Waislam wefanyiwa dhuruma nyingi sana wewe hauwezi kuziona wala kuzikubali sababu ya chuki zako dhidi ya Uislama. Hapa watu hawapo kwa ajili ya kumuongelea Mshume Kiyate peke yake ngoja tupanue mjadala kabla haujatumiwa PM.
Nyerere alishawakatama na kuwakeka vizuizini Masheikh wetu wengi watu tukijadili unasema tunalalamika hivi nyie Chadema mnalalamika kwa CCM kila siku.
Hawa ndiyo Masheikh walioteswa na Nyerere ambae wewe hautaki watu wamuongelee.
Abdillah Schneider Plantan, Sheikh Abdulkarim Abdulwahid, Maalim Popo Saleh, Sheikh Suleiman Masudi Mnonji, Ali Migeyo, Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Shariff Husseim Badawiy, Shariff Mwinyibaba, Shariff Adnan, Bilali Rehani Waikela, Sheikh Jumanne Bias, Maalim Matar, Abdallah Mwamba, Sheikh Hashim Haji, Sheikh Nurdin Hussein, Sheikh Salum Abdalla Popo, Sheikh Mzee Ali Comoriam, Sheikh Al Amin Mafta, Rajab Kiguu, na wengine wengi.
Sasa nadhani unaona mfumo kristo ulivyoanza ilikuwa baada ya uhuru.
Wewe endelea kuamini kwa Waislama wanalalamika tu.