Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Nguruvi3,
Slow down,naona kama unakuja kwa hulka na silka ya dharau sasa,
Huwez jua uwezo wa mwenzako katika field mbli mbali,usiunderestimate kirahis ivo Ndug yangu.

Big Show,

''Boko ananifafanishaje na mtu asiyeelewa hata basic and simple statistic! Mtu asiweza kuongelea lolote kuhusu economy! socialogy, psychology or simple analysis of the world geopolitical sphere.''

Hapo juu sitii langu...haya mambo ya economy na socialogy kwangu mazito sana...

Ngoja nidadavue kiduchu mtama wa ndugu yetu Nguruvi3.

Mimi hapa nimeishajitokeza na kukwambia Waliopigania uhuru wengi walikuwa ni Waislam na ushahidi ninayo kama ukitaka nitakupa.

Hii hoja yako ni dhaifu mno, hivi nani amekuambia sisi Waislam shida yetu ni majina? hii sijui umepata wapi kuwasemea Waislam na kuileta ukumbini na kuita hoja wakati umezuwa.

Hii santuri yako inaendelea kupiga, nani kakuambia Waislam shida yao na majina ya barabara, teh teh teh!! huu mtama wako angalia usije kuungua na jua.

Nilikujibu huko nyuma lakini jibu langu ulilipita kasi taliweka tena hapa chini kukuonyesha kazi ya Mfumo Kristo kutoka kwa Nyerere, Masheikh wetu kufanyiwa unyama wewe unaona siyo sawa, na hawa Masheik walifungwa na Waislam wenyewe, Nguruvi3. kumtetea Nyerere kwenye dhurma dhidi ya Waislam ni sasa kiziba shimo la panya kwa mkate wa nyama.

Dhiaka na kejeri kama hizi zikijibiwa ipasavyo unakimbilia kalalamika umetukwanwa na kusema watu wanatumia lugha za matusi, siyo Uislam, wewe kwa akili yako unadhani watu hawana kazi wanashinda internet, hujui kila tunapokuwa ofisini, majumbani, barabarani, kote huko watu tuna access ya internet, labda tukuuliza kuna mtu alishawahi kukuomba umnunulie Bando.

Naona baada mtama kukuishia akaamua kutafuta ufuta, mambo ya kazi ya Sheikh Mohamed Said. na bandari yamekujane tena, teh teh teh!!.

Teh teh teh!!! naona unazidi kumwanga mtama wako, hivi hoja gani tumeshindwa zaidi ya haya matusi yako, Nguruvi3 yunasubiri umwage mtama wako.

Shariff,
Jamaa aniniita ''stupid.''

Safi sana...
 
KIjana unarudia kosa lile-lile ulilokwishapewa darsa na ukakiri. Vipi, umechanganyikiwa na "uper cut" moja tu?

Ni "statistics". Kuwa makini japo kidogo unajidhihirisha jinsi ulivyo mfinyu.

Faiza,
Anayo nyingine ''socialogy.''

Huyu jamaa ni kiboko ya mwisho.
Anakitaka Kizungu sana...lakini...
 
Big Show,

''Boko ananifafanishaje na mtu asiyeelewa hata basic and simple statistic! Mtu asiweza kuongelea lolote kuhusu economy! socialogy, psychology or simple analysis of the world geopolitical sphere.''

Hapo juu sitii langu...haya mambo ya economy na socialogy kwangu mazito sana...

Moh Said,Dunia hii kwa sasa imebakia shari kamili,naona nusu shari ishakatika.

Kuna baadhi ya mambo tunayozungumza na ndug zetu yana ukakasi sana,hadi inashangaza kuwaskia yakiwatoka vinywan mwao,watu tunadharauriana pasipo hata na kufahamiana na kujua ni mangapi tumeyahifadhi vichwani mwetu,inatisha sana,

KUNA WAKATI HII JF INAWAJAZA WATU UJASIRI WA KUZUNGUMZA VITU WASIVYO NA UWEZO HATA WA KUVIBEBA KWENYE VIGANJA VYAO,WANAZUNGUMZA BILA KUBAKISHA JAPO KIDUCHU KWA AJILI YA KESHO,

MIMI NAPATA TABU SANA KUSOMA UNDERESTIMATIONS ZA BAADHI YA WANA NDUGU HUMU JAMVIN,ILMU YA MTU NI SIRI YAKE,WENGINE WANAMILIKI VINGI VICHWANI MWAO NA HUTOKUJA KUWASKIA WAKIJINASIBU NAVYO,

Moh Said tambua kuwa Maarifa yako yanawafungua wengi sana,hawa wanaokebehi humu JF hawafiki hata punje ya mchele dhidi ya wale walioko nje wanaopambazukiwa na kweli hii,Tunakusoma sana``
 
Kwahiyo tukubali simulizi za baba yako tu mkiwa ukumbini kama facts.
Endapo Nyerere hakuandika katiba mbona hao waliomtangulia hawakuchua ya Nkurumah au kuwa na wazo la kufanya hivyo.

Hakuna nyaraka inayoonyesha jina limebuniwa Burma nami naweza sema jina lilibuniwa Kigamboni ikawa sawa.

Na wewe weka ya baba yako hapa tuyasome na tuyajadili tuone.
Ya wajomba na shangazi yangu ndiyo haya yanasomwa dunia nzima.
 
Moh Said,Dunia hii kwa sasa imebakia shari kamili,naona nusu shari ishakatika.

Kuna baadhi ya mambo tunayozungumza na ndug zetu yana ukakasi sana,hadi inashangaza kuwaskia yakiwatoka vinywan mwao,watu tunadharauriana pasipo hata na kufahamiana na kujua ni mangapi tumeyahifadhi vichwani mwetu,inatisha sana,

KUNA WAKATI HII JF INAWAJAZA WATU UJASIRI WA KUZUNGUMZA VITU WASIVYO NA UWEZO HATA WA KUVIBEBA KWENYE VIGANJA VYAO,WANAZUNGUMZA BILA KUBAKISHA JAPO KIDUCHU KWA AJILI YA KESHO,

MIMI NAPATA TABU SANA KUSOMA UNDERESTIMATIONS ZA BAADHI YA WANA NDUGU HUMU JAMVIN,ILMU YA MTU NI SIRI YAKE,WENGINE WANAMILIKI VINGI VICHWANI MWAO NA HUTOKUJA KUWASKIA WAKIJINASIBU NAVYO,

Moh Said tambua kuwa Maarifa yako yanawafungua wengi sana,hawa wanaokebehi humu JF hawafiki hata punje ya mchele dhidi ya wale walioko nje wanaopambazukiwa na kweli hii,Tunakusoma sana``

The Big Show,
Taratibu tutafika In Sha Allah.
 
Nipo hapa nikiwa na wasaa baada ya majukumu mengine remote, nitaendelea kutoa facts wala halina tatizo.

Sawa Ndug,

Tuendelee na ile hoja ya nyerere na uasisi wake wa bakwata na jins alivokiuka miiko ya utaifa na kupandikiza jamii yenye farki ya mihemko ya kidini kwa kutumia rungu lake la madaraka,nilikuuliza ya kwamba je unakubali ama una kataa ya kwamba kwa kushiriki kwake kuanzisha bakwata amekua chanzo na sababu ya mengi ya madhila tunayoyaona katika jamii ya kiislam hadi hivi leo??hata ukija na rationalization ni sawa tuh,karibu nakukaribisha,

Kama unakataa ya kwamba kwa julius kushiriki katika kuiasisi bakwata kawa chanzo kikuu cha tatizo please naomba niambie ni kwanin??

Kitu kingine pia Nguruvi3,kuna hoja fulani nakuona umeishikia bango sana,ile hoja inayosema kama waislam wanataka wapigania uhuru waliosahauliwa waenziwe basi waanze sasa kuwaenzi wao wenyewe kwa kuwapa majina mbali mbali ya mitaa,taasisi na shule na vitu vingine,kwan kazi hii haikufanywa na nyerere ila ilifanywa na inafanywa na watu wengine hata madiwani wa halmashauri mbali mbali,NAKUPINGA KATIKA HILO NA NAONA UKWELI UNAUTAMBUA ILA SASA UNAUPOTOSHA,

NISOME KWA UTUVU KIDOGO;

Kwanza Moh Said hazungumzii wazee ambao wanaonekana walikuwa waamin wa iman ya kiislam,la hasha,kama unamsoma kwa umakini katika maadish yake anaelezea wazee mbali mbali,wa iman mbali mbali kutokea sehemu mbali mbali na sio kariakoo pekee,nimewaona humo wazee wangu wengine wanatokea hadi LINDI HUKU KUSINI MWA TANZANIA,liangaze vema hilo ndugu,

PILI,unasema waislam waaanze sasa kuwaenz kwa kuwataja taja majina na kuwawekea kumbu kumbu maridhawa,je hiyo nayo ni hoja??umeskia sisi au mwandish mahiri Moh Said akiegemea katika muktadha huo??

Hoja hapa ni kuachwa kwa makusudi kuandikwa na kuenziwa waasisi wa taifa hili ili iwe hazina kwa kizaz kijacho na kukemea upotoshaji wa wazi wazi na makusudi,sijui ni kwanin hili unashindwa kulifanyia haki ndug,
Hao walioamua kuandika kwa kuruka ruka baadhi ya watu walikua na nia gan hasa??kwambaje kizaz kijacho kisifaham uhalisia wa historia ya taifa lao??

Na kwanin sasa anapotokea mtu kujaribu kuandika na kuifahamisha jamii uhalisia huo watu wengine muje kusimama kidete kukanusha na kuweka hoja za kuingiza mihemko ya chuki na kwamba watu wanapigana jihadi?na kwamba watu wanapigania historia ya taifa hili iandikwe kuwa ilipiganwa kwa mantiki ya kuja kuusimamisha uislam??,,kwan ni uongo ya kwamba katika wapigania uhuru wa nchi hii kulikuwapo waislm,wakristo na watu wa iman mbali mbali??

Sasa kwanin watu wa aina fulan walipoachwa kwa makusudi na watu wengine wanapofanya juhudi kuandika uhalisia wanyooshewe vidole vya chuki na kubandikwa majina ya propaganda za kichochez??mlikua mnatakaje ukweli usisimwe??

Twende pole pole
 
Nguruvi3,
Slow down,naona kama unakuja kwa hulka na silka ya dharau sasa,
Huwez jua uwezo wa mwenzako katika field mbli mbali,usiunderestimate kirahis ivo Ndug yangu.
MS na vijana wana lugha ambazo haziwiani na maadili ya dini. Kibaya zaidi nilidhani angesimama kuwaasa vijana kuhusu ndimi zao, naye kajiunga kusema inshallah hata kwenye lugha chafu ilimradi tu lazungumzwa jema kuhusu yeye.
MS anatakaiwa aongoze vijana katika kuleta taswira anayokusudia si kuharibu taswira hasa ya dini.

Kuhusu Mohamed napenda nikuhakikishie kuwa kitu kama takwimu hajui. Hilo halaina shaka kwasababu tuna ushahidi wa kutosha. Na si takwimu ni basic and simple statistics. Anapojaribu kututisha kuwa anaalikwa Ulaya na Marekani kama kigezo cha uelewa tunamwambia wait a minute kuna tatizo. Asidhani kuwa hatuna weledi wa mambo.

Lazima aelewe kuwa Ulaya na Marekani hawaelewi Tanganyika kuliko Watanganyika wenyewe. Kualikwa si kigezo kuwa anachokisema ni sahihi. Kwa miaka mingi amewaanisha watu kuwa Sykes.K ndiye muasisi wa AA, not true! Wamekuja Watanganyika wakamwambia siyo. Sasa Mmarekani gani anaweza kujua hilo.
 
The Big show, nimejibu suala la rationale kuhusu Bakwata, bahati mbaya file limekuwa corrupted. Najitahidi na nitaiweka hapa na kujibu hoja za hapo juu kwa pamoja.

Ahsante
 
Usikatike moyo mzee Mohamed Said haya ni ya kawaida kwa wapigania haki. Tafadhali nguruvi3 wengine hatufungui nyoyo zetu kwa heshima uliyonayo hapa basi ni vyema uchungu kauli zako.
Nionyeshe mahali hapo niliposema ili kama nipo nje ya mstari niombe radhi.
 
We don't disagree what our Muslim Tanzanian brothers did in emancipating us from colonial clutches.

Some of us would rather like to read and listen that its not just Islam contribution, but rather just plainly and simply, fellow Tanzanians....

Why emphasize Islam in this its anybody's guess, but again we are living in a current world where beliefs are thrusted down on our throats without our consent...
 
Mohamed Said wewe huwezi kusoma kitu ninachozungumza katika meza hata kimoja.Period. Hivi unaweza kuzungumzia nini kuhusu geriatrics, limbic system, psychosomatic na jinsi vinavyohusiana na Alzhemia utajibu nini mzee wangu!

Ninasema hivi mzee Mohamed statistics(ahsante kwa masahihisho) zile basic kabisa hujui sasa tunawezaje kuongelea facts zinazohusiana na hilo.

Niliwahi kukuona umealikwa UDSM ATB kama watu wengine wanavyofanya.

Labda nimepotea njia au sijui kusoma.
Sasa unanitaka nishindane na wewe kwenye limbic system...

Hutaki tena historia ya uhuru wa Tanganyika...
Ehe sasa nikija katika uwanja huo wa limbic ndiyo mwisho wake utakuwa nini?

Ndiyo tutaijua vizuri historia ya TANU?

Ushauri wangu kwako ni hebu fungua uzi wa limbic nina hakika utawapata
watu.
 
MS na vijana wana lugha ambazo haziwiani na maadili ya dini. Kibaya zaidi nilidhani angesimama kuwaasa vijana kuhusu ndimi zao, naye kajiunga kusema inshallah hata kwenye lugha chafu ilimradi tu lazungumzwa jema kuhusu yeye.
MS anatakaiwa aongoze vijana katika kuleta taswira anayokusudia si kuharibu taswira hasa ya dini.

Kuhusu Mohamed napenda nikuhakikishie kuwa kitu kama takwimu hajui. Hilo halaina shaka kwasababu tuna ushahidi wa kutosha. Na si takwimu ni basic and simple statistics. Anapojaribu kututisha kuwa anaalikwa Ulaya na Marekani kama kigezo cha uelewa tunamwambia wait a minute kuna tatizo. Asidhani kuwa hatuna weledi wa mambo.

Lazima aelewe kuwa Ulaya na Marekani hawaelewi Tanganyika kuliko Watanganyika wenyewe. Kualikwa si kigezo kuwa anachokisema ni sahihi. Kwa miaka mingi amewaanisha watu kuwa Sykes.K ndiye muasisi wa AA, not true! Wamekuja Watanganyika wakamwambia siyo. Sasa Mmarekani gani anaweza kujua hilo.
Lugha yako ndiyo ina maadili ya dini yako ndimi yako inatoa lugha chafu.

Unamuita Sheikh Mohamed Said. "STUPID" halafu unataka kuheshimiwa tena wengine tumejizuia sana kutoa kauli za kifedhuri.

Nguruvi3. Hata sisi matusi tunayajua tunajizuia unapenda sana kumtolea Mohamed Saidi lugha kishenzi unajua hawezi kukujibu matusi.

Hebu jaribu kutumia hizo lugha kwangu au Maulana Dr. kahtaan, au Mujitahid Tayeb. Al-Habib gombesugu. Ulamaa Boko haram.
 
Last edited by a moderator:
MS na vijana wana lugha ambazo haziwiani na maadili ya dini. Kibaya zaidi nilidhani angesimama kuwaasa vijana kuhusu ndimi zao, naye kajiunga kusema inshallah hata kwenye lugha chafu ilimradi tu lazungumzwa jema kuhusu yeye.
MS anatakaiwa aongoze vijana katika kuleta taswira anayokusudia si kuharibu taswira hasa ya dini.

Kuhusu Mohamed napenda nikuhakikishie kuwa kitu kama takwimu hajui. Hilo halaina shaka kwasababu tuna ushahidi wa kutosha. Na si takwimu ni basic and simple statistics. Anapojaribu kututisha kuwa anaalikwa Ulaya na Marekani kama kigezo cha uelewa tunamwambia wait a minute kuna tatizo. Asidhani kuwa hatuna weledi wa mambo.

Lazima aelewe kuwa Ulaya na Marekani hawaelewi Tanganyika kuliko Watanganyika wenyewe. Kualikwa si kigezo kuwa anachokisema ni sahihi. Kwa miaka mingi amewaanisha watu kuwa Sykes.K ndiye muasisi wa AA, not true! Wamekuja Watanganyika wakamwambia siyo. Sasa Mmarekani gani anaweza kujua hilo.

Samahan Nguruvi3,naomba kuuliza swali...

Una chuki binafsi na Moh Said??

Kwa kweli nikikusoma naona waz waz ajenda fulan iliyojificha,kikauli,kimaono na kimafuhum kwa ujumla,

Tupo kwenye mjadala au tupo kwenye kutambiana??

Slow down Comrade,because you are speedin
 
Hajat Faizafoxy,Shariff Ritz,Sheikh Mohamed Said,Al Murid THE BIG SHOW,.....Salaam sana na nakusomeni kwa miwani ya 3D! Shughuli nzito muifanzayo ya kumdodosa huyo fataan' twaiona. Hana/hawana tena hoja,imethibitika yakuwa wamebaki na makhanatha yalokubuhu. Haina neno mimi taendelea kuyapitia yoote na mangine yaliyomo hapa. Niwieni radhi ndugu zangu,maana natumia tablet kwa hiyo hata access yangu ni limited na pia pana vijishughuli kiduchu vimenikinza hapa nyumbani. Tupamoja kwa yoote Insha Allah. Ahsantani.
 
Back
Top Bottom