nitakupa darsa ujue kafir ni nani mkuu, tena kupitia kitabu chako,
si unajua tena, kuna kitabu vingine kilishushwa lakini kwa bahati mbaya kikapungua peji baada ya mbuzi kula peji . hivyo kuwakosesha binadamu uwondo wa kupata kilichotimilifu. hayo tuyaache kwanza..
simple facts; biblia sio kitabu cha hadith na pia sio kitabu kilichoshushwa wala kudondoshwa.
it just a waste of tym kukijadili kwa kutumia mfumo wa quran. huko hakuna kukremu, huko ni kuelewa kupitia mazingira ya mwandishi na walioishi wakati huo ikitambua mila na tamaduni mbalimbali za eneo husika. huku ndipo kutakufanya kuwa huru zaidi kwa kuweza kutenganisha kati ya matendo ya watu na matakwa ya mungu.
in most cases kumbadili mwislamu anayejua imani yake sio rahisi na pengine haiwezekani, but to change moderate Xstian , its way easy going.
Teh teh teh teh!.
2013 unanivunja mbavu hapa.
Unaanza kuongea kama wale wanaoitwa "wenye pepo mchafu" ohh mbuzi kala kitabu...ohhh bata kapanda baskeli... halafu unasema tuyaache! Teh teh teh tehe!
Huna haja ya kurudia maneno hapa! Sisi waislamu TUNAIFAHAMU BIBLIA KULIKO NYIE MNAO SEMA MNAIFUATA!
We ipambe kwa majina yoote mazuri lkn MCHAKACHUO ULIOMO HUMO HAUWEZI KUTOKA TENA!
NA WALA NYIE HAMUWEZI KUIFUATA HIO BIBLIA INAVYO AMRISHA 100%!
KWA SABABU BAADHI YA SHERIA ZIMETUNGWA NA BINAADAMU WENYE UPUNGUFU. NA NYIE NI IMPOSSIBLE KUZIFUATA.!!
Ntakupa miwili tu hapa ya sheria ambazo ZIMO KWENYE BIBLIA LKN HAKUNA MKRISTO ANAE ZIFUATA! NA KAMA YUPO NITAJIE!!
ANDIKO LINASEMA NINI KUHUSU NDOA;-
TUSOME PAMOJA SASA;-
1)-So they are no longer two but one flesh. -What therefore God has joined together, let no man put asunder-(Matthew 19:6 & Mark 10:9).2)-
Whosoever shall marry her that is divorced committeth adultery-(Matthew 5:32, 19:9 & Luke 16:18).3)
-"Whosoever shall put away his wife, saving for the cause of fornication, causeth her to commit adultery"-(Matthew 5:32).4)-
"...whosoever shall put away his wife, and marry another, committeth adultery against her"(Mark 10:11 & Luke 16:18),
which applies to women as well (Mark 10:12).
Kwa kifupi hapa BIBLIA INASEMA
" MKRITO YYT ATAKAE OA MWANAMKE BASI MBALI YA UZINIFU HARUHUSIWI KUMPA TALAKA MPAKA KUFA!!!!
NA ATAKAE TOA TALAKA HALAFU AKAOA MWANAMKE MWINGINE BASI NI MZINIFU MPAKA KUFA KWAKE""
Sasa nenda katafute data za TALAKA ZA WAKRISTO HAPO TZ UONE WANGAPI WAMEACHANA KWA MWAKA MMOJA TU!
Nakumbuka ulifanyika uchunguzi na kanisa la KKT mwaka 2000 na ktk ripoti yao walisema asilimia 52 ya Divorces hapo Tz ni za WAKRISTO!
Na mimi nina imani wewe
2013 unawafahamu wagalatia wenzako wengi tu ambao wamepinga hili Andiko.
ANDIKO JINGINE AMBALO NYIE WOOTE MNAKWENDA NALO KINYUME NI HILI;-
YESU MWENYEWE ANAAMRISHA HAPA.
""And when you pray, you must not be like the hypocrites; for they love to stand and pray in the synagogues and at the street corners, that they may be seen by men. Truly, I say to you they have received their reward. -But when you pray, go into your room (or closet.) and shut the door and pray to your Father who is in secret..."--(Matthew 6:5-6 RSV).
Hapa kwa kifupi MNAAMRISHWA NA YESU MWENYEWE MKITAKA KUSALI BASI MSWALI KIMYA KIMYA TENA NDANI NA MILANGO MFUNGE!!!!!
Sasa hayo makwaya yenu na hio mikutano ya injili kwenye viwanja vya mpira KWA MUJIBU WA YESU MWENYEWE NI HARAMU KABISA. TENA AMEWAITA WATU WAFANYAO HIVYO KUWA NI "HYPOCRITE"
Na zingine nyiiingi mno!
Lkn hapo mwisho Umesema kweli kabisa kuwa "KUMBADILI MUISLAMU ANAEJUA IMANI YAKE SIO RAHISI NA MOST CASES HAIWEZEKANI,!:thumbup::thumbup: LKN KUMBADILI MKIRISTO NI KAZI RAHISI SANA."
Na sababu kubwa NI KUMRUHUSU BINAADAMU (PAULO ) KUWAPANGIA MASHARTI KTK IMANI YENU!
NDIO MAANA UNAKUTA YESU KASEMA HIO NI "A"
NA PAULO ANASEMA HAPANA HIO NI "B"!!
Mi nakushauri uache ubishi utakao kuponza!
Nakukaribisha ktk DINI YA HAKI!
DINI ISIYO NA SHAKA NDANI YAKE!
NA NI DINI ISIOKALIWA KIKAO KULE DODOMA!
Karibu kwenye raha ndugu
2013 ili mimi na wewe Inshaallah tuingie PEPONI NA WAISLAMU WENGINE WANAOMUABUDU MUNGU WA KWELI ALIYE HAI.
AMBAE HAJAZAA WALA KUZALIWA. WALA HAJAWAHI KUFA WALA KUSULUBIWA.
MUNGU MMOJA TU!(sio watatu!!!!)
MUNGU WA ABRAHAM . NA MOSES NA SOLOMON NA ISACK NA ISHMAEL NA YOHANA NA JESUS NA MUHAMMAD.
(may peace of ALLAH be upon them all)
Ahsantum.