Ha ha haaa! JF kiboko. Mkuu
Nguruvi3, naomba nichukue nafasi hii kukushukuru kwa mchango wako kwenye huu mjadala...hata kipofu anahitaji kuupitia kidogo tu ajue mnakasha unavyokwenda, goja nitoe mfano kidogo tu;
Jibu ulilopata kutoka kwa
Al Habib Al Tayeb ni hili hapa;
Pamoja na matusi hukukata tamaa kutoa darasa;
Kama ilivyotegemewa somo halikuingia na
Al Habib Al Tayeb kaingia tena JF;
Na kama kawaida
Al Akhiy gombesugu akadakia;
Bila ajizi
Maulana Dr. kahtaan naye hakubaki nyuma;
Kwa uvumilivu mkubwa mkuu
Nguruvi3, ukaona urudishe mnakasha katika msitari;
Duh ikawa kama vile
Nguruvi3 kaamsha mizimu, akaingia tena Al Akhiy gombesugu
;
Kama vile haitoshi tena Al Akhiy gombesugu akaamua kutoa yote aliyo nayo moyoni;
Mnakasha, wanajamvi ndivyo unavyoendelea...mimi
Mag3 sijaongezea hata neno!
Kwa upande moja wapo
Al Alkhiy gombesugu,
Maulana Dr. kahtaan,
Shariff Ritz,
Ukhti @FaizaFoxy,
Ayatollah CHAMVIGA,
Al Habib Al Tayeb,
Al Akhiy Boko haram,
Al Murid THE BIG SHOW,
Al Akhiy Polite
Upande wa pili yupo
Al Kidhab Nguruvi3 huku
Al Munafik Mag3 akichungulia kwa mbali
Ustaarabu kweli dhahabu!
Mag3,
Wewe unadai yakuwa ati "ustaarabu ni dhahabu"...nakuuliza,wewe
ustaarabu unaujulia wapi na utauanzia wapi!?
Sisi huo ustaarabu huzaliwa nao,huu
uhuni ndo hujifundishia ukubwani. Ni kinga tu,na huwa tunautumia kiduchu inapolazim kukabiliana na watu wa aina yenu!
Wewe kama kweli ungalikua mstaarabu japo kiduchu,basi ungeweka
quotes na za hao
jamaa zako wana
Chadema/makanisa wenzio...ili kuonyesha ilikuaje mpaka ikalazim sisi kutoa
majibu/ujumbe huo!?
Au japo pia ungewaomba
Wanajamvi wajaribu kuufuatilia huu
mnakasha tangia
awali na mpaka tulipo,khalaf ndo uwaache wao ndo wajipimie wenyewe kwa
mantik zao!?
Imenilazim kucheka kwa jinsi hayo
majina yetu na
ulivyotupanga kwenye hiyo
post yako!? Kwi! Kwi! Kwi!
Yaani umenikumbusha wale ndugu zetu
Al Mujaheedin wa kule
Jammu/Kashmir na wale kiboko ya mwa
-Amerika,
Pashtuns! Kwi! Kwi! Kwi!
Hao ndo
Al Muhaj'run wa humu
Jf,chini ya uongozi thabit na madhubut wa
Ayatollah Chamviga! Kwi! Kwi! Kwi!
Nimecheka pia kuona nduguyo
Nguruvi3, analazimisha kwa Maulana Dr
Kahtaan yakuwa ati nae ni wa
Mwambao,tena huku akijinadi kwa
mashairi na
mipasho!? Kwi! Kwi! Kwi!
Nafurahi kwa haya "maendeleo" na
trendy hii, maana wakti wa yule maluuni
Nyerere;jamaa zetu wengi wakiogopa na kudharau kuwa
Mswahili,mtu wa
Mwambao/Pwani au hata
Muislam...hivi vyoote vikionekana ati ni kama
derogatory term!? Nafikiri wakumbuka uzuri mno!?
Ilifikia wakti hata wale jamaa zetu wa
Kihaya waliokuja hapo
D'salaam kuuza tupu zao/
"kutafuta stara",ati nao wakionekana wa maana kuliko mtu kuitwa
Mswahili au wa
Mwambao/Pwani!? Kwi Kwi! Kwi!
Nilikua sina khabar yakuwa Shariff
Ritz kumbe anafuga njiwa,lakini hao ni maalum tu kusubiri huo "mtama" wa huyo
Nguruvi3! Kwi Kwi! Kw!
Mwambie huyo kipofu mwenzio
Nguruvi3,hata nami napata
PMs nyingi pita kiasi,jamaa humu
Jf wanastaajabu na kuniuliza je huyo
Nguruvi3 kakumbwa na kipi kwenye mjadala huu,mbona kageuka
kituko/kichekesho!?....au labda
account yake ya
Jf imekuwa-
hacked na inatumiwa na mtu mwingine!?
Nami nawajibu yakuwa,khabar hizi si ngeni humu
Jf...maana mwenzetu
Dr Slaa kila siku yanamkuta hayo ya
account yake kutumiwa na mwingine!? Kwi Kwi! Kwi!
Mwambie
Nguruvi3,ajitahidi kwenda
Hospital kuonana na Maulana Dr
Kahtaan,akadungwe japo sindano moja apate usingizi. Maana hiki
kiama cha hapa jamvini nakhis
kitamtohoa!
But,
Mag3,in a
serious note...huu ni
mnakasha/thread takriban wa tatu, wewe ni mmojawapo ya
Vinara wanaojaribu mno
kumbeza na
kumuadhiri mno Sheikh
Mohammed Said,kisa tu sababu ya maandiko yake!?
Hivi huoni hata soni/haya,pale wewe na wenzio kujinasib "ustaarabu" huku mkizuia msomi mwenzenu asisomwe maandiko yake na mkitumia
lugha chafu mno kumpaka matope...tena huku yeye akikustahamilieni na huku akifanza
uungwana dhidi ya huo
udhalim wenu!?
Hio
freedom of speech iko wapi,au mnataka kuturejesha kulekule
"enzi ya Mwalimu"!?
Mara ngapi tumeshakuambieni yakuwa
hoja za kitaaluma,hujibiwa tu na hoja za kitaaluma. Sasa nyinyi au hao wataalamu wengine mnaowategemea kwanini hamtoi hiyo
history/maandiko yenu ku-
counter hizi
descriptions/writtings,ukweli uloshamiri alouleta Sheikh
Mohammed Said!?
Nakusihi embu jipitie hii
post yako ya mwanzo ulioleta kwenye mnakasha huu,khalaf
jisome kwa utuvu,tena peke yako bila ya kufuata ushauri au maelekezo ya yule kichwa maji
Nguruvi3...khalaf jitazame kwenye kioo na
ujisuduku mwenyewe!
Tafadhalini pia punguzeni hizo
myth zenu,yakuwa ati Sheikh
Mohammed Said ndo mchochezi na
"Mentor" wetu! Hili si kweli nanyi binafsi mwajua yakuwa hizi ni baadhi tu ya hizo
propagandas zenu
muflis!
Takufahamisha kiduchu
;Waislamu takriban woote hapo
Tanganyika/
Zanzibar yoote mpaka
Kenya/Mombasa,walikua wanaijua
history yao yoote ya mapambano/harakati zao tangia enzi za ma-
Portugese na
Mjarumani na hatimae kuja huyo
Mngereza na yule kibaraka wao
Nyerere!
Kila nyumba yoyote ilokua ya
Muislam hiyo
Tanganyika/Zanzibar yoote,ukiuliza utaambiwa
madhila walofanziwa ma-
Sheikh wetu na
Viongozi wetu wengine wa kidini na baadhi ya
Families/Watu maaruf wakti wa yule
Nyerere,na
dhulma nyinginezo nyingi kwa nyakati tafauti.
Kwa kifupi haya yoote alioandika Sheikh
Mohammed Said na kuufahamisha umma na
dunia yoote,ni marejeo tu na
uthibitsho wa kimaandishi,wala si mambo labda mageni/mapya mno miongoni mwetu sisi
Waislam.
