Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Soma post uone maneno, mara naitwa nguruwe, utumbo, khabithi n.k. Matusi yahaniumizi kabisa kwasababu ukiwa tayari kusema ukweli lazima ujiandae na upinzani wa ukweli.

Kinachoniumiza sana ni hawa wanaosema ni waislam halafu hawautendei wema uislam kwa kusema uongo, kushindwa kulingania na kutoa daawa.

Leo mimi khabithi (gombesugu asema), na nguruwe( Kahtaan anena) mkitaka kunilingania mtafanikiwa vipi kama mumetanguliza matusi? Hebu niwaulize maaana mimi kafir sijui haya, je matusi, kashfa na kejeli ni sehemu ya sunna au hadithi? kama siyo ninyi mumeyapata wapi na mnayatumia kwa idhini ipi?

Ritz umenena uislam ni mfumo mzima wa maisha, je mfumo huo ndio huu munaouambia ulimwengu?
Ninyi mlioamini na kashfa juu yake na khabithi asiyetukana nani anafuata mfumo wa maisha.
Je ndivyo mnavuta watu kwenye dini kwa maneno ya dhihaka kashafa na dhalili badala ya hoja?

Hebu jitazameni kwanza halafu muone ninyi na mimi tunalingana na tunatofutiana wapi.
Hakika nawaheshimu na sitawatukana maana hakuna imani inayofunza idhara, kashfa, khalifu na tashtiti miongoni mwa viumbe wa mwenyezi mungu.

Mimi nshawasamehe, timizeni wajibu wenu kumomba msamaha.
Sitawaone haya kuwaambi ukweli na huo nitausema. Sitawafariji kwa uongo nitawafariji kwa ukweli tena ukweli mtupu. Sitawapendeza mnipende nitawaambia mpende hoja zangu. Nitawasaidia muone msichokiona au kilichofichwa na hamkioni hata kama mtanishikia upanga!
Nisome post ipi wewe unalalamika umetukwana matusi yako wewe unayaita ukweli, post yako ya kwanza ndiyo imezuwa yote haya ngoja nikipata wasaa takuonyesha matusi yako.
 
Nguruvi3.

Naomba nikufafanulie kidogo/kiduchu kuhusu neno kafiri.

Kwanza neno kafiri sio tusi naomba ulitambue wewe na wengine wanaofikra hizo potofu,
kafiri maana yake ni mtu ambaye anafunika ukweli na kufuata batili kwahiyo ukiona muislamu
anamuita mkristo kafiri sio tusi ndivyo kitabu chetu kinavyo sema tuendelee na mnakasha.

Ahsanta.
Hapana siyo kweli. Kafir ni mtu asiyeamini. Ni neno la kiarabu.
Kafir inategemea unaongelea nini na kwasababu zipi. Kwahiyo darsa yako bado ina mushkeli.

Kuna kufunika ukweli na kuna kufuata batwili. Kufunika ukweli ni uongo.
Mathalan, Mohamed Said anaposema Sheikh Amir hakushirikishwa katika serikali wakati alipewa wadhfa akakataa huko ni kufunika ukweli. Je, nani anasimama vema katika neno 'kufunika ukweli' yule aliyegoma kusema au yule aliyesema sivyo haikuwa hivyo!

Kama tukichukua definition yako ya ukafir kama ni kusema uongo, basi utamweka MS mahali pagumu maana alifunika ukweli ambao kwa def yako ni ukafir. Ayway ni katika mnakasha.

Batwil ni kile kilichokatazwa, ni kinyume cha halali. Sasa kama kuwaambia watu kuwa huu si muda wa kujadili majina ya marehemu ni muda wa kufikiri walimu wa shule watatoka wapi ni batwili, hebu nifahamishe halali ipo wapi?

Hapa mimi sizungumzii uislam bali ninasisitiza kuwa historia yetu rasmi inayohusu mapambano ya kutaka uhuru wa wa tanganyika siyo sawa kwani kuna watu wengi muhimu waliochangia mapambano hayo lakini kwenye kumbukumbu rasmi hawaonekani.
ninavyofahamu mimi [kutokana na kusikiliza simulizi za wazee wetu ni kuwa mapambano haya yalianza kwenye late forties baada ya vita ya pili ya dunia. lakini leo wengi wanachanganya kwa kuandika historia ya mwalimu nyerere katika kutafuta uhuru wa nchi hii. Ukweli ni kwamba mwalimu alikuwa ni sehemu ya mapambano hayo na alifanya kazi kubwa sana kuanzia miaka ya 50 kati lakini other major players vipi? that is my argunment
All i am insisting is that let us keep the uhuru struggle records straight. It will be very shameful if our children will do it for us.

Then perharps the heading should've been " Our forgotten heroes during independence struggle " and not otherwise....if that is your argument
 
Al akhy hapo ndio hata mimi ananishangaza Nguruvi3 hayo uliyo yazungumzia hata mimi nimeyaona kuhusu wazanzibar
ndio kabisa hataki hata kuwasikia maskini sijui hata wamemkosea nini ngoja tumsubiri labda ana hoja zake za kutueleza.

Huyu ni kuwadi wa chama flani na karibu wenzake wengi wa chama hiki hawautaki muungano ila yeye na kina Mwanakijiji wanaukumbatia. Mpaka najisemea mwenyewe huyu ananufaikaje na huu Muungano? May be anajua nini lengo la muungano na ndio maana anautetea.
 
Kanisome vizuri sana, mimi nilishasema mara 1000 huu muungano ufe. Ikishindikana basi kila mtu awe na serikali yake, ya pamoja tugawane sawa madaraka na tuchangie sawa. Nimewaasa wznz watumie fursa ya udhaifu uliopo kujiondoa katika muungano.
Nisome viuri msinihuku kusimamia ukweli.

Huwezi kuwa na heshima ukisimamia ukweli maana siku zote utakuwa unachoma watu bila kujali ni wa upande gani.
Nipo tayari lakini sitaukana ukweli.
 
Nashukuru ndugu yangu nafyonza ilmu kubwa kutoka kwako,
hawa jamaa ni wabishi sana tumetoka nao mbali sana twende
nao taratibu tu somo litaeleweka tu.Ahsanta.

Kahtaan kama kuna watu wanaelimika kupitia kwako basi huenda elimu imepoteza maana iliyokusudiwa. Kahtaan ni ignoramus.
 
Hapana siyo kweli. Kafir ni mtu asiyeamini. Ni neno la kiarabu.
Kafir inategemea unaongelea nini na kwasababu zipi. Kwahiyo darsa yako bado ina mushkeli.

Kuna kufunika ukweli na kuna kufuata batwili. Kufunika ukweli ni uongo.
Mathalan, Mohamed Said anaposema Sheikh Amir hakushirikishwa katika serikali wakati alipewa wadhfa akakataa huko ni kufunika ukweli. Je, nani anasimama vema katika neno 'kufunika ukweli' yule aliyegoma kusema au yule aliyesema sivyo haikuwa hivyo!

Kama tukichukua definition yako ya ukafir kama ni kusema uongo, basi utamweka MS mahali pagumu maana alifunika ukweli ambao kwa def yako ni ukafir. Ayway ni katika mnakasha.

Batwil ni kile kilichokatazwa, ni kinyume cha halali. Sasa kama kuwaambia watu kuwa huu si muda wa kujadili majina ya marehemu ni muda wa kufikiri walimu wa shule watatoka wapi ni batwili, hebu nifahamishe halali ipo wapi?

Wala akhy Boko haram hajakosea kukuambia maana ya neno KAFIRI ila yeye katoa maelezo ya kilugha hata Mwenyezi Mungu katika quruani kamuita mkulima kwa jina KAFIR akimaanisha mwenye kufukia mbegu shimoni na kisheria ni mtu yeyote anaupinga uislamu yaani asiekuwa muumini wa dini ya kiislamu huyo ndio Kafir. KAFIR sio tusi endapo utamuita asiekuwa muislamu hivyo ila ukweli Makafiri wanachukia sana kuitwa hivyo na hili ni jambo la kihistoria tangu surat Kafirun iliposhuka.
 
Last edited by a moderator:
Kanisome vizuri sana, mimi nilishasema mara 1000 huu muungano ufe. Ikishindikana basi kila mtu awe na serikali yake, ya pamoja tugawane sawa madaraka na tuchangie sawa. Nimewaasa wznz watumie fursa ya udhaifu uliopo kujiondoa katika muungano.
Nisome viuri msinihuku kusimamia ukweli.

Huwezi kuwa na heshima ukisimamia ukweli maana siku zote utakuwa unachoma watu bila kujali ni wa upande gani.
Nipo tayari lakini sitaukana ukweli.

Ni kweli una kubali kiaina ila vikwazo na maneno yako ya kejeli kwa wazanzibar huwa zinakeraga sana. Kumbuka sakata la meli ya zanzibar kukamatwa na madawa ya kulevya wewe ulisimama na kuwatukana wazanzibar na kuwaita eti wanaichafua Tanganyika, huo ni mfano mmoja tu.
 
Wala akhy Boko haram hajakosea kukuambia maana ya neno KAFIRI ila yeye katoa maelezo ya kilugha hata Mwenyezi Mungu katika quruani kamuita mkulima kwa jina KAFIR akimaanisha mwenye kufukia mbegu shimoni na kisheria ni mtu yeyote anaupinga uislamu yaani asiekuwa muumini wa dini ya kiislamu huyo ndio Kafir. KAFIR sio tusi endapo utamuita asiekuwa muislamu hivyo ila ukweli Makafiri wanachukia sana kuitwa hivyo na hili ni jambo la kihistoria tangu surat Kafirun iliposhuka.
Mkuu hapo umenena ukweli kabisa mimi nilizungumza kilugha si kiistilahi(sheria) na ushahidi wa mwenyezi mungu kumuita mkulima kafir huu hapa chini hapo nilipo bold red suratul Hadid.

Know that the life of this world is but amusement and diversion and adornment and boasting to one another and competition in increase of wealth and children - like the example of a rain whose [resulting] plant growth pleases the tillers; then it dries and you see it turned yellow; then it becomes [scattered] debris. And in the Hereafter is severe punishment and forgiveness from Allah and approval. And what is the worldly life except the enjoyment of delusion.
57_20.png
 
Akhsante akhy Boko haram kwa kuleta bayana hiyo kama ndugu yetu Nguruvi3 anaweza kuyasoma maneno ya kiarabu basi kwenye KUFFAR ndio mahalu shahidi.
 
Last edited by a moderator:
Khairi inshallah nashukuru al habib. Maneno yakiwa kama ya nguruwe si tatizo, jiulize kama yana mantiki na yana tija kwako?

Ninaposoma matusi yenu dhidi yangu najisikia faraja kwasababu hoja zangu zimesimama zenyewe hazina majibu bali majibu ya matusi. Siku zote matusi ndiyo silaha nyepesi, nzuri na ya haraka kwa asiye na hoja.

Ninahakika nimewachoma lakini sindano inauma sana, tunaipenda ni dawa.
Ningalikuwa na nmana nyngine pengine ningeisema, tatizo mimi humuangalia nyani usoni wakati namshughulikia.

Waungwana, hivi mnajisikiaje mwenzenu akitoa hoja nanyi mkijibu matusi?
Nimeuliza mnachotaka hawa watu kueziwa ni kipi msichokisema?

Ninajua mnataka mitaa ipewe majina yao, je hilo litabadili maisha yenu au ya jamii inayowazunguka.
Hilo lita improve pass mark za wanafunzi wa jabal hilal, al farook au masjid quba!

Nguruvi3,

With all of my due respect naomba nikumbie ya kwamba hatupo hapa kulalamika,ni bahati mbya sana hii inatokea pale watu wanapojaribu kuelezea uhalisia ulivo watu wengine huhisi ya kwamba its all about malalamiko..!!!,no,muda wa kumwaga lawama ulishapita tokea muda mrefu sana,

Mara nyingi sana napofanya majadiliano nawe huwa napenda sana kukumbusha kuangalia vyanzo vya matatizo,usipende kukimbilia kudiscuss outcomes,

Tokea awali tulishakupa nin maana ya mfumo kristo,na kuhusu huo mfumo sio kwamba tunawapa lawama wakristo na kadhalika,wakristo ni ndug zetu,wengine familia zetu ni mchangnyiko wa watu wa iman mbali mbali,wakristo ni rafiki zetu,ni walimu wetu,ni madakatari wetu,tunaish nao kwa wema na ukarim wa hali ya juu kabisa,

Hapa tupo kuzungumza dhidi ya yule alietukuta watanzania tukiish kwa undug na uzalendo kisha yeye akaja kutumia rungu la madaraka aliyonayo kupandikza farki na matabaka katika jamii moja ambayo yote kwa pamoja ilikuwa ni muhanga wa utawala wa kikolon,

Iweje sasa tunaposimama na kusema nyerere alifanya kosa kubwa na amegharim kwa kias kikubwa maisha ya watu walio wengi na ndoto zao we unasimama kidete kukanusha hilo??

Je,wakanusha ya kwamba nyerere ndie mwanzish wa BAKWATA??HUTAK KULIKUBALI HILO??SASA JIULIZE YEYE ALKUWA ANA MAMLAKA GANI KIKATIBA YA NCHI HII KUUNDA CHOMBO KITACHOKUWA MAALUM KWA KURATIBU SHUGHULI ZA WAISLAM BILA RIDHAA YAO NA KUWSHIRIKISHA??SASA KIPI HAPO UNACHOPINGA SISI TUNAPOLAANI UHARAMIA KAMA ULE ALIOUFANYA JULIUS??

USITUTOE KWENYE TRACK ETI TUDISCUSS KWANN KIRINJIKO INAFAULISHA ILI HALI KINONDON MUSLIM INAFELISHA,HIZO NI OUTCOMES,DECADES AGO JULIUS ALIWEKA MFUMO AMBAO UNAZALISHA MENGI HAYA YANAYOONEKANA LEO,WE UNADHANI YANAKUJA KWA BAHATI MBAYA??

SASA SIKILIZA MKUU,HAPA HAKUNA ANAELALAMIKA,TUPO HAPA KUJADILI NIN CHANZO,NANI WAATHIRIKA NA NIN TUPANGE KUELEKEA ULINGANIFU NDAN YA JAMII HURU YA KITANZANIA,UKWELI SIKU ZOTE HAUPENDI KUKEJELIWA NA KUPUUZWA PUUZWA,HATA KAMA JULIUS KAFA SAWA TUH,KILA MTU ATAKUFA MUDA WAKE UKIFIKA,SISI HATUWEZ ACHA KUJADILI HISTORIA YETU NA KUBAIN WAPI TULIANGUKA NA YUPI ALITUANGUSHA NA NIN KWA SASA TUFANYE ETI KWA KUCHELEA KWAMBA JULIUS KWA SASA NI MAREHEM,HILO HALIPO,TUPO HAPA KUDISCUSS UHALISIA WA MAMBO,NA SIO KUMWAGA LAWAMA KWA YEYOTE YULE.
 
kwakweli 'mtu mzima' alishamaliza kutoa ilimu kwa wale wanaodai kuhodhi uhuru kwa misingi ya dini akiwemo mleta uzi, wakitumia kuwatazama wapigania uhuru kama watu wa dini fulani badala ya kuwaona kama watanzania na waafrika:tape:. kwa mitazamo yao wanataka waonekane kama atu wa daraja la juu na watu wa kipekee sana kama mamwinyi wenye kuonyesha njia katika kila tufanyalo.
nahofu kama muungano ukifa itakuwaje kwa hawa watu. watawasifia waliovunja muungano ama walioleta uhuru wa zamani. ni mtazamo tu.
 
Huyu Nguruvi3,

Mnafiki sana hebu msomeni hapa,
Huwezi kujadili nyuzi nzima kuhusu stupid and trivial thing halafu uka depict positive image ya society. Frustration za MS si tatizo la kitaifa ni tatizo lake, you guys you're easily drawn in.
Mnashindwa kujibu hoja kwasababu you've been drawn in like chicken.
Wake up!
Haya mtusi yako wewe unaita hoja.
Mnaposhinda katika internet mki entertain frustration za Mohamed Said kutokuwa meneja wa bandari, si tu hamuitendei haki jamii bali mnazidi kuidhalilisha..
Stop the vicious circle of ignorance. Miaka 30 MS analalamika nanyi pia mnachukua kijiti kulalamika miaka 30 mingine. Inaudhi wasomi wanajadili trivial things kama majina ya mitaa na kuacha tatizo la elimu na umasikini katika jamii ile ile inayotaka majina! white elephant!
Matusi yanaendela.
Mfumokristo ni dhana inayotengenezwa na Waislam wenyewe. Nitawaambia ukweli hata kama una umma.,
Leo watu wanasugu vichwa barbara zipewe majina!
Wenye akili wanasugua vichwa wafanye nini kuongeza shule, vyuo n.k.
 
Last edited by a moderator:
Al Akhy gombesugu , khairi inshallah nimekusoma. Bonde kama si pwani sijui pwani ni wapi.

Imani ya mja anaijua mwenyezi mungu. Kama mimi ni muungwana, habith, kafir au sheitwan hukumu yangu anayo maanani usipate wahka katika kutafuta majaaliwa yangu leo na siku za baadaye.

Mtu anayekwambia ukweli ndiye anakupenda na hakika imesemwa wale wasemao kweli ya mwenyezi mungu SWT hao ni miongoni mwa waliongoka. Nitawaambi ukweli na si kile mnachotaka kusikia masikioni.

Nashukuru umeniweka kundi moja na Mag3 mmoja wa watu wenye heshima sana katika jamvi.
Heshima yake ni kutokana na maono, ujenzi wa hoja na uwezo wa kubomoa hoja kwa hoja tena kwa mantiki. Kuniweka katika chungu kimoja naye najisikia faraja kweli kweli na inshallah mwenyezi akujaze hekima zaidi.

Constructive discussion si zile za kufarajiana kwa uupuzi. Ni zile za kujenga hata kama zina maumivu.
Mimi siwezi kujadili mshume Kiyate secondary, nitajadili secondari ya mshume Kiyate kwanini inafelisha.
Mimi sijadili mfumokristo, ninajadili mfumo unaosababisha Kirinjiko sec ifanye vema Masjid Quba ifanye fyongo. Hizo ndizo constructive idea.

Silali ndani nikashinda kwenye bao halafu jioni nikasema mfumo umenitesa na kunidhulumu, nitakuambia amka uende kutafuta mkate ukirudi ujiulize kwanini mkate hautoshi.

Masalaam inshallah tutaendelea kufahamiana , kutakiana kheri na kuombeana shari iwe mbali nasi.

Mkuu Nguruvi3, na mimi napata faraja kubwa kuwekwa kundi moja na wewe kama Al habib gombesugu anavyopata faraja kuwekwa kundi moja na Ukhti FaizaFoxy, Al maarufTayeb , Al Mualim Ritz, Al Akhiy CHAMVIGA, Maulana Dr. kahtaan,al akhiy Boko haram, Al Mulid THE BIG SHOW, Mufti Barubaru na Ustaadh Mohamed Said...

Al habib gombesugu said:
Ngoja nami "niwashindilie majiti"....nina maana majiti ya roho,wala si kwingineko! Kwi! Kwi! Kwi!
Maulana Dr. kahtaan said:
Teh teh teh teh! Al akhyi ukianza uwatia majiti ya roho hawa wagalatia! Utasababisha wanywe ile damu ya bwana kwa wingi sana! Na huwenda wakasababisha ajali barabarani!
Al maaruf Tayeb said:
Bila shaka nawe Mag3 ni miongoni mwa wale waandika uharo?!!
Al Mualim Ritz said:
Pro-Chadema mnachekesha sana sisi dini yetu imetukataza kuwa waoga ni haram kumkimbia mtu.
Maulana Dr. kahtaan said:
Nguruvi3 maneno yake kama nguruwe3! Teh teh teh teh!
Maulana Dr. kahtaan said:
Mag3, son I might be talking to a little 10 yrs boy or girl who doesnt know much anyway! So if you dont mind me asking! How old are you.my child??
Al habib gombesugu said:
Msamehe huyo Mag3,maana enzi za ujana wake during early 60' alivinjari mno hapo Mzizima na alikua mlevi,fuska na fisadi wa kutupwa...ndo maana unaona hata akili zake zimekuwa za kitoto kiduchu!
Maulana Dr. kahtaan said:
Vikojozi hawa wanaongea kama hawana meno! Halafu wanajaribu kumuiga yule muasisi wa MFUMO KRISTO!
Al habib gombesugu said:
Huyo Nguruvi3, ni khabith mno!...Nguruvi3, I read your another shit! Teh teh teh teh!
Duh, hujafa hujaumbika! Asanteni sana ma Al Akhiy, Ukhti hadi Mufti, mmenifungua macho tena si kidogo...kumbe BAKWATA (The Supreme Muslim Council for Tanzanian Muslims) si chombo cha Waislaam!

BAKWATA said:
Baraza Kuu la Waislam nchini Tanzania (BAKWATA) linautaarifu umma kuwa sikukuu ya Idi-el-Haj itaadhimishwa tarehe 16 Oktoba 2013, na kitaifa sherehe zitafanyika katika Masjid Farouk iliyopo Kinondoni, Dar es Salaam.
Bila shaka watakaoadhimisha sikukuu hii si Waislaam...huko huwezi kuwakuta Waislaam akina Ukhti FaizaFoxy, Al maarufTayeb , Al Mualim Ritz, Al Akhiy CHAMVIGA, Maulana Dr. kahtaan,al akhiy Boko haram, Al Mulid THE BIG SHOW, Mufti Barubaru na Ustaadh Mohamed Said... Sana sana utamkuta tu Mufti na wafuasi wake!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nguruvi3, na mimi napata faraja kubwa kuwekwa kundi moja na wewe kama Al habib gombesugu anavyopata faraja kuwekwa kundi moja na Ukhti FaizaFoxy, Al maarufTayeb , Al Mualim Ritz, Al Akhiy CHAMVIGA, Maulana Dr. kahtaan,al akhiy Boko haram, Al Mulid THE BIG SHOW, Mufti Barubaru na Ustaadh Mohamed Said...

Duh, hujafa hujaumbika! Asanteni sana ma Al Akhiy, Ukhti hadi Mufti, mmenifungua macho tena si kidogo...kumbe BAKWATA (The Supreme Muslim Council for Tanzanian Muslims) si chombo cha Waislaam!

Bila shaka watakaoadhimisha sikukuu hii si Waislaam...huko huwezi kuwakuta Waislaam akina Ukhti FaizaFoxy, Al maarufTayeb , Al Mualim Ritz, Al Akhiy CHAMVIGA, Maulana Dr. kahtaan,al akhiy Boko haram, Al Mulid THE BIG SHOW, Mufti Barubaru na Ustaadh Mohamed Said... Sana sana utamkuta tu Mufti na wafuasi wake!

Teh teh teh mzee wangu Mag3 inaonekana zahma za maikhwani uliowaquote imekukumba si padogo ila vumilia ukipanda upepo tegemea kuvuna kimbunga.
 
Last edited by a moderator:
Al maaruf Tayeb , ukhti kahtaan, gombesugu , Ritz

Waungwana nawasihi muwe na lugha ya stara, msitukane Uislam hautaki hivyo.
Mkitukana mtakosa fursa ya kuwalingani watu. Tafadhalini ombeni Mswamaha kwa mwenyezi mungu maana mimi nshawasamehe. Hakuna mtimilifu miongoni mwetu isipokuwa mwenyezi. Chonde chonde msiingie katika khalifu kirahisi.

Watu wana PM wakiuliza mzozo nini hasa? Nafahamu hawajaona hoja kwenu wanashindwa kuelewa.
Hoja zenu zipo wapi ?

Wao kama wana hoja waambie waje!

JF ni jukwaa huru, wacheni kusema pembeni!

Uko mtakua mnasema uongo tu hakuna lolote la maana!
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh mzee wangu Mag3 inaonekana zahma za maikhwani uliowaquote imekukumba si padogo ila vumilia ukipanda upepo tegemea kuvuna kimbunga.
Al Akhiy CHAMVIGA, kwa hiyo na wewe unaamini kwa dhati kuwa hawa wawili hapa chini wanautumikia mfumoKristo!
3+%281%29.jpg

AL AKhiy CHAMVIGA, na hawa wafuatao hapa chini wanajadiliana namna ya kuukandamiza Uislaam kwa maelekezo ya mfumoKristo.

522263_orig.jpg

Na hawa hapa chini wanapeana hongera kwa mafanikio waliyoyapata chini ya BAKWATA chini ya mfumoKristo katika kuupiga vita Uislaam.
GO9G3989.JPG

Kulingana na madai ya Al habib gombesugu, hii yote ni janja ya mfumoKristo kuudidimiza Uislaam kwani BAKWATA haiwawakilishi Waislaam bali ni chombo kilichobuniwa na Mkatoliki na kuwashirikisha watu wasio na elimu wala uelewa wowote wa mafundisho ya Kiislaam. Al habib gombesugu na Mwalimu wake Al Akhiy Mohamed Said hawakitambui chombo hiki!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nguruvi3, na mimi napata faraja kubwa kuwekwa kundi moja na wewe kama Al habib gombesugu anavyopata faraja kuwekwa kundi moja na Ukhti FaizaFoxy, Al maarufTayeb , Al Mualim Ritz, Al Akhiy CHAMVIGA, Maulana Dr. kahtaan,al akhiy Boko haram, Al Mulid THE BIG SHOW, Mufti Barubaru na Ustaadh Mohamed Said...

Duh, hujafa hujaumbika! Asanteni sana ma Al Akhiy, Ukhti hadi Mufti, mmenifungua macho tena si kidogo...kumbe BAKWATA (The Supreme Muslim Council for Tanzanian Muslims) si chombo cha Waislaam!

Bila shaka watakaoadhimisha sikukuu hii si Waislaam...huko huwezi kuwakuta Waislaam akina Ukhti FaizaFoxy, Al maarufTayeb , Al Mualim Ritz, Al Akhiy CHAMVIGA, Maulana Dr. kahtaan,al akhiy Boko haram, Al Mulid THE BIG SHOW, Mufti Barubaru na Ustaadh Mohamed Said... Sana sana utamkuta tu Mufti na wafuasi wake!
Teh teh teh! Nimecheka sana JF kuna vituko sana Mag3, amekua msemaji wa BAKWATA.

Ukiona adui yako analipenda jambo lako basi achana nalo mara moja.

Ukiona adui yako alipendi jambo lako basi shikamana nalo usiliache.

Mag3, na Nguruvi3, ni Bakwata, teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Al Akhiy CHAMVIGA, kwa hiyo na wewe unaamini kwa dhati kuwa hawa wawili hapa chini wanautumikia mfumoKristo!
3+%281%29.jpg

AL AKhiy CHAMVIGA, na hawa wafuatao hapa chini wanajadiliana namna ya kuukandamiza Uislaam kwa maelekezo ya mfumoKristo.

522263_orig.jpg

Na hawa hapa chini wanapeana hongera kwa mafanikio waliyoyapata chini ya BAKWATA chini ya mfumoKristo katika kuupiga vita Uislaam.
GO9G3989.JPG

Kulingana na madai ya Al habib gombesugu, hii yote ni janja ya mfumoKristo kuudidimiza Uislaam kwani BAKWATA haiwawakilishi Waislaam bali ni chombo kilichobuniwa na Mkatoliki na kuwashirikisha watu wasio na elimu wala uelewa wowote wa mafundisho ya Kiislaam. Al habib gombesugu na Mwalimu wake Al Akhiy Mohamed Said hawakitambui chombo hiki!

Mzee wangu Mag3 naamini wewe ni mkongwe katika majukwaa haya na hata mtaani unawasikia watu wakiuleza ni nini mfumo kristo na vipi unaoperate nchini Tanzania. Mwinyi alipoingia madarakani alijitahidi kurekebisha mengi katika madhaifu makubwa aliyoyaacha ikiwa ni pamoja na kurejesha mali zilizotaifishwa na nyerere muda wa utawala wake, ila ilifika hatua akawa anazuia waziwazi na nyerere asirudishe mali zote mpaka leo mali za waislamu wanazishikilia serikali na majambazi wengine kupitia vibaraka wao BAKWATA. Unaweza kuijua dini lakini ukaificha haki na kusimamia uovu, ukaongea uongo ukauacha ukweli. Ibris aliyelaaniwa alikuwa miongoni mwa wenye kustarehe katika ufalme wake Mungu lakini alikataa kumsujidia Adamu(a.s) pamoja na kwamba anajua hiyo ni haki aliyoamrishwa na Mungu wake. Mfumo umewafanya waislamu wengi hata wale wenye nafasi kubwa ndani ya serikali kuficha uislamu wao na kukubaliana na kila litakiwalo sababu tu ya WOGA(KHOFU). Hao vioogozi uwaonao hapo na wengine wamejawa na KHOFU na ni vigumu kufua dafu katika mfumo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom