Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Hao Chadema wameingiaje huku. kahtaan tumesema tunajadili Islam;s role ......

Rekodi yangu inajieleza.

Al akhyi Ritz Tufanye nini kuwaenzi wazee wetu! mbona uliahidi kutakucha watakuja, je hawajaamka!
Hili ndilo swali linaloleta utata. Tumeshaona role ya wazee sasa tufanye nini.
Teh teh teh nagusa mfupa nikitaja Chadema yenu vumilia, nilikuambia vumilia utajibiwa kama unavyojibiwa sasa hivi, unaniuliza wakati umeishasema waislam wanataka wapewe majina, mimi naendelea kuwafahamisha wanajamvi Nyerere alichowafanyia Waislam kuna vijana wengi hawajuhi.

Tuendelee na mjadala.
 
Last edited by a moderator:
Waislam wefanyiwa dhuruma nyingi sana wewe hauwezi kuziona wala kuzikubali sababu ya chuki zako dhidi ya Uislama. Hapa watu hawapo kwa ajili ya kumuongelea Mshume Kiyate peke yake ngoja tupanue mjadala kabla haujatumiwa PM.

Nyerere alishawakatama na kuwakeka vizuizini Masheikh wetu wengi watu tukijadili unasema tunalalamika hivi nyie Chadema mnalalamika kwa CCM kila siku.

Hawa ndiyo Masheikh walioteswa na Nyerere ambae wewe hautaki watu wamuongelee.

Abdillah Schneider Plantan, Sheikh Abdulkarim Abdulwahid, Maalim Popo Saleh, Sheikh Suleiman Masudi Mnonji, Ali Migeyo, Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Shariff Husseim Badawiy, Shariff Mwinyibaba, Shariff Adnan, Bilali Rehani Waikela, Sheikh Jumanne Bias, Maalim Matar, Abdallah Mwamba, Sheikh Hashim Haji, Sheikh Nurdin Hussein, Sheikh Salum Abdalla Popo, Sheikh Mzee Ali Comoriam, Sheikh Al Amin Mafta, Rajab Kiguu, na wengine wengi.

Sasa nadhani unaona mfumo kristo ulivyoanza ilikuwa baada ya uhuru.

Wewe endelea kuamini kwa Waislama wanalalamika tu.

Wapo wengi sana mkuu Ritz ila binafsi nilishawahi kukaa katika durusu za shekh Nurudin Hussein kule Korogwe ngombezi miaka kama 8 iliyopita japo ilikuwa siku moja ila historia yake na mwl Nyerere inasikitisha sana. Yupo rafiki sharif Albadawi yupo kule Irshadi Lushoto wote hao walionja joto ya jiwe ya Nyerere. BADAWI alikimbilia Lamu na shekh Nurudini alienda kujificha Korogwe akijifanya mfanyabiashara wa mahindi ni baada ya kupewa masaa 24 ya kutoonekana Tanzania wakitokea sero.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna rekodi ya mimi kuzuia mtu asiseme jambo. Ninashukuru kwa kunifahamisha mashehe hao na adha walizopata.

Sasa tufanye nini kuwaenzi wazee wetu hawa?

Tutulizane kwa 'utuvu' tusiwe viruka njia wakukimbia misumari. Sindano inauma lakini ni dawa shariff Ritz
Madai ya Waislam yalishapelewa serikalini wanasubiri majibu wewe hauna cha kuwajibu Waislam zaidi ya kejeli na matusi.

Au wewe unataka kuwa msemaji wa serikali, ngoja tuendelee kuwafahamisha vijana unyama wa Nyerere aliowafanyia Waislam.

Umeishawahi kusikia mateso waliyofanyiwa na Nyerere Masheikh Maalim Matar na Shariff Adnan?
 
Lahaula walakuwata illah billah!
Shariff Ritz kutaja majina hayo umenikumbusha machungu mno!

Sijui adhabu anayopata huyo nyerere huko aliko ina maumivu kiasi gani!
Laana tullahi mkubwa yule!!
 
Last edited by a moderator:
Wapo wengi sana mkuu Ritz ila binafsi nilishawahi kukaa katika durusu za shekh Nurudin Hussein kule Korogwe ngombezi miaka kama 8 iliyopita japo ilikuwa siku moja ila historia yake na mwl Nyerere inasikitisha sana. Yupo rafiki sharif Albadawi yupo kule Irshadi Lushoto wote hao walionja joto ya jiwe ya Nyerere. BADAWI alikimbilia Lamu na shekh Nurudini alienda kujificha Korogwe akijifanya mfanyabiashara wa mahindi ni baada ya kupewa masaa 24 ya kutoonekana Tanzania wakitokea sero.
Ndugu yangu CHAMVIGA,

Hawa Masheikh wetu walipata tabu sana Maalim Matar na Shariff Adnan walifungwa jela kwa sababu tu walikuwa wanaswali Msikiti wa Badawiy na Sheikh Hassan bin Amir.

Mwanza kulikuwa na Masheikh wakubwa Sheikh Amin Abdalla wa Msikiti wa Ijuma na Sheikh Amir Mafta wa Msikiti wa Raudhwa wote waliwekwa vizuizini.

Halafu anakuja mtu anasema Waislam kazi yao kulalamika tu hawana akili.
 
Last edited by a moderator:
Huyu hana point ya maana au ameshindwa kisiasa ndiyo maana anaingiza dini kwa sana.Harakati za huru hazikufanywa na nyerere pekee yake na hilo lipo wazi kabisa na waislam wengi sana walishiriki katika harakati hizo ila walifanya jambo zuri sana kutokuingiza udini wao kama msingi wa kugombea uhuru .si kama huyu mtoa mada ambaye amejaa udini mtupu kwenye kichwa chake .nashukru sana waislam wote walioshiriki kudai uhuru kama wakina mzee Tambaza ,Thabiti kombo,bibi Titi na wengine wengi .hawakuwa na udini .na uhuru tuliopata si waislam tu niwa Watanzania wote.na mwenyezi aziweke roho zao peponi
 
Lahaula walakuwata illah billah!
Shariff Ritz kutaja majina hayo umenikumbusha machungu mno!

Sijui adhabu anayopata huyo nyerere huko aliko ina maumivu kiasi gani!
Laana tullahi mkubwa yule!!
Dr. kahtaan,

Hao Masheikh baada ya kutoka jela wametoka wanyonge wamedhofika sana wengi wametangulia mbele ya haki anaweza kuwa amebakia Sheikh Bilal Waikela wa Tabora.

Huwa namkumbuka sana maneno ya Sheik Takadir aliwaonya wenzake kuhusu Nyerere kuwa siyo mtu mzuri atakuja kuwageuka pale atakaposhika madaraka.

Kina Abdulwahid Sykes walimpinga na kuona kama anataka kuleta siasa za kibaguzi.

Majanga.
 
Shariff Ritz nakwambia ndugu yangu! Yule laana kamfunga shekh wangu mmoja huko zanzibar Mungu amrehemu zaidi ya miaka 9!!

Kosa lake eti alikuwa swahiba yake na shemeji ya karume wakati wa mauwaji yake!

Kumbe aliye muua karume ni yeye mwenyewe!

Wallahi siku ya mwisho kuna hukumu mbaya sana kwa huyu kiumbe!.
 
Msikiti wa Badawiy kulikuwa na Masheikh wawili Shariff Hussein na nduguye Mwinyibaba hawa walikuwa na siasa mbali mbali lakini nao wakapitiwa na fagio la Nyerere.

majanga.
 
Last edited by a moderator:
Msikiti wa Badawiy kulikuwa na Masheikh wawili Shariff Hussein na nduguye Mwinyibaba hawa na siasa mbali mbali lakini nao wakapitiwa na fagio la Nyerere.

Namkumbuka na aliyekuwa kadhi wa zanzibar sheikh A.S.farsi!
baada ya ma swahiba zake kuuwawa na nyerere!
akakimbilia kenya na kuwa kadhi wa huko!

Allah yarhamu maskana fil jannah!
 
Namkumbuka na aliyekuwa kadhi wa zanzibar sheikh A.S.farsi!
baada ya ma swahiba zake kuuwawa na nyerere!
akakimbilia kenya na kuwa kadhi wa huko!

Allah yarhamu maskana fil jannah!
Baadae Nyerere akaunda Bakwata hii ambayo inatetewa na kina Mag3, msiba mkubwa.
 
Last edited by a moderator:
Shariff Ritz nakwambia ndugu yangu! Yule laana kamfunga shekh wangu mmoja huko zanzibar Mungu amrehemu zaidi ya miaka 9!!

Kosa lake eti alikuwa swahiba yake na shemeji ya karume wakati wa mauwaji yake!

Kumbe aliye muua karume ni yeye mwenyewe!

Wallahi siku ya mwisho kuna hukumu mbaya sana kwa huyu kiumbe!.

Kuna akina Jumbe waliowekewe kizuizi cha kutotoka ndani ya mji wa daresalaam tangu miaka ya utawala wa nyerere kama sio huruma ya Raisi kikwete kumruhusu ingekuwa afie ndani ya dar bila kugusa nje ya mkoa huu.
 
Last edited by a moderator:
Kuna akina Jumbe waliowekewe kizuizi cha kutotoka ndani ya mji wa daresalaam tangu miaka ya utawala wa nyerere kama sio huruma ya Raisi kikwete kumruhusu ingekuwa afie ndani ya dar bila kugusa nje ya mkoa huu.

Nakumbuka mimi na ustadh lipumba wa mwanza tulikalishwa chini ya ulinzi pale posta Tabora back in 80s eti hatukusimama wakati bendera inateremshwa!
😀😀😀😀
Yaani sheria za kidikteta waazi kabisa!
Mnfnssssssssss!
 
Nitaridhia jina lolote ili mradi nafsi yako iridhike. Hakika natamani sana utukufu lakini sikupewa karama hiyo.
Kuniita Paulo utanivika viatu vikubwa sana. Je, waonaje ukiniita Nguruwe kama alivyopenekeza kahtaan.
Tena linakaribiana na Nguruvi sitapata taabu kulizoea.

Je, salama huko nyumbani? kule bonde tunase haya ni vihi, nghakijambo!

Wacha porojo wewe, yote majina yako!

Na lile la Mtume Paulo ndio lako la UBATIZO

Na ahidi kujadiliana na wewe popote pale hata ukitaka "one to one"

Iwe mada hii na nyengine yoyote, lakini kwanza fanya utoe "mwiba wa tak.o"

Baada ya hilo, bila shaka utakua ni mwenye kufaulu!

Ahsante!
 
Last edited by a moderator:
Swahiba Tayeb umeamka na mipini ya ajabu hii! Teh teh teh teh!
Umemuona eee! Sisi tunajadili mashariki yeye anatupeleka magharibi!
Tukijaribu kumfuata huko magaharibi anakirukia kusini!!
Lahaula walaquwata! Yaani mpaka unashindwa kushangaa!

Yaani huyu ni kiumbe wa ajabu sana!

Nilidhani hii tabia yake ya kuruka huku na kule nimeiona peke yangu!

Tehe tehe tehe!
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo unakubali hoja yangu? Baada ya mashambulizi ya mvua za matusi nimedhani wenzangu mna jinsi nyingine.

Nawasikiliza, hivi hawa wazee wetu kama akina Mshume amabaye Mohamed Said kamleta na kipande cha ushahidi tuwaenzi vipi. Hawa ni wazee wetu sote jamani tuangalie namna ya kuwaenzi badala ya kuanzisha nyuzi kila uchao tukifika mahali pazuri tunakimbia.

Waungwana mnasemaje hawa wazee akina Mshume tuwape heshima gani.
Kumbeukeni sisi ndio taifa kama hutusemi nani atasema. Tusimwachie Mohamed Said mwenyewe.

Nimefarijika akina chamvinga wanatupa changamoto nzuri sana, hawa wazee tuwaenzi vipi.

Eti waungwana mnalo neno! Mimi nimesema wenzangu mkaniona Abunuwasi, wengine lah astaghafir wakaniita mnyama haram sasa nauliza wenzangu ninyi jicho na kauli zenu zipo wapi?

Ewe Mbondei "mlango wa nane" aka Nguruwe3!

Mbona unaongea kama vile umepandwa na mapepo!?...inalazim ukamuone Muchungaji Kakobe akakuombee! Kwi! Kwi! Kwi!

Kwanini unahangaika kujaza server/s humu na kulazimisha kuzungumza na watu ambao tayari tushakudharau kitambo!?

Wewe unafikiri sisi soote hatuna maisha,kazi yetu ni kuingia humu Jf kusoma tu uharo wako na kujibizana na hoja zenu mfu zilojaa chuki za kidini na tashtit!?...get a life!

Kama nyinyi mnaaminishwa yakuwa Waislam woote "hawajasoma"/"wavivu" wa kusoma na utumbo mwingineo mwingi;kwa hiyo kwa kukusaidia tu,huyo Mshume Kiyate, upikwe wali sufuria mbili...peleka kwa wajukuu zake wakale,basi tutatulia na kukupunguzieni hili zogo humu Jf!! Kwi! Kwi! kwi!

Si unajua Waislam akili zao ni kupenda "ubwabwa" tu na kucheza bao!?

Sarcasm and cynical humour speak to your lack of empathy!

Ahsanta.

Ps; "Ukipanda upepo tegemea kuvuna kimbunga" - Ayatollah Chamviga.
 
Nitaridhia jina lolote ili mradi nafsi yako iridhike. Hakika natamani sana utukufu lakini sikupewa karama hiyo.
Kuniita Paulo utanivika viatu vikubwa sana. Je, waonaje ukiniita Nguruwe kama alivyopenekeza kahtaan.
Tena linakaribiana na Nguruvi sitapata taabu kulizoea.

Je, salama huko nyumbani? kule bonde tunase haya ni vihi, nghakijambo!

Deers cannot invite lions over for dinner and get shocked that they became the meat to eat! Kwi! Kwi! Kwi!

I told you before;abdicate responsibility and you pay!

Ahsanta.
 
Al Akhiy Ritz, kwanza mambo ya BAKWATA yaliletwa humu na ma Al Akhiy wenzako... naomba nianze kwa kunukuu baadhi ya madai ya Al habib gombesugu katika post yake namba 199 kuhusu BAKWATA;Kiongozi Mkuu wa BAKWATA na Mufti wa Tanzania Sheikh Issah Bin Shaaban Simba, je unamtambua au humtambui?
ShekheMkuu.jpg

Al Akhiy Ritz, unajisikiake anapotokea mtu na kuanza kuwabeza, kuwadharau na kuwadhalilisha vingozi wa BAKWATA na Waislaam wanaokitambua BAKWATA kama chombo chao hapa nchini kama anavyofanya Al habib gombesugu. Je ni kwa vipi unamtetea Mohamed Said anayehoji Uislaam wa wote wale wanaoutambua na kushirikiana na uongozi wa BAKWATA kama hawa hapa chini;

3+%281%29.jpg
1.jpg

au hawa hapa.

th
th

Ewe Mag3!,

Embu wacha kutuchosha na haya mapicha...sasa tunahitaji vitendo na sio mapicha ndugu yangu.

Sisi dini yetu inakataza kabisa kuabudu/kusujudia masanamu...kwa hiyo tafadhali punguza haya mapicha yako kijana! Kwi! Kwi! Kwi!

Kuanzia leo nakusihi kama utahitaji kunini-quote...tafadhali hakikisha unaleta post yangu nzima/yoote.

Nazijua propagandas zenu wewe na huyo Nguruvi3, as you always misquote/out of context people and enjoy by taking cheap credit out of it!

Wapi mimi nilisema yakuwa huyo Mufti wako Sheikh Shaaban Bin Simba yakuwa ati hana Ilm ya dini!?...

Nimesema tu yakuwa hana Ilm,na nikatoa mifano yakuwa tatizo hilo lipo pia hata kwa Politicians wengi tu!

Nanyi mnapenda na kushangilia mno hiyo Bakwata iongozwe na watu kama kina Sheikh Simba na kundi lake kwa manufaa yenu na huo MfumoKristo tu!

Ahsanta.
 
Vipi unashauri ukoo wa Mshume Kiyate ulipwe kwa kumsaidia Julius Nyerere?

Unadhani Mshume Kiyate angekuwa hai angedai malipo?

Au angesimama na kutangaza haya kama ufanyavyo?

Je watanzania tumfanyaje Mshume Kiyate?

Wakati wa uhai wa Mzee Kiyate aliwahi kusimama-hadharani ama mafichoni na kudai fidia/malipo ya kumsaidi Nyerere wakati wa ukombozi?

Unapokuwa mzee halafu ukawa mnafiki na mzandiki unakosa thamani hata kwa Mungu wako

Ewe Muhehe mla Mbwa aka "Bin Nyerere"!

I would love to chop off your skinny feet,then burn your a.s.s on a tree while you are hanging from your neck!!

Ahsanta.
 
Back
Top Bottom