Kama ni
urongo/uchochezi basi itakuwa
Waislam woote wa
Tanzania/East Afrika nzima na
Masheikh zetu/Wazee Wetu woote nao pia ni warongo na wachochezi na sio Sheikh
Mohammed Said pekee...
Maana nao pia hizi khabar za
yalowakuta/madhila walofanziwa wao binafsi na
jumuia yetu na ndugu zetu wengi tu,walikua wakitueleza kila kukicha na wamekufa bila kujulikana au
kutambulika na yeyote kwenye
history ya vitabuni ya Taifa letu...tena wanyonge wakizikana wenyewe kwa wenyewe tu!
Tafauti ya
Wazee wetu na
wanataaluma/Historian wengine wa
kiislamu na Sheikh
Mohammed Said,ni ya kwamba Sheikh
Mohammed Said yeye
amejitolea na kumuomba
Mola ampe
mwongozo/sabra na ndo leo twaona amefanikiwa kuyaweka
baadhi tu kwenye maandishi!
Tukubaliane pia ya kwamba Sheikh
Mohammed Said,ndo historian wa kwanza
serious kutoka hapo
Tanganyika kuandika
history iso shaka na
inayokidhi haja kwa miaka mingi ijayo.
Sisi
tunamshukuru mno kila kukicha kwa kutuwekea
misingi hii ilo mema na
adimu kwenye
history ilotaka
kupindishwa na huo
MfumoKristo.
Jitahidini kuukubali
ukweli mchungu japo kiduchu
jamaa zetu!
Embu kwa mtu
yeyote mwenye
maarifa yake,bila ya kujali hata
dini au
Ilm ilo kubwa;ende akasome kile
kituko kilichotungwa na wale
wanaharamu wa pale Kivukoni aka
Historia ya Kivukoni na kulinganisha na maandiko ya Sheikh
Mohammed Said!? Kwi Kwi! Kwi!
Kwa hiyo kama ni
uchochezi au
dhuluma katika jamii,mbona nyinyi nyoote hamkuwahi hata siku moja kukemea yale
makhanatha yaloandikwa na wale
maluuni wa Kivukoni kwa ajili tu ya kumfurahisha
Nyerere aka
"Baba Wa Taifa""
Pia msipende kupinga na kutoa
arguments hizi muflis; ati wapigania
uhuru woote walikua "hawana"
dini,wala hawakutaja au kugombea uhuru wetu kwa kutumia hizo
dini/matabaka yao,au ati hizo dini zao haziku-
play big role kwenye zile harakati!?
Kwa
Ukristo na hao
Makasisi wenu ni kweli,wao walikua
wakivinjari tu na wale
Slave Masters wao. Lakini
Uislam,inajulikana "
dhahir bin shahir" jinsi
ulivyotumika na
kushughulika kwenye harakati na mapambano ya kuleta
"Uhuru" wetu...
Hili hata yule
Nyerere,pamoja na unyama wake mwingi mno,lakini mara kwa mara alijaribu kukumbusheni nyinyi
Wakristo wenzie...labda alikhis iko siku mtakujaleta
"fadhila za punda"!?
Hizi nazo pia ni
arguments zenu
za kitoto ambazo mmekua mkizirejea kila mara mpaka hivi sasa kuna baadhi ya
misukule yenu humu
Jf wameshaanza kuamini yakuwa ni "kweli"!? Kwi! Kwi! Kw! Kwi!
Nisingependa kuingia huko kwa sasa,maana hiyo nayo ni
Topic tafauti/ndefu kiduchu...labda
Insha Allah penye majaaliwa tufungue
thread nyingine siku zijazo nami takualika rasmi...
Promise!
Pole kwa mazungumzo marefu,lakini kwa sasa naomba nikwache maana inanilazim nende nikamkitimize
majiti ya roho yule mbilikimo ajiitae ati ni
"Mtu Mzima"! Kwi! Kwi! Kwi!
Ahsanta.