Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

ALIYEKWAMBIA NYERERE SIO MUUMINI NI NANI??
Au unaropoka tu!? Hapa tunaongelea kilichowekwa ndani ya historia yetu!
Na swali la msingi linabaki pale pale!
Je ! Kwa nini mashujaa wote wa nchi yetu wasipewe haki ya kutambuliwa??
Huu mfumo kristo unachafua mpaka kwenye historia??
Mnsnfssssssssss!!
kumbe nyerere alikuwa muumini wa kiislamu shaka iko wapi sasa?.
 
kumbe nyerere alikuwa muumini wa kiislamu shaka yenu iko wapi sasa?. hii ni historia ya taifa inatakiwa iandikwe kwa weledi mkubwa sio sio historia ya kutajataja majina wala ya dini fulani. ki-uandishi huwezi kumtaja kila mtu, hata mashamba boy na mahausgeli aliyewapikia chakula hawa mabwana, na watumwa waliokuwa wanatumikishwa na mamwinyi wa zanzibar ili kuwawezesha wapange mikakati ya uhuru pia hawakuandika, wakiwemo wake zao ambao wengine walikuwa na wake hadi sita na watoto wao,. pia majina ya watanzania wote waliokuwa wakikusanyika kwenye mikutano wakiwemo wacheza ngoma waliokuwa wakihamasisha uhuru upatikane.

Maneno unayo andika hapa na maneno ya mlevi tofauti yake ni majina tu!
Wewe ni 2013 na yule ni mlevi!
Sasa kuendelea kujaribu kukuelewesha wewe ni sawa na kujaribu kumpigia gitaa mbuzi ukitegemea atacheza!
Hapo utakesha!
Labda kwa kukusaidia tu jaribu kusoma uzi halafu anagalia maneno yako! Labda utaamka!
 
Last edited by a moderator:
wewe unachuki na wachagga na wewe unachuki na wakristo. am mchagga pia. mimi sio mwarabu wala alshababu, am proud to be chagga

Kwi kwi kwi kwi! Wapi mimi nimesema nina chuki na wakristo au wachaga? Wapi??
Mbona meku una inferiority complex namna hii?
Tuliza mpira kijana! Kama mbege imekuzidia kakojoe ulale!

Halafu we wa urru au machame au ni wa hapahapa kwenye vitimoto kiboriloni??

Teh teh teh teh.
Cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
Wewe mchaga ambae unategemea maisha yako kupata ruzuku kutoka chadema unataka kulinganisha elimu yako na MOHAMED SAID.... bla bla blah.....!
Wewe mchaga ambae unategemea maisha yako kupata ruzuku kutoka chadema unataka kulinganisha elimu yako na MOHAMED SAID.... bla bla blah.....!!!!!!!!!!!:shocked:!!!
 
Sasa kusema wewe mchaga Ndio kuonyesha chuki???

We kiswahili unakifahamu ww??

Yaani nikisema wewe mnyamwezi au wewe muha au wewe mgalatia ina maana woote hao nawachukia??

Ni bora nimekufahamu kuwa weww ni mmoja wa wachaga wanao sumbuliwa na lugha ya taifa!!
Kwa taarifa yako mimi nilikuwa na mchumba wangu wa kichaga lkn tabia yake na yako tofauti kabisa!
Teh teh teh teh!
 
mbege ni pombe ya asili ya ndizi natumia sana tu. naheshimu asili, as i told ya, am neither alshabaaabu nor boko haram, am proudly african thats my identity. wa-uru nao watu kama wamachame vile. kitimoto nakula pia. umekuwa huna furaha unatumikia dini lakini haikupi furaha, ungetamani kila mtu umbambikizie imani yako. kila siku unaona unaonewa, kila siku ni kulalamika, njoo kwa yesu huko utapata furaha. fanya fasta kabla hujajiuwa wewe. nini thamani ya maisha yako kama mwafrika ikiwa waafrika wenzako huwapendi, nini maana ya kuweka avatar ya mtu mweusi wakati wewe ni mwarabu kwa ndani.?

Nije kwa yesu! Wapi huko? Halafu jitu zima linajisia kulewa! Kwa kisingizio cha kulinda utamaduni!
Teh teh teh teh!
Unanikimbusha lile tangazo la chibuku linalosema "chibuku hulinda hadhi ya mnywaji" halafu watu wanalewa chibuku mpaka wanajinyea! Sasa kuna hadhi hapo?
Naskia mbege inaharibu uzazi! Chunga meku usije lia baadae!

Teh teh teh
 
Sasa kusema wewe mchaga Ndio kuonyesha chuki???

We kiswahili unakifahamu ww??

Yaani nikisema wewe mnyamwezi au wewe muha au wewe mgalatia ina maana woote hao nawachukia??

Ni bora nimekufahamu kuwa weww ni mmoja wa wachaga wanao sumbuliwa na lugha ya taifa!!
Kwa taarifa yako mimi nilikuwa na mchumba wangu wa kichaga lkn tabia yake na yako tofauti kabisa!
Teh teh teh teh!
conotation ya wewe mchagga is not positive just like wewe wa uru au machame'', ''kiboriloni wanapopika kitimoto''. it implies something wrong with wachaga, wa-uru, wamachame, kiborloni wapika kitimoto.:tape:
sishangai kama akili zenyewe ni hizi, hata mtume alimfananisha mtu mweusi na shetani alivyo.
 
Nije kwa yesu! Wapi huko? Halafu jitu zima linajisia kulewa! Kwa kisingizio cha kulinda utamaduni!
Teh teh teh teh!
Unanikimbusha lile tangazo la chibuku linalosema "chibuku hulinda hadhi ya mnywaji" halafu watu wanalewa chibuku mpaka wanajinyea! Sasa kuna hadhi hapo?
Naskia mbege inaharibu uzazi! Chunga meku usije lia baadae!

Teh teh teh
kwahiyo unaisubiri pombe chungu ya peponi sio. umeitafakari vizuri uchungu wake unavyofanania?. nakupa assignment nenda kapitie vizuri huo mstari.
 
conotation ya wewe mchagga is not positive just like wewe wa uru au machame'', ''kiboriloni wanapopika kitimoto''. it implies something wrong with wachaga, wa-uru, wamachame, kiborloni wapika kitimoto.:tape:
sishangai kama akili zenyewe ni hizi, hata mtume alimfananisha mtu mweusi na shetani alivyo.

Unaona sasa unafiki wako! Kusema vitu kwa sababu domo mali yako!
We hujui kuwa one of the best friend of prophet muhammad s.a.w.was A BLACK MAN FROM ETHIOPIA BY THE NAME OF BILAL?

And he was so close friend with him so much so that when he past away he couldnt bare living in the same town again!
Listen bilals shot story here! May be you will understand! But I doubted very much!

Watch "Love Of Bilal For Muhammad (saw) ᴴᴰ | Emotional Reminder" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=ZKE0QMWHu6I&feature=youtube_gdata_player
 
Hakuna mtu kasema wapigania uhuru wa kiislamu wanataka KULIPWA!!
HAPA SUALA NI KUWATAMBUA NA KUWAPA HESHIMA ZAO KM HUYO NYERERE NA WENGINE!
Kila mara tumeskia fulani shujaa fulani alikuwa mstari wa mbele bla bla bla bla!
Na mara zooote wanaotajwa humo ni WAGALATIA TUPU!! Huku ni kuonyesha namna gani HILI TAIFA LINA UBAGUZI WA KIDINI VIBAYA!Na wanao uanzisha udini huo ni NYIE NYIE WAGALATIA NA KAMWE SIO WAISLAMU.
Nasubiri jibu!.

Pengine sijaelewa vema. Lengo ni lipi kati ya haya?.

1. Kutaka hao wanaodaiwa kusahaulika watambuliwe mchango wao katika upatikanaji wa uhuru
wa Tanganyika kama mtu mmoja mmoja kadiri ya michango yao?.

2. Inatakiwa watambuliwe kama ''Waislamu waliochangia upatikanaji wa uhuru?''

3. Waliochangia kupatikana uhuru ni watu binafsi au ni Uislam?.

Ninavyofahamu mimi swala la kupigania uhuru halikuwa la mtu mmoja wala kikundi fulani,
limeshirikisha watu na vikundi vingi sana. Wengi tuliowasoma kama akina Kawawa, Titi,
Julius, Kambona na wengine wengi ni viongozi tu lakini nyuma yao kulikuwa na watu wengi sana
wenye vipato tofauti tofauti na kila mmoja alitoa mchango mkubwa kulingana na kipato chake.
Muuza karanga akichangia sh 500, thamani yake ni sawa au pengine ni zaidi ya aliyetoa 500,000
lakini mwenye kipato 5,000,000.

Kila mtu au kikundi kilichoshiriki harakati hizo tuzo kubwa kuliko zote ni upatikanaji wa
uhuru japo ni wa bendera tu, lakini kwa kiasi walifanikiwa malengo yao. Sidhani kama lengo
lao mojawapo lilikuwa ni kutaka wasifiwe au au watambuliwe kwa imani zao au imani yao itambuliwe.
Waliotaka imani yao itambuliwe walianzisha chama cha kupigania hilo kwa mujibu wa sheria za
wakati huo.

Hata siku zijazo historia pengine itasomeka viongozi wa sasa wamejenga nchi, lakini ki-uhalisia ni
ni wananchi wa kawaida ambao wanalipa kodi na kufanya kazi usiku na mchana ndio wanaojenga nchi.

Kwa vile hao viongozi ndio wamesimama mbele na ndio wanaonekana na wengi kitaifa na kimataifa,
basi watakuwa wawakilishi wa walipa kodi wengi ambao ndio msingi wa ujenzi wa nchi.

Maoni yangu:
Kama Malengo ya hao waliosahalika yalikuwa ni kupigania maslahi ya waislamu
ni rahisi kuhisi ni kwa nini walipotea baada ya uhuru. Baada ya uhuru vita kubwa
ilihamia kupambana na ubaguzi wa kidini, kikabila, rangi, kupambana rushwa,ujinga,
maradhi na umaskini. Mtu yeyote aliyetaka kueneza hayo badala ya kuyatokomeza
aligeuka kuwa adui wa Taifa bila kujali imani yake ya kidini.

Pengine aliyeleta mtungo huu ataleta sababu pia kutoka kitabu hicho kueleza
sababu za watu hao mashuhuri kuachwa.

Naamini si kwa sababu ni waislamu bali sababu nyingine ambazo hazikuwekwa
wazi, pengine kwa makusudi ili kuepusha migongano isiyo na tija.

Naamini hivyo kwa sababu wapo waislamu wengi ambao wameshiriki katika
uongozi na kujenga misingi muhimu ya Taifa hili ambayo sasa tunaibomoa.

Ingekuwa tatizo ni ''Uislamu'' leo hii tusingesikia chochote kuhusu Titi, Kawawa n.k
Tusingekuwa na mitaa yenye majina ya viongozi waasisi wa Taifa waliokuwa
wanafuata imani ya ki-islam kama mojawapo ya historia ya michango yao kwa taifa.

JIBU:
Nyerere na wengine wote hawakutambuliwa kwa dini na imani zao, bali kama watu binafsi.

Hoja hii ingeonekana ya maana na pengine ingeungwa mkono na wengi kama ingejikita kuwafahamisha watanzania michango ya watu mbalimbali ambao hawajulikani katika historia ya sasa.

Suala la kuandika historia sio la siku moja ni swala endelevu.

Kutumia udini katika kujenga hoja kunaifanya hoja nzima kuonekana haina maana hata kama
lengo halisi lilikuwa jema.
 
Nadhani kwenye katiba mpya kuwe na kipengele cha wabunge wa viti maalum vya waislamu na kuwe na wizara ya Waislamu, maana inaoneka dhahiri hawa viumbe hawataki watambulike kama Watanganyika bali wanataka kutambulika kama Waislamu, hilo ndio Taifa lao.
 
Mtu Mzima nadhani tumeeleza huko nyuma ya kuwa katika harakati za kupigania uhuru HUWEZI KUTENGANISHA IMANI ZA WALE WALIO HUSIKA! IWE NI WAKRISTO AU WAISLAMU! NA HUO UPIGANIAJI UHURU!
Vipi utataja mikutano iliyofanyika kisiri ndani ya miskitini na makanisani bila kutaja uislamu na ukristo??

sasa basi hapa lengo sio kuonyesha kuwa waislamu ni mahodari kuliko wengine au ni wao tu walioshiriki ktk sakata lile LA HASHA!
Lengo kuu la uzi huu NI KUWEZA KUWATAMBUA NA KUWAENZI WAHUSIKA WOTE BILA KUBAGUA HATTA MMOJA!
Hapa utajiuliza kwa nini waislamu wanayasema haya! Sababu kuu japo kuwa wengi wanaipinga na kuifungia macho ni namna Historia ya kweli ya nchi hii ilvyochakachuliwa na kitu kinachoitwa MFUMO KRISTO!.
Hii Mtu Mzima kubali au kataa ni kitu kinacho ligawa taifa letu kila siku!

Katika historia ya nchi hii mara nyingi utakuta ili Cream of the crop inayotajwa basi 90% inahusishwa na UKRISTO! na hili limekuwa jambo la kawaida kabisa!
Mpaka kuingia ktk ofisi za serikali ukakuta picha ya Anaedaiwa kuwa mungu wa wakristo ukutani.
Ukisema vipi mtu aweke vitu kama hivyo wakati serikali yetu inasema haina dini unaitwa mara gaidi mara mtafuta shari!
Lkn kwenye upande mwingine ofisi ya serikali aliyemo muislamu kukiwa na dalili za uislamu mwingi basi utaskia kashfa na majungu!
Historia ya kweli imekaliwa na kufunikwa na waislamu tunahisi kuwa hii SI BAHATI MBAYA BALI NI KUSUDI! ILI VIZAZI VIJAVYO VISIONE MCHANGO WA WAISLAMU KTK UHURU WA TAIFA HILI!
Hakuna mtu anataka kulipwa hapa au kutukuzwa bali kama Nyerere anatajwa mpaka leo kuwa ni baba wa taifa! Basi kuna walio mfikaisha hapo kwenye huo ubaba wake wa taifa na Hao LAZIMA WATAMBULIWE NA WATOTO WETU MASHULENI WAFUNDISHWE KUWA KUNA MASHUJAA WENGINE ZAIDI YA NYERERE!
HII NDIO HASSA HOJA ILIOKO HAPA.

Waislamu wa Tanzania wanapo toa hoja zao na malalamiko yao hakuna anaetaka kusikiliza. zaidi utaskia viongizo wengi wakisema "hao ni wafanya fujo" sasa kumbuka hao wafanyafujo wana haki ya kusikilizwa vilevile na kama watu wataendelea kuziba maskio! Nchi yetu itaelekea kubaya mno!
Mungu ibariki nchi yangu Tanzania.
Amin.
 
Last edited by a moderator:
Pengine sijaelewa vema. Lengo ni lipi kati ya haya?.

1. Kutaka hao wanaodaiwa kusahaulika watambuliwe mchango wao katika upatikanaji wa uhuru
wa Tanganyika kama mtu mmoja mmoja kadiri ya michango yao?.

2. Inatakiwa watambuliwe kama ''Waislamu waliochangia upatikanaji wa uhuru?''

3. Waliochangia kupatikana uhuru ni watu binafsi au ni Uislam?.

Ninavyofahamu mimi swala la kupigania uhuru halikuwa la mtu mmoja wala kikundi fulani,
limeshirikisha watu na vikundi vingi sana. Wengi tuliowasoma kama akina Kawawa, Titi,
Julius, Kambona na wengine wengi ni viongozi tu lakini nyuma yao kulikuwa na watu wengi sana
wenye vipato tofauti tofauti na kila mmoja alitoa mchango mkubwa kulingana na kipato chake.
Muuza karanga akichangia sh 500, thamani yake ni sawa au pengine ni zaidi ya aliyetoa 500,000
lakini mwenye kipato 5,000,000.

Kila mtu au kikundi kilichoshiriki harakati hizo tuzo kubwa kuliko zote ni upatikanaji wa
uhuru japo ni wa bendera tu, lakini kwa kiasi walifanikiwa malengo yao. Sidhani kama lengo
lao mojawapo lilikuwa ni kutaka wasifiwe au au watambuliwe kwa imani zao au imani yao itambuliwe.
Waliotaka imani yao itambuliwe walianzisha chama cha kupigania hilo kwa mujibu wa sheria za
wakati huo.

Hata siku zijazo historia pengine itasomeka viongozi wa sasa wamejenga nchi, lakini ki-uhalisia ni
ni wananchi wa kawaida ambao wanalipa kodi na kufanya kazi usiku na mchana ndio wanaojenga nchi.

Kwa vile hao viongozi ndio wamesimama mbele na ndio wanaonekana na wengi kitaifa na kimataifa,
basi watakuwa wawakilishi wa walipa kodi wengi ambao ndio msingi wa ujenzi wa nchi.

Maoni yangu:
Kama Malengo ya hao waliosahalika yalikuwa ni kupigania maslahi ya waislamu
ni rahisi kuhisi ni kwa nini walipotea baada ya uhuru. Baada ya uhuru vita kubwa
ilihamia kupambana na ubaguzi wa kidini, kikabila, rangi, kupambana rushwa,ujinga,
maradhi na umaskini. Mtu yeyote aliyetaka kueneza hayo badala ya kuyatokomeza
aligeuka kuwa adui wa Taifa bila kujali imani yake ya kidini.

Pengine aliyeleta mtungo huu ataleta sababu pia kutoka kitabu hicho kueleza
sababu za watu hao mashuhuri kuachwa.

Naamini si kwa sababu ni waislamu bali sababu nyingine ambazo hazikuwekwa
wazi, pengine kwa makusudi ili kuepusha migongano isiyo na tija.

Naamini hivyo kwa sababu wapo waislamu wengi ambao wameshiriki katika
uongozi na kujenga misingi muhimu ya Taifa hili ambayo sasa tunaibomoa.

Ingekuwa tatizo ni ''Uislamu'' leo hii tusingesikia chochote kuhusu Titi, Kawawa n.k
Tusingekuwa na mitaa yenye majina ya viongozi waasisi wa Taifa waliokuwa
wanafuata imani ya ki-islam kama mojawapo ya historia ya michango yao kwa taifa.

JIBU:
Nyerere na wengine wote hawakutambuliwa kwa dini na imani zao, bali kama watu binafsi.

Hoja hii ingeonekana ya maana na pengine ingeungwa mkono na wengi kama ingejikita kuwafahamisha watanzania michango ya watu mbalimbali ambao hawajulikani katika historia ya sasa.

Suala la kuandika historia sio la siku moja ni swala endelevu.

Kutumia udini katika kujenga hoja kunaifanya hoja nzima kuonekana haina maana hata kama
lengo halisi lilikuwa jema.

wewe kwelii ni mtu mzima manake, hujazungumza kwa jazba wala kebehi, nadhani ulichokieleza ndicho kilichotokea, tatizo ni kuwa dhamira ya huu uzi ni kutoa jibu 'ndiyo' kwa swali lako lenye namba 2.

. umeeleza kilakitu na kueleweka vyema, nisije nikaharibu ujumbe wako.:tape:
 
woh woh woh, miaka hiyo hakukuwa na moviewala television, kilakitu kiliandikwa. now read
Qurani 42:10 Suratul Ash-Shuura (mashauriano)
Mkihitalifiana katika jambo lolote (rejeeni kitabu cha Mwenyenzi Mungu na
Hadithi za mtume kwani)…
Hadith; vol.9:162,163: Muhammad warned that dreams of
black women meant disease was forthcoming.

hapa naongeza, ukiota mwarabu ugonjwa umepona

..and that blacks should be left to die if injured,
and should be denied intercession and entrance to heaven (Bukhari: Volume 4, Book
52, Number 137).
haya bana, endelezeni jihadi, akini waarabu wabebeni lakini weusi waacheni wajifie huko.
wakifa peponi watakunywa pombe (sio mbege) itakayochoma matumbo yao. quran 47: 15. Is the description of Paradise, which the righteous are promised, wherein are rivers of water unaltered, rivers of milk the taste of which never changes, rivers of wine delicious to those who drink, and rivers of purified honey, in which they will have from all [kinds of] fruits and forgiveness from their Lord, like [that of] those who abide eternally in the Fire and are given to drink scalding water that will sever their intestines?.
Am proud to be black.:bange: my color is my attitude

Unajua wewe kwa lugha ya wakoloni tunakuita una maradhi ya "SELECTIVE UNDERSTANDING".
Neno "BLACK" Linapotumiaka ktk sentence ya kuelezea kitu HALINA MAANA YA RANGI YA MTU!!
MFANO;-

BLACK MAGIC.
BLACK MARKETS.
Unataka kusema hapa wakoloni wana maana ni watu weusi tu ndio wanaofanya hivi??
Halafu UISLAMU si sawa na ugalatia!
Historia yake IMEHIFADHIWA KILLA HERUFI NA KILA JINA NA KILLA TUKIO!
NA HAKUNA KILICHO BADILIKA KWA ZAIDI YA MIAKA 1400 ILIYOPITA!
Na hili usiniamini mimi! Fanya research mwenyewe halafu nionyeshe kipi ktk UISLAMU KIMEONGEZWA AU KIMEPINGUZWA!!

Unapotaka kujua uungwa au ubaya wa kiongozi yyt basi ANGALIA WALE ALIYOKUWA ANAWATAWALA JE! WANAMSEMA KWA UBAYA??

Kama unafahamu Historians basi soma vitabu vyao! Soma historia za wale WASIOKUWA WAISLAMU WALIOISHI WAKATI WA KIONGOZI HUYU MTUKUFU!
Halafu huu mtindo wa kuchomoa maneno ktkt ya sentensi halafu ukaweka hapa ni mtindo wa kizamaani! Siku hizi Watu wamekwend shule.
Ndio maana LEO UISLAMU UNAONGEZEKA KWA SAANA EUROPE KWA SABABU WATU WANAOFANYA KAMPENI ZA KUUKASHIFU WAMESABABISHA KUUTANGAZA BILA KUJUA! MATOKEO YAKE WATU WANAFUNGUA QURAAN WAKASOMA WENYEWE!
NA NAKUHAKIKISHIA MAGALATIA 2013 kama wewe ni intellectual person BASI UKISOMA QURAAN MWENYEWE BILA MSAADA WA PADRI AU MCHUNGWAJI! NA KWA MOYO ULIO WAZI LZM UKUBALI KUWA HAKUNA DINI INGINE YA HAKI ZAIDI YA UISLAMU.

Lkn kama utaendelea kuwa na hio selective hearing or selective understanding NINAKUONEA HURUMA NDUGU UTAKUJA KUFA KAFIRI!
NA ADHABU YA MOTO NI MBAYA ISIO ZOELEKA NA YA MILELE!
May God give you the understanding!
Say Amin 2013
 
Last edited by a moderator:
. siasa na role ya Waislaam na Uislaam katika "Tanzania freedom struggles nani alitakiwa awa-acknowledge waislamu ? mbona mnazidi kumwongezea sifa nyerere kwa uwezo wake wa kuwa-dominate kiakili na kimaamuzi huku yeye hakuwa muumini . ikiwa kama misikiti ilikuwepo na makanisa hayakuwepo, je kwanini sasa mnadai waislamu hawakuwekwa nani alitakiwa kuwaweka? tujuze?

Sikiliza kijana, katika kitu ambacho hakipo katika Uislaam ni ubaguzi, uwe wa rangi, jinsia, dini na au kabila, au uwe wa aina yeyote ile.

Kumbuka Hijra (immigration) ya kwanza ya Waislaam, walivyokuwa hawakubaliki Makkah, walielekezwa na Mtume Muhammad S.A.W waende Habash, huko Habash ndio Ethiopia ya sasa, na huko kulikuwa kuna mtawala Mkristo, nae akawapokea na kuwahudumia.(akiitwa Nagash).

Leo hii uelewe, hakuna Muislaam ambae ni adui wa anaejiita Mkristo. Adui wa Wakristo ni yule aliye msulubu Yesu, ni nani huyo?

Adui wa Wakristo ni yule aliye-wawekea viti 12 vya kuingilia mbinguni. Ni nani huyo?

Muislaam, hana tatizo na Mkristo wala Mkristo (wa kweli) hana tatizo na Muislaam.

Tatizo lako ni nini?
 
kwahiyo unaisubiri pombe chungu ya peponi sio. umeitafakari vizuri uchungu wake unavyofanania?. nakupa assignment nenda kapitie vizuri huo mstari.

Hebu pata faida hapa ;- tena ukiweza kuangalia mpaka mwisho na imani utakuwa ndugu yangu siku moja!
Insha Allah! (GODs willing)

Watch "THE MEANING OF LIFE - MUSLIM SPOKEN WORD - معنى الحياة" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=i4iq5NM4IRA&feature=youtube_gdata_player
 
Sikiliza kijana, katika kitu ambacho hakipo katika Uislaam ni ubaguzi, uwe wa rangi, jinsia, dini na au kabila, au uwe wa aina yeyote ile.

Kumbuka Hijra (immigration) ya kwanza ya Waislaam, walivyokuwa hawakubaliki Makkah, walielekezwa na Mtume Muhammad S.A.W waende Habash, huko Habash ndio Ethiopia ya sasa, na huko kulikuwa kuna mtawala Mkristo, nae akawapokea na kuwahudumia.(akiitwa Nagash).

Leo hii uelewe, hakuna Muislaam ambae ni adui wa anaejiita Mkristo. Adui wa Wakristo ni yule aliye msulubu Yesu, ni nani huyo?

Adui wa Wakristo ni yule aliye-wawekea viti 12 vya kuingilia mbinguni. Ni nani huyo?

Muislaam, hana tatizo na Mkristo wala Mkristo (wa kweli) hana tatizo na Muislaam.

Tatizo lako ni nini?

Barakallah fiiq mwalimu FaizaFoxy !
Hizi bayana zako ghali wallah!
 
Maashallah jazakallahu alkher
 
penye red: muslim action speaks louder than its word. Y?:help:

Matatizo yako ni mengi mno MANGI! Na moja wapo ni LUGHA! Hivi wewe mtu akisema MUSLIM we unatafsiri vipi hapo?? Hebu nipe ufahamu wako hapa ili tupate kuendelea.
 
muslim
kwa tafsiri rahisi naelewa kama mwislamu
 
Back
Top Bottom