Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Hujajibu Nyerere alipataje nafasi aliyokuwa nayo miongoni mwa watu ambao yeye mwenyewe hakuwa na itikadi ya harakati zao,umeishia kuniletea copy and paste tu za watu hapa japokuwa hujasema wao ni wakina nani hadi tuyachukulie maelezo yao serious kiasi hicho

Pia yalihakikiwa na nani maelezo yao kuwa ni kweli
Tutajuaje kama walikuwa wanaandika hisia zao tu?

Pia hujasema ni kwanini itikadi ya kupigania uhuru iwe Uislam na isiwe nyingine inayowatambua na watu wengine pia!

Eiyer,
Nimekueleza cha kufanya ili ujue historia ya Nyerere.

Rejea kwenye post yangu.

Hapa nakuwekea maneno niliyoandika zaidi ya miaka 30 iliyopita.
Kama nilivyokueleza kuhusu ukweli wa kitabu changu.

Si lazima uamini.
Unaweza ukabaki ni hicho unachoamini.

Hapana ugomvi.
Kwangu ni sawa tu.

Ila ninashangaa sana.
Hivi katika yote niliyokuwekea na rejea zile hujapata kitu?
 
Sijapata chochote cha kuweza kujibu maswali yangu ambayo hadi sasa hujajibu

Kama kipo si uweke hapa?
 
Mohamed Said, unauonaje mnakasha unavyokwenda, unajisikiaje unaposoma hoja zinazotolewa na the pack ikiongozwa na kahtaan na wengineo...nina hakika zinakupa raha? Of course that was to be expected. At the end of the day we are all back to square, we all reap what we sow, huwezi kupanda mchicha ukavuna mchele hata mtu ukitukana toka unaamka asubuhi hadi unarudi kitandani usiku. And talking of matusi, wow! Kila nikipata muda kidogo naingia kuwasoma the pack na najifunza mengi kutoka kwao.

Mag,
Mie nashauri tusaidiane sote kutuliza huu upepo mkali.
 
Eiyer,
Nimekueleza cha kufanya ili ujue historia ya Nyerere.

Rejea kwenye post yangu.

Hapa nakuwekea maneno niliyoandika zaidi ya miaka 30 iliyopita.
Kama nilivyokueleza kuhusu ukweli wa kitabu changu.

Si lazima uamini.
Unaweza ukabaki ni hicho unachoamini.

Hapana ugomvi.
Kwangu ni sawa tu.

Ila ninashangaa sana.
Hivi katika yote niliyokuwekea na rejea zile hujapata kitu?

Mzee huyo kijana ni majhul tuachie sisi hakuelewi wala hatakuelewa hapo ni sawasawa unachapa maiti motuary.
 
Chambua kinachokufaa,angalia kwa umakini hoja zilizopo na mwelekeo wa lugha mbali mbali na sababu zilizopelekea kutokea kwa lugha hizo,

Naona unataka kuhamisha mada kwamba manufaa ya kile kinachozungumzwa na kujadiliwa kutoka kwenye mada kuu si chochote na si lolote isipokuwa ni farki,hilo unalisema wewe,

Ila wenye uelewa na maono ya mbali wanajua ukweli uko wapi,na upotofu uko wapi,hoja zipo nyingi sana na pia yapo mengi sana ya kujifunza

Swadakta al akhy THE BIG SHOW nasoma bayana zako huyu kijana anatafuta "sympathy" baada yakuona mambo ni mazito twende nae taratibu ataelewa tu.
 
Sijapata chochote cha kuweza kujibu maswali yangu ambayo hadi sasa hujajibu

Kama kipo si uweke hapa?

Eiyer,
Sheikh Muhamed Ayub wa Tanga ameandika kitabu cha kumfunza mwanafunzi mzito.

Kilichotokea ni kuwa mzazi alipeleka mwanae kusoma Chuo Cha Shamsiyya, Tanga.

Walimu wote wakashindwa kumsomesha maana alikuwa mzito sana kila akionyeshwa
hiki akifundishwa kile yeye haoni kitu.

Huyu kijana akapitia mikono ya walimu wengi na wote wakawa wameshindwa na kilichobaki
kikawa kwa kijana kurudishwa nyumbani.

Sheikh Muhamed Ayub akasema asirudishwe yeye mwenyewe atamsomesha.
Kwa hakika alimsomesha na mwisho kijana alihitimu na kurudi kwao.

Jambo kama hili la mwanafunzi mzito lilikuwa halijapata kutokea na Sheikh Mohamed Ayub akaandika
kitabu cha jinsi ya kumsomesha mwanafunzi mzito.

Watu wa kwanza kusomeshwa kitabu kile ikawa ni wale walimu walioshindwa kumsomesha yule kijana.

Kisa hiki nimekipata kutoka kwa Sheikh Burhani Bakari na mimi nikamuomba anisomeshe akinichukulia
kama mwanafunzi mzito.

Moja ya somo nililojifunza ni kuwa ili kufanikiwa na mwanafunzi mzito ni kwa yeye kutaka kusoma na
iwe kushindwa kwake ni ile akili yake kuwa hafifu.

Ikiwa mwanafunzi hataki kusoma huwa hatoweza kuhitimu.

Eiyer,
Nimekuwekea rejea ya wasomi makini bado unasema hujapata kitu.
 
Mwalimu Wangu Moh Said,

Kuna wengine wanaugua maradhwi makubwa sana,kuna ugonjwa mmoja kwa lugha ya mkoloni unaitwa D.I..tulishauzungumza hapo awali,yaani "DEDICATED IGNORANCE" bi'maana ya kwamba "COMMITTED TO BEING UNAWARE OR UNINFORMED ABOUT SOMETHING...

Maradhwi hayo ni mabaya sana,ni wa kuombewa tuh
 
Wala usipate taabu Ritz, nikipata muda nachungulia kidogo...mimi kwa bahati mbaya simo kwa wanaochambua maandiko takatifu, hapana, huko hunikuti kabisaaa...hayo aachiwe kahtaan. Ila huu mnakasha unanikumbusha mbaaali, kama miaka mitatu/minne hivi baada ya kupata uhuru... nilipopata bahati ya kufika jijini Dar es Salaam kuendelea na masomo ya juu. Amini usiamini, ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuwaona kwa macho watu niliokuwa nikisimuliwa tu kwenye hadithi na kuwasoma vitabuni; waswahili...

th
th
th
th

Siku hizi neno Mswahili lina maana tofauti na siku za nyuma na hasa kwa watu wa bara kwani hapo nyuma halikuwa tofauti na neno niggar au negro lilivyotumika kwa weusi huko Marekani. Lakini kwa watu weusi wa huko maneno hayo ni taboo kuyataja hadharani tofauti na hapa kwetu ambako neno mswahili limepata tafsiri mpya tena ya kujivunia. Sitaki kuanzisha mjadala ndani ya mjadala ila mtu akipitia kwa umakini michango ya wengi humu ndani mingi inathibitisha athari ya makuzi waliyoyapata utotoni.

Mag3,

Yaani nimesoma hiyo bayana yako,nimeipenda na wala sikustushwa na hayo uloyaandika humo...typical Chadema follower,full of colonial connotations,prejudices,stereotypes na uharo mwingine mwingi.

Naona karaha kiduchu,kuona mtu mweusi tena alie dhalili kwa kila namna kama wewe,ati pia watumia derogatory term ku-describe Waswahili/Waislam!?

Mpe salaam huyo kimada wako Nguruvi3,najua anajifanza ati hajibu bayana zangu kwa kutoa cheap excuse yakuwa anaogopa "matusi"!?

Mwambie binafsi namjibu mwanaChadema yeyote/Mkristo kwa minajil ya vile atakavyokuja na aidha hoja njema au makhanatha.

Narejea tena,yakuwa sisi ustaarabu/uungwana huwa tunazaliwa nao,lakini huo uhuni ndo inatulazim kujifunzia ukubwani tu! Sina haja ya kulirejea hili maana tayari nilishanena kwenye baadhi za bayana yangu humu.

Nimepitia post/s za huyo Nguruvi3,nimesoma between the lines,naona anajitahidi mno ku-divert issue/s za Waislam na hoja zetu na kuzifanza ati ni labda "class struggle" tu within our society...na huku anatupilia mbali madai/malalamiko ya Waislam!? Mwambie aache kujidanganya,kwanza atambue yakuwa harakati/madai ya Waislam hivi sasa yamo kwenye hatua za mbali na yanashughulikiwa kwa utuvu na Viongozi waadilifu walioko kwenye ngazi za juu.

Nguruvi3,yeye aendelee tu kusema ovyo humu mitandaoni JF na kutoa kashfa kwa Wazee Wetu na kwa ndugu zetu Waislam wengine wasojikimu...lakini nasi tukipata fursa hatutomwacha asilan, tutakua tukimjibu kwa utuvu,kama vile aonavyo humu! Kwi! Kwi! Kwi!

Kwa kifupi,kama ulishapitia bayana zoote humu jamvini,mbona tayari nilishazungumzia hizo similarities zilizopo baina ya dhuluma/nakma zilowakumba hao hao Waswahili/Waislam na hali yetu hii leo hapo Tanzania,na ile adhaba/nakma pia walizopitia na walizonazo mpaka kesho wale wenzetu Black South Afrikans na Afrikan Amerikans.

Nisingalipenda kwenda mbali zaidi au nje ya mada husika asilan!

Nitayari,pindi kipata fursa,baada ya kumaliza mnakasha huu,nakusihi mno,fungua thread nyingine na unalike tafadhali,ili tupate fursa ya kuchambua kwa kina baina ya hao uwafanziao tashtit na kuwabeza Waswahili/Waislam...tuangalie na kuchambua kwa undani tamaduni,maadili na history yao ya karne nyingi walizopitia na tafran/dharuba walizokumbana nazo.

Na pia tutafanza hivyo hivyo kwa hao watu wako wa huko kanda ya Ziwa/mikoani utokeako,tukimaliza yayo,mimi nawe tutawaachia Wanajamvi watumie mantik zao wenyewe kufanza mlinganio!?

Narejea tena kiduchu;yule maluuni Nyerere alipofika Mzizima/D'salaam,ndipo alipotuletea nyinyi wakosefu wa adabu wenzie nyoote na kutuvunjia/kuangamiza tamaduni zetu,watu wetu,sehemu zetu,maadili yetu na akenda mbali zaidi na kutunyang'anya mpaka lugha yetu ya na ati kuitaifisha,kuifanza ati ni "lugha ya Taifa"!? Kwi! Kwi! Kwi!

Jiulize wewe punguani Mag3,leo kukosa hao Waswahili/Waislam nyinyi si mpaka leo mngekua mnazungumza zile lugha zenu kama za manyama mwitu!? Kwi! Kwi!

Ile oppression,marginalization dhidi ya Waislam,ndo ilofanza wakti ule wa ile vicious regime ya Nyerere, mpaka hata baadhi ya Waswahili/Waislam wenyewe pia ati wajifiche kuhusishwa na mila,tamaduni zao na hata Imani/Dini yao!?...maana Nyerere alifanza juhudi zoote kuhakikisha yakuwa kila kilichokua ni cha Waislam au kuhusishwa na Waislam,basi iwe ni ati cha upuuzi/kupuuzwa!?

Pia nipa fursa kumshukuru mno Sheikh Mohamed Said,maana yeye ndugu yangu amekwenda mbali mno na kufananisha hii nakma tulonayo leo Waswahili/Waislam na yale yalowakuta wenzetu Jews during WWII...nami namkubalia yakuwa japo hatujafikia nakma ya wale wenzetu Jews,lakini dalili zoote na dharuba tulizonazo/tulizopitia Waswahili/Waislam,basi kuna elements/similarities na mangineyo mangi yenye kushabihiana mno kwayo.

Kuna wakti uliwahi kutuwekea masanamu/picha kwenye ule mnakasha mwingine aliowahi kufungua Sheikh Mohamed Said,nawe ukalazimisha ufungwe...kwa kifupi ulituletea picha za Al Rais Mrisho Kikwete,Al Rais Ali Mwinyi,Prime Minister Dr Salim Ahmed Salim,Mufti Sheikh Shaaban Bin Simba na Vice President Dr Bilal Gharib!?

Nakumbuka ulikuja kumuuliza Sheikh Mohammed Said,kama je anawakubali hao kama ni Waislam na kuwathamini...soote tunajua lile suali lako lilikua nje ya mada,la kitoto na pia ni la uchonganishi/unafiki.

Ulijitahidi
mno ati kutufahamisha yakuwa wewe binafsi "unawastahi" mno hao Viongozi...nafikiri wakumbuka yakuwa,hao Viongozi woote ulowataja pia ni Waswahili khalis kuanzia asili/families zao mpaka dasturi zao zoote.

Nami leo nakuuliza wewe Mag3;hao Viongozi nao unawaona ni wapuuzi,wapumbavu na hawajasoma kama hao Waswahili wenzao unaojaribu kutuaminisha hapo kwenye hiyo bayana yako!?

Nguruvi3,yeye kenda mbali zaidi na kututajia family ya Al Marhum Bakari Kibwana Mwapachu,mwana wa Kidigo toka Mwambani/Tanga...na kuonyesha ati hiyo ndo reflection ya Waswahili/Waislam "wasomi",nasi wengine soote tulobaki Tanzania nzima ati ni "wapuuzi","wapumbavu" na "hatujasoma"!? Kwi! Kwi! Kwi!

....for argument sake
,tufanze yakuwa mimi nakubali hivyo alosema huyo Nguruvi3, japo hoja yake ni dhaifu mno na kipumbavu,iwe ndo kweli!!?

Namfanzia ihsan nami namwongezea Waswahili/Waislam wengine tena kutokea pale pale Tanga/Wanamji na waliokua na Ilm njema mno,both secular/Islamic kama ya yule ndugu yao Kibwana Mwapachu...na hawa jamaa nao pia families zao na wao wenyewe ni watu waungwana,wasomi wazuri na wenye maendeleo mema...Allahmdulillahi!

....Mwajasho,Maharage Juma,Wazir Juma,Bakari Mwarupa,Issa Mwakinyo,Rashid Othman,Maalim Pera Bin Ridhwan,Mbarouk Mwandoro,Sheikh Khamis Bin Akida,Sheikh Muhammad Bin Ali Al Bukhry,Madabida na wengineo wengi mno.

Je huyo Nguruvi3,anawajua hao Waswahili/Waislam hapo juu na families zao anazijua mpaka leo zina Ilm/maendeleo yepi!?...au yeye alipoona Mwapachu ndo ikawa kama ile khadith ya kipofu aloona jogoo!? Kwi! Kwi! Kwi!

Anajua viwango vya Ilm za hao waungwana/Waswahili hata kabla ya yule Nyerere hajaijua hiyo D'salaam!?

Nakurejea wewe sasa;hao woote hapo juu walikua ni wasomi wakubwa na wenye kuheshimiwa mno wakti wao...yule Nyerere wenu anawajua/akiwajua kwa uzuri mno!

Hao woote pia ni Waswahili/Waislam na ni Wazee Wetu,ambao kizazi chao au wao wenyewe/baadhi yao ndo mpaka leo wamo Serikalini ambayo nyie virongwe kikundi cha Wakristo/Chadema hamuwataki na kutwa kucha mnashinda mitandaoni kuwafanzia kashfa na kuwachafua!?

Kumbe ni kwa sababu tu ya huo Uswahili/Uislam wao!?

Je hao waungwana/Waswahili nao pia unawaingiza kwenye ile list yako ya "wapuuzi wasiosoma" kama ulivyotwambia kwenye hiyo bayana yako!?

Niliwahi kukuulizeni humu Jf,nyinyi huwa mara kadhaa mnadai ati yakuwa huko kwenu mabara/mikoani ati pia nako kulikua na "harakati" nyingi za uhuru!?

Je hayo "mabilioni" yenu ya hivyo vyama vya "ushirika"/utapeli na hayo makanisa/makasisi,yalikua wapi wakti yule, khabith Nyerere akipata adha,dhiki na kutaabaika na ikafikia anakwenda sokoni akasaidiwe kitoweo,nguo na chakula cha wanae, na wale Wazee Wetu/Waswahili!?

Je hayo "mabilioni"/michango yenu ya makanisani,yalikua wapi wakti huo mpaka ikalazim yule Nyerere anunuliwe/asaidiwe mpaka baiskeli/usafiri na Wazee Wetu/Waswahili!?...tena baada ya kuonewa huruma yakuwa alikua akitembea kwa maguu tangia Pugu mpaka Kipata, Gerezani- Mzizizma/D'salaam!?

Nastaajabu,kwanini hakutokea japo simba mzee/simba luwala akamla nyama yule Nyerere huko njiani,enzi hizo wakti akitembea kwa maguu kwenye hizo safari zake za Pugu-Gerezaniyule khabith Nyerere!?...maana leo hii tusingalikua hapa jamvini asilan kuzingana kwayo kila kukicha!? Kwi! Kwi! Kwi!

Hizo pesa/"mabilioni" yenu ya makanisa/mikoani,yalikua wapi enzi hizo za harakati za uhuru,mpaka yule Nyerere ikamlazim kutangatanga Uswahilini tena enzi hizo ugenini...ikabidi hao hao Waswahili/Wazee Wetu wamstiri,provided him with just a single bed to put his filthy head!?

Hiyo michango/"mabilioni" yenu ya makanisani/mikoani,yalikua wapi enzi hizo ikalazim mpaka yule Mama Maria asaidiwe na hao hao Waswahili/Wazee Wetu, hata senti za mradi wa kuuza mafuta ya taa na koroboi pale Kariakoo!?...na pia ikalazim pia afundishwe mpaka hata kuzungumza lugha ya wanamji/Kiswahili!?

Je unakumbuka Dada zako wa Kihaya tokea huko huko utokako wewe Mag3, mikoani/kanda ya Ziwa,walipokuja Mzizima/D'salaam kuuza tupu zao/kuuza ngono na kuwatia maradhi mangi mno maskini enzi hizo yale majanadume ya kinyamwezi,yalokua hayapati wanawake wa Kiswahili, kiungwana/wenye mjiwakti huo!? Kwi! Kwi! Kwi!

Sasa huo "upumbavu"/"ujinga" wa hao Waswahili kama unavyodai,walinganisha vipi na huo "ustarabu"/"usomi" wa hao dada zako wa Kihaya!? Kwi! Kwi! Kwi!

Tafadhali funika kombe Mwanaharasha apite!....Kwi! Kwi! Kwi!

Nimefurahika tumezungumza, japo kiduchu.

Ahsanta.
 
Eiyer,
Sheikh Muhamed Ayub wa Tanga ameandika kitabu cha kumfunza mwanafunzi mzito.

Kilichotokea ni kuwa mzazi alipeleka mwanae kusoma Chuo Cha Shamsiyya, Tanga.

Walimu wote wakashindwa kumsomesha maana alikuwa mzito sana kila akionyeshwa
hiki akifundishwa kile yeye haoni kitu.

Huyu kijana akapitia mikono ya walimu wengi na wote wakawa wameshindwa na kilichobaki
kikawa kwa kijana kurudishwa nyumbani.

Sheikh Muhamed Ayub akasema asirudishwe yeye mwenyewe atamsomesha.
Kwa hakika alimsomesha na mwisho kijana alihitimu na kurudi kwao.

Jambo kama hili la mwanafunzi mzito lilikuwa halijapata kutokea na Sheikh Mohamed Ayub akaandika
kitabu cha jinsi ya kumsomesha mwanafunzi mzito.

Watu wa kwanza kusomeshwa kitabu kile ikawa ni wale walimu walioshindwa kumsomesha yule kijana.

Kisa hiki nimekipata kutoka kwa Sheikh Burhani Bakari na mimi nikamuomba anisomeshe akinichukulia
kama mwanafunzi mzito.

Moja ya somo nililojifunza ni kuwa ili kufanikiwa na mwanafunzi mzito ni kwa yeye kutaka kusoma na
iwe kushindwa kwake ni ile akili yake kuwa hafifu.

Ikiwa mwanafunzi hataki kusoma huwa hatoweza kuhitimu.

Eiyer,
Nimekuwekea rejea ya wasomi makini bado unasema hujapata kitu.

Hivi mzee unajua nimekuuliza kitu gani?

Maana nijuavyo mimi kuna majibu yasiyo sahihi na kuna kujibu jibu sahihi na kuna kutokujibu kabisa

Nimekuuliza kilichomfanya Nyerere awe na nafasi aliyokuwa nayo miongoni mwa watu ambao walikuwa na harakati na kulikuwa na itikadi ya harakati hizo na Nyerere hakuwa na itikadi hiyo,iweje akapewa madaraka aliyokuwa nayo bila kuwa na itikadi husika ya harakati?

Hujanijibu hili achilia mbali kunipa majibu ambayo sio sahihi
Sasa sijui tatizo liko kwa nani hapa

Kama una jibu la hili si uniambie tu?
Tatizo ni nini Mzee MOHAMMEDI?
Au huna jibu?
 
Mohamed Said, unauonaje mnakasha unavyokwenda, unajisikiaje unaposoma hoja zinazotolewa na the pack ikiongozwa na kahtaan na wengineo...nina hakika zinakupa raha? Of course that was to be expected. At the end of the day we are all back to square, we all reap what we sow, huwezi kupanda mchicha ukavuna mchele hata mtu ukitukana toka unaamka asubuhi hadi unarudi kitandani usiku. And talking of matusi, wow! