama nyerere! Anatuita NDUGU WATANZANIA! HALAFU ANADHULUMU MALI ZA WAZEE WA WATU.
Mi nakwambia kabisa kama ww unasema miungu wengi au mungu ni mzungu! Basi WEWE NA MIMI NA MBINGU NA ARDHI!.
Now keep off galatian.
 

Usitumie makalio kufikiri!
Nenda kaulize kama kuna nchi inayoitwa VATICAN. Nadhani ukiipata basi rais wake lzm atakuwa pope!
Teh teh teh
 

KIKWAZO KWAKO NI hio Elimu yako Ya kata Mlaleo .

Hakuna NCHI INAYOITWA VATICAN!

ISPOKUWA VATICAN IKO NDANI YA NCHI YA ITALY!! NA NI MAKAO MAKUU YA KIKAFIRI! NA YA KUABUDU SANAMU!!

NA ITALY Ni nchi ambayo ULIBERALI NI HALALI! NA NDOA ZAO ZINAFUNGWA NDANI YA MAKANISA.
Rudi shule kwanza.

Hapa utachemka!
 
Last edited by a moderator:
Al-Habiby gombesugu

Umewataja hao wazee chini hapo umenikumbusha mbali sana, wengi hao wazee wametangulia mbele ya haki.

Kama miezi mitatu iliyopita nilikwenda kumuangalia Mzee Mwinyichande Bin Kidato alikuwa India kwa matibabu, anaendelea vizuri watoto wake mie rafiki zangu pale Mtaa wa Congo "Nungwi"

Huyu Mzee nyumba yake ipo Congo mwisho na ana nyumba sehemu nyingi, nyumba yake mtaa wa Agrrey karibia na Msimbazi ndiyo nyumba pekee haijajengwa ghorofa

Tuwaombee dua hawa wazee wetu ndiyo maana huwa nakuwa mkali sana hawa wazee wakiletewa kejeli na dhiaka.

Hayu mzee alikuwa mkuu wa magereza Morogoro.
 
Last edited by a moderator:

Haya ni mazingaombwe?
 

Umekuwa ukinipa maelezo yanayohusiana na Kanisa Katoliki mara nyingi sana,kwanini?
 
hahahaha!
Kweli kazi ipo, duuh!
 
aiseee, duuh! Muumba wenu kiboko.
Mimi huwa sibishanii imani yangu. As long as imani yako inakusaidia, na inakuwezesha kuishi na viumbe vingine kwa amani hata kama unawaona wanyama basi dini yako inakufaa mwenyewe. yangu inanifaa sana na that is not for discussion.
Dada kingasti asemayo daktuur kahtaan ni sadakta. hayo ndio mafundisho yetu kutoka kwa alyekiumba wewe, mbingu na ardhi. Hatuna uwezo wa kuyabadilidha
 
hahahaha!
Kweli kazi ipo, duuh!

Hao hao wanaowaita makafiri ndo wanaowafundisha darasani..... Hao hao makafiri ndo wanawaweka mjini.... Hao hao makafiri ndio wanaohangaika nao kuwauzia bidhaa na huduma zao..... Hao hao makafikiri ndiyo wanaowatengenezea nyumba au chochote kinachoharibika pale nyumbani.... Hao hao makafiri ndo wanawatongoza kila uchwao.... Uislam umesheheni unafki na kukaririshwa.... By the way hatushangai kwanini waislam ni wengi ktk shule/vyuo/taasisi na maofisi yenye waasisi makafiri kuliko kinyume chake....
Yaani nitafanya ujinga wote ila sitothubutu kuingia uislamuni... OVER MY DEAD BODY!!!!!!!!!
 
Umekuwa ukinipa maelezo yanayohusiana na Kanisa Katoliki mara nyingi sana,kwanini?

Uzi unazungumzia nini ama ndo mwendelezo wa kuuharibu?
Hivi mbona hamtulii sehemu moja mkahudumiwa?
Haya basi pata faida japo kiduchu hapa

Aloyasababisha yote haya tuyajadiliyo hapa ni Mkatoliki na si mkatoliki tu, la hasha,
kwa nukuu zake mwenyewe alinena mimi ni mkatoliki mzuri sana,
Sasa yeye alituambia nchi haina dini, mara twaona asema yeye ni m....... mzuri sana, na haikupita muda vijembe vikaanza kutupwa upande wa pili,
Kwa mantiki hiyo ndo utajaona kuwa hapa huwezi pata masimulizi uyapatayo yakauacha ukatoliki/kanisa kama ambavyo historia hii ya upatikanaji wa Uhuru wa Tanganyika, huwezi kuisimulia akawakwepa Waislaamu

Naamini umepata muongozo na sababu nzuri,
Sasa endelea na maulizo
 

Sasa soote tukiingia katika Uislaamu/njia ilionyooka na tukayashika maamrisho na kuyaacha makatazo,

Nani auingie moto kama si weye na yule?!
 

Mbona waislamu wanahangaika hivi kuonyesha potential yao ktk harakati za uhuru wetu??? Ninachojua mimi kazi/jitihada za mtu au watu zinaonekana bila hata kutumia nguvu kama hizi... Wahenga walinena "chema cha jiuza kibaya chajitembeza"
 
Enyi wagala

Juzi nilikuachieni challenge hapa ambayo imekuwa ni mara ya tatu hazijibiki, mwajitia hamzioni kama dasturi yenu,

Leo naona mwatakatoka kivingine,

Sasa ombi langu na ushauri wangu, tujikiteni katika uzi husika na tusichanganye mambo hapa ili kuharibu mustaqkabali wa mleta uzi,

Ahsanta wana jamvi.
 
Sasa soote tukiingia katika Uislaamu/njia ilionyooka na tukayashika maamrisho na kuyaacha makatazo,

Nani auingie moto kama si weye na yule?!
Uislamu haujanyooka mkuu... Kuna doughts nyingi sana ktk hiyo dini... Tatizo ni mafundisho yake hayapatani na akili kwa mfano kuuwa mijusi... Kuoa wanawake wengi... Kuua non- muslims... Kutumia hadithi za mtume badala ya neno lenyewe takatifu... Uislam na misimamo yake kuhusu majini.... Kung'ang'ana sana na kiarabu wakati duniani kuna lugha nyingi... To me mambo haya yananipa mkanganyiko sana kuukubali uislamu.

Ni kweli ktk ukristo pia kuna mambo mengi ya ajabu ambayo sometimes mimi binafsi yananishangaza pia ila naona mlengo wenu nyinyi uko kinyume sana na utu na hisia za Mungu mwenye upendo... Mimi binafsi bila hata kuihusisha dini naamini MUNGU ANATUPENDA SANA BINADAMU... Na kwa mantiki hiyo basi Mungu anaupendo wa hali ya juu sana.. Sasa wazo hilo nikilipeleka ktk uislamu halipatani nao... Yaani yanayotendeka na kuaminika ktk UISLAMU ni kwamba MUNGU ANATISHA NA NIMKATILI HAILEZEKI...

Kwa hayo machache nasema uislam unakasoro
 
Mbona waislamu wanahangaika hivi kuonyesha potential yao ktk harakati za uhuru wetu??? Ninachojua mimi kazi/jitihada za mtu au watu zinaonekana bila hata kutumia nguvu kama hizi... Wahenga walinena "chema cha jiuza kibaya chajitembeza"

Hapo ndo uwezo wake umegota wa kufikiri,
Pole sana japo huenda hustahiki hiyo pole,

Na si utuambie Wahenga wahenga,

Na kwa taarifa yako shika kanuni hii kabla hujaropoka hapa : - Misemo haifasiri kwa misemo bali hufasiriwa/ huchukuliwa maana,

Kapumzike na hii : -

Ada ya mja hunena muungwana ni vitendo,
Lete tafsiri ya hapo juu,

Kisha kutokana na tafsiri hiyo ujiandae kwa maswali na nnakusihi usikimbie.
 

Madhali umeanza kwa kutoa kasoro za Uislaamu kwa mifano hapo juu,
Utakuwa hujatenda haki upande wa pili,
Hebu nitajie japo kiduchu mapungufu ya ukristo japo najua itakuia muhali, ili kuanzia hapo ionekane umefanye haki katika dini yako,

Na mie sasa ntakufungua pale ambapo umepotokwa/potoshwa kuelewa,

Kwani siamini kama ungeliiacha huru yako akili ingelikufika hiyo tabu ya ufahamu,
 
Hawa waislamu huwa hawanaga hata kueleweka nini. Kila kitu akisema mwislam wanakishikia bango. Sijui hii dini ni nini tu jamani.
 
Mujitahid wabara

Nakusoma maulana kwa hizo bayana zako kiduchu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…