Khairi inshallah nashukuru al habib. Maneno yakiwa kama ya nguruwe si tatizo, jiulize kama yana mantiki na yana tija kwako?
Ninaposoma matusi yenu dhidi yangu najisikia faraja kwasababu hoja zangu zimesimama zenyewe hazina majibu bali majibu ya matusi. Siku zote matusi ndiyo silaha nyepesi, nzuri na ya haraka kwa asiye na hoja.
Ninahakika nimewachoma lakini sindano inauma sana, tunaipenda ni dawa.
Ningalikuwa na nmana nyngine pengine ningeisema, tatizo mimi humuangalia nyani usoni wakati namshughulikia.
Waungwana, hivi mnajisikiaje mwenzenu akitoa hoja nanyi mkijibu matusi?
Nimeuliza mnachotaka hawa watu kueziwa ni kipi msichokisema?
Ninajua mnataka mitaa ipewe majina yao, je hilo litabadili maisha yenu au ya jamii inayowazunguka.
Hilo lita improve pass mark za wanafunzi wa jabal hilal, al farook au masjid quba!
Nguruvi3,
With all of my due respect naomba nikumbie ya kwamba hatupo hapa kulalamika,ni bahati mbya sana hii inatokea pale watu wanapojaribu kuelezea uhalisia ulivo watu wengine huhisi ya kwamba its all about malalamiko..!!!,no,muda wa kumwaga lawama ulishapita tokea muda mrefu sana,
Mara nyingi sana napofanya majadiliano nawe huwa napenda sana kukumbusha kuangalia vyanzo vya matatizo,usipende kukimbilia kudiscuss outcomes,
Tokea awali tulishakupa nin maana ya mfumo kristo,na kuhusu huo mfumo sio kwamba tunawapa lawama wakristo na kadhalika,wakristo ni ndug zetu,wengine familia zetu ni mchangnyiko wa watu wa iman mbali mbali,wakristo ni rafiki zetu,ni walimu wetu,ni madakatari wetu,tunaish nao kwa wema na ukarim wa hali ya juu kabisa,
Hapa tupo kuzungumza dhidi ya yule alietukuta watanzania tukiish kwa undug na uzalendo kisha yeye akaja kutumia rungu la madaraka aliyonayo kupandikza farki na matabaka katika jamii moja ambayo yote kwa pamoja ilikuwa ni muhanga wa utawala wa kikolon,
Iweje sasa tunaposimama na kusema nyerere alifanya kosa kubwa na amegharim kwa kias kikubwa maisha ya watu walio wengi na ndoto zao we unasimama kidete kukanusha hilo??
Je,wakanusha ya kwamba nyerere ndie mwanzish wa BAKWATA??HUTAK KULIKUBALI HILO??SASA JIULIZE YEYE ALKUWA ANA MAMLAKA GANI KIKATIBA YA NCHI HII KUUNDA CHOMBO KITACHOKUWA MAALUM KWA KURATIBU SHUGHULI ZA WAISLAM BILA RIDHAA YAO NA KUWSHIRIKISHA??SASA KIPI HAPO UNACHOPINGA SISI TUNAPOLAANI UHARAMIA KAMA ULE ALIOUFANYA JULIUS??
USITUTOE KWENYE TRACK ETI TUDISCUSS KWANN KIRINJIKO INAFAULISHA ILI HALI KINONDON MUSLIM INAFELISHA,HIZO NI OUTCOMES,DECADES AGO JULIUS ALIWEKA MFUMO AMBAO UNAZALISHA MENGI HAYA YANAYOONEKANA LEO,WE UNADHANI YANAKUJA KWA BAHATI MBAYA??
SASA SIKILIZA MKUU,HAPA HAKUNA ANAELALAMIKA,TUPO HAPA KUJADILI NIN CHANZO,NANI WAATHIRIKA NA NIN TUPANGE KUELEKEA ULINGANIFU NDAN YA JAMII HURU YA KITANZANIA,UKWELI SIKU ZOTE HAUPENDI KUKEJELIWA NA KUPUUZWA PUUZWA,HATA KAMA JULIUS KAFA SAWA TUH,KILA MTU ATAKUFA MUDA WAKE UKIFIKA,SISI HATUWEZ ACHA KUJADILI HISTORIA YETU NA KUBAIN WAPI TULIANGUKA NA YUPI ALITUANGUSHA NA NIN KWA SASA TUFANYE ETI KWA KUCHELEA KWAMBA JULIUS KWA SASA NI MAREHEM,HILO HALIPO,TUPO HAPA KUDISCUSS UHALISIA WA MAMBO,NA SIO KUMWAGA LAWAMA KWA YEYOTE YULE.