Wala usipate taabu
Ritz, nikipata muda nachungulia kidogo...mimi kwa bahati mbaya simo kwa wanaochambua maandiko takatifu, hapana, huko hunikuti kabisaaa...hayo aachiwe
kahtaan. Ila huu mnakasha unanikumbusha mbaaali, kama miaka mitatu/minne hivi baada ya kupata uhuru... nilipopata bahati ya kufika jijini Dar es Salaam kuendelea na masomo ya juu. Amini usiamini, ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuwaona kwa macho watu niliokuwa nikisimuliwa tu kwenye hadithi na kuwasoma vitabuni; waswahili...
Siku hizi neno Mswahili lina maana tofauti na siku za nyuma na hasa kwa watu wa bara kwani hapo nyuma halikuwa tofauti na neno
niggar au
negro lilivyotumika kwa weusi huko Marekani. Lakini kwa watu weusi wa huko maneno hayo ni taboo kuyataja hadharani tofauti na hapa kwetu ambako neno mswahili limepata tafsiri mpya tena ya kujivunia. Sitaki kuanzisha mjadala ndani ya mjadala ila mtu akipitia kwa umakini michango ya wengi humu ndani mingi inathibitisha athari ya makuzi waliyoyapata utotoni.
Mag3,
Yaani nimesoma hiyo bayana yako,nimeipenda na wala
sikustushwa na hayo uloyaandika humo...typical
Chadema follower,full of
colonial connotations,prejudices,stereotypes na uharo mwingine mwingi.
Naona karaha kiduchu,kuona mtu mweusi tena alie
dhalili kwa kila namna kama wewe,ati pia watumia
derogatory term ku-describe
Waswahili/Waislam!?
Mpe salaam huyo kimada wako
Nguruvi3,najua anajifanza ati hajibu bayana zangu kwa kutoa
cheap excuse yakuwa anaogopa
"matusi"!?
Mwambie binafsi namjibu mwana
Chadema yeyote/
Mkristo kwa minajil ya vile atakavyokuja na aidha
hoja njema au
makhanatha.
Narejea tena,yakuwa sisi
ustaarabu/uungwana huwa tunazaliwa nao,lakini huo uhuni ndo
inatulazim kujifunzia ukubwani tu! Sina haja ya kulirejea hili maana tayari nilishanena kwenye baadhi za
bayana yangu humu.
Nimepitia
post/s za huyo Nguruvi3,nimesoma
between the lines,naona anajitahidi mno ku-
divert issue/s za
Waislam na hoja zetu na kuzifanza ati ni labda "
class struggle" tu within our
society...na huku anatupilia mbali madai/malalamiko ya Waislam!? Mwambie aache kujidanganya,kwanza atambue yakuwa harakati/madai ya Waislam hivi sasa yamo kwenye hatua za mbali na
yanashughulikiwa kwa utuvu na
Viongozi waadilifu walioko kwenye ngazi za juu.
Nguruvi3,yeye aendelee tu kusema ovyo humu mitandaoni
JF na kutoa kashfa kwa
Wazee Wetu na kwa ndugu zetu
Waislam wengine wasojikimu...lakini nasi tukipata fursa
hatutomwacha asilan, tutakua tukimjibu kwa utuvu,kama vile aonavyo humu! Kwi! Kwi! Kwi!
Kwa kifupi,kama ulishapitia
bayana zoote humu jamvini,mbona tayari nilishazungumzia hizo
similarities zilizopo baina ya
dhuluma/nakma zilowakumba hao hao
Waswahili/Waislam na hali yetu hii leo hapo
Tanzania,na ile adhaba/nakma pia walizopitia na walizonazo mpaka kesho wale wenzetu
Black South Afrikans na
Afrikan Amerikans.
Nisingalipenda kwenda mbali zaidi au nje ya
mada husika asilan!
Nitayari,pindi kipata fursa,baada ya kumaliza
mnakasha huu,
nakusihi mno,fungua thread nyingine na unalike tafadhali,ili tupate fursa ya
kuchambua kwa kina baina ya hao uwafanziao tashtit na kuwabeza
Waswahili/Waislam...tuangalie na kuchambua kwa undani tamaduni,maadili na
history yao ya karne nyingi walizopitia na tafran/dharuba walizokumbana nazo.
Na pia tutafanza hivyo hivyo kwa hao watu wako wa huko
kanda ya Ziwa/mikoani utokeako,tukimaliza yayo,mimi nawe tutawaachia
Wanajamvi watumie
mantik zao wenyewe kufanza mlinganio!?
Narejea tena kiduchu;yule maluuni
Nyerere alipofika
Mzizima/D'salaam,ndipo alipotuletea nyinyi wakosefu wa adabu wenzie nyoote na kutuvunjia/kuangamiza tamaduni zetu,watu wetu,sehemu zetu,maadili yetu na akenda mbali zaidi na kutunyang'anya mpaka
lugha yetu ya na ati kuitaifisha,kuifanza ati ni
"lugha ya Taifa"!? Kwi! Kwi! Kwi!
Jiulize wewe punguani
Mag3,leo kukosa hao
Waswahili/Waislam nyinyi si mpaka leo mngekua mnazungumza zile
lugha zenu kama za manyama mwitu!? Kwi! Kwi!
Ile
oppression,marginalization dhidi ya
Waislam,ndo ilofanza wakti ule wa ile vicious regime ya
Nyerere, mpaka hata baadhi ya
Waswahili/Waislam wenyewe pia ati wajifiche kuhusishwa na mila,tamaduni zao na hata
Imani/Dini yao!?...maana
Nyerere alifanza juhudi zoote
kuhakikisha yakuwa kila kilichokua ni cha
Waislam au kuhusishwa na Waislam,basi iwe ni ati cha upuuzi/kupuuzwa!?
Pia nipa fursa kumshukuru mno Sheikh
Mohamed Said,maana yeye ndugu yangu amekwenda mbali mno na kufananisha hii nakma tulonayo leo
Waswahili/Waislam na yale yalowakuta wenzetu
Jews during WWII...nami namkubalia yakuwa japo hatujafikia
nakma ya wale wenzetu
Jews,lakini
dalili zoote na
dharuba tulizonazo/tulizopitia
Waswahili/Waislam,basi kuna elements/similarities na mangineyo mangi yenye
kushabihiana mno kwayo.
Kuna wakti uliwahi kutuwekea masanamu/picha kwenye ule mnakasha mwingine aliowahi kufungua Sheikh
Mohamed Said,nawe
ukalazimisha ufungwe...kwa kifupi ulituletea picha za
Al Rais Mrisho Kikwete,Al Rais Ali Mwinyi,Prime Minister Dr Salim Ahmed Salim,Mufti Sheikh Shaaban Bin Simba na Vice President Dr Bilal Gharib!?
Nakumbuka ulikuja kumuuliza Sheikh
Mohammed Said,kama je anawakubali hao kama ni
Waislam na kuwathamini...soote tunajua lile suali lako lilikua nje ya mada,la
kitoto na pia ni la
uchonganishi/unafiki.
Ulijitahidi mno ati kutufahamisha yakuwa wewe binafsi "unawastahi" mno hao Viongozi...nafikiri wakumbuka yakuwa,hao Viongozi woote ulowataja pia ni
Waswahili khalis kuanzia asili/families zao mpaka
dasturi zao zoote.
Nami leo nakuuliza wewe
Mag3;hao
Viongozi nao unawaona ni wapuuzi,wapumbavu na hawajasoma kama hao
Waswahili wenzao unaojaribu kutuaminisha hapo kwenye hiyo
bayana yako!?
Nguruvi3,yeye kenda mbali zaidi na kututajia family ya Al Marhum Bakari Kibwana Mwapachu,mwana wa
Kidigo toka Mwambani/
Tanga...na kuonyesha ati hiyo ndo
reflection ya
Waswahili/Waislam "wasomi",nasi wengine soote tulobaki
Tanzania nzima ati ni "wapuuzi","wapumbavu" na "hatujasoma"!? Kwi! Kwi! Kwi!
....for argument sake,tufanze yakuwa mimi nakubali hivyo alosema huyo
Nguruvi3, japo hoja yake ni
dhaifu mno na
kipumbavu,iwe ndo kweli!!?
Namfanzia
ihsan nami namwongezea
Waswahili/Waislam wengine tena kutokea pale pale
Tanga/Wanamji na waliokua na
Ilm njema mno,both
secular/Islamic kama ya yule ndugu yao
Kibwana Mwapachu...na hawa jamaa nao pia families zao na wao wenyewe ni watu waungwana,wasomi wazuri na wenye maendeleo mema...
Allahmdulillahi!
....Mwajasho,Maharage Juma,Wazir Juma,Bakari Mwarupa,Issa Mwakinyo,Rashid Othman,Maalim Pera Bin Ridhwan,Mbarouk Mwandoro,Sheikh Khamis Bin Akida,Sheikh Muhammad Bin Ali Al Bukhry,Madabida na wengineo wengi mno.
Je huyo
Nguruvi3,anawajua hao
Waswahili/Waislam hapo juu na families zao anazijua mpaka leo zina Ilm/maendeleo yepi!?...au yeye alipoona Mwapachu ndo ikawa kama ile khadith ya
kipofu aloona jogoo!? Kwi! Kwi! Kwi!
Anajua viwango vya
Ilm za hao waungwana/
Waswahili hata kabla ya yule
Nyerere hajaijua hiyo
D'salaam!?
Nakurejea wewe sasa;hao woote hapo juu walikua ni
wasomi wakubwa na wenye kuheshimiwa mno wakti wao...yule
Nyerere wenu anawajua/akiwajua kwa uzuri mno!
Hao woote pia ni
Waswahili/Waislam na ni Wazee Wetu,ambao kizazi chao au wao wenyewe/baadhi yao ndo mpaka leo wamo Serikalini ambayo nyie virongwe kikundi cha
Wakristo/Chadema hamuwataki na kutwa kucha mnashinda mitandaoni kuwafanzia
kashfa na
kuwachafua!?
Kumbe ni kwa sababu tu ya huo
Uswahili/Uislam wao!?
Je hao
waungwana/Waswahili nao pia unawaingiza kwenye ile
list yako ya "
wapuuzi wasiosoma" kama ulivyotwambia kwenye hiyo
bayana yako!?
Niliwahi kukuulizeni humu
Jf,nyinyi huwa mara kadhaa mnadai ati yakuwa huko kwenu
mabara/mikoani ati pia nako kulikua na
"harakati" nyingi za uhuru!?
Je hayo "
mabilioni" yenu ya hivyo vyama vya
"ushirika"/utapeli na hayo
makanisa/makasisi,yalikua wapi wakti yule, khabith
Nyerere akipata adha,dhiki na kutaabaika na ikafikia anakwenda sokoni akasaidiwe
kitoweo,nguo na
chakula cha
wanae, na wale Wazee Wetu/
Waswahili!?
Je hayo "
mabilioni"/michango yenu ya
makanisani,yalikua wapi wakti huo mpaka ikalazim yule
Nyerere anunuliwe/asaidiwe mpaka
baiskeli/usafiri na Wazee Wetu/
Waswahili!?...tena baada ya kuonewa
huruma yakuwa alikua akitembea kwa maguu tangia
Pugu mpaka Kipata, Gerezani-
Mzizizma/D'salaam!?
Nastaajabu,kwanini hakutokea japo simba mzee/
simba luwala akamla nyama yule
Nyerere huko njiani,enzi hizo wakti akitembea kwa maguu kwenye hizo safari zake za Pugu-Gerezaniyule khabith
Nyerere!?...maana leo hii tusingalikua hapa jamvini asilan
kuzingana kwayo kila kukicha!? Kwi! Kwi! Kwi!
Hizo pesa/"
mabilioni" yenu ya
makanisa/mikoani,yalikua wapi enzi hizo za harakati za uhuru,mpaka yule
Nyerere ikamlazim kutangatanga
Uswahilini tena enzi hizo ugenini...ikabidi hao hao
Waswahili/Wazee Wetu wamstiri,provided him with just a single bed to put his
filthy head!?
Hiyo
michango/"mabilioni" yenu ya
makanisani/mikoani,yalikua wapi enzi hizo ikalazim mpaka yule
Mama Maria asaidiwe na hao hao
Waswahili/Wazee Wetu, hata senti za
mradi wa kuuza mafuta ya taa na
koroboi pale Kariakoo!?...na pia ikalazim pia afundishwe mpaka hata kuzungumza lugha ya wanamji/
Kiswahili!?
Je unakumbuka Dada zako wa
Kihaya tokea huko huko utokako wewe
Mag3,
mikoani/kanda ya Ziwa,walipokuja Mzizima/D'salaam
kuuza tupu zao/kuuza ngono na kuwatia
maradhi mangi mno maskini enzi hizo yale
majanadume ya kinyamwezi,yalokua hayapati
wanawake wa
Kiswahili, kiungwana/wenye mjiwakti huo!? Kwi! Kwi! Kwi!
Sasa huo "upumbavu"/"ujinga" wa hao
Waswahili kama unavyodai,walinganisha vipi na huo "ustarabu"/"usomi" wa hao dada zako wa
Kihaya!? Kwi! Kwi! Kwi!
Tafadhali funika kombe
Mwanaharasha apite!....Kwi! Kwi! Kwi!
Nimefurahika tumezungumza, japo
kiduchu.
Ahsanta.