kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
MS na vijana wana lugha ambazo haziwiani na maadili ya dini. Kibaya zaidi nilidhani angesimama kuwaasa vijana kuhusu ndimi zao, naye kajiunga kusema inshallah hata kwenye lugha chafu ilimradi tu lazungumzwa jema kuhusu yeye.
MS anatakaiwa aongoze vijana katika kuleta taswira anayokusudia si kuharibu taswira hasa ya dini.
Kuhusu Mohamed napenda nikuhakikishie kuwa kitu kama takwimu hajui. Hilo halaina shaka kwasababu tuna ushahidi wa kutosha. Na si takwimu ni basic and simple statistics. Anapojaribu kututisha kuwa anaalikwa Ulaya na Marekani kama kigezo cha uelewa tunamwambia wait a minute kuna tatizo. Asidhani kuwa hatuna weledi wa mambo.
Lazima aelewe kuwa Ulaya na Marekani hawaelewi Tanganyika kuliko Watanganyika wenyewe. Kualikwa si kigezo kuwa anachokisema ni sahihi. Kwa miaka mingi amewaanisha watu kuwa Sykes.K ndiye muasisi wa AA, not true! Wamekuja Watanganyika wakamwambia siyo. Sasa Mmarekani gani anaweza kujua hilo.
We Nguruvi3 kwanza naomba rukhsa ya kucheka!
Teh teh teh teh !
We kweli mbulula swahiba! Na hili usiseme ni tusi! La hii ni sifa ya yule anaeongea bila kufikiri!
Unasema wazungu hawaijui tanganyika kuliko watanganyika wenyewe!
Hivi wewe unakula ile hashish au?
Mzungu AMEKUTALAWA WEWE NA NA BABU YAKO NA HUYO BABA YAKO WA TAIFA wa karne nyingi mno!
Akikutumikisheni na kukuamrisheni kila alitakalo! Halafu wewe uliezaliwa juzi unasema unajua kuliko your MASTER!?
Je!
Una habari kuwa mpaka leo huyo mzungu bado ana influence kwenye maisha yako ya kitanganyika??
Na kesho huyo mzungu akiamua wewe Nguruvi3 ufunge ndoa na Mag3 utakuwa huna hiari? Au utasema haya pia matusi??
Lkn kumuita maalim mohamed said mjinga unaona sawa sio?
Huyo mzungu aliyekutawala wewe na akamfundisha mpaka babu kutumia choo badala ya kunya porini ndio huyohuyo anaemualika Mohamed Said ktk nchi yake aende akatoe elimu aliyonayo ili huyo COLONIAL MASTER WAKO APATE FAIDA!
Sasa wewe badala ya kumshukuru sheikh MS kukuwakilisha huku ughaibuni!
bado unamtukana na kumuona hana maana!
Basi mi nakutizama tu! Manake wanasema waungwana
" you can take the donkey to the river but you cant force him to drink"
And I guess we have lots of donkeys around!
I am not sure if you are a member of the donkey club!
Teh teh teh teh!
Last edited by a moderator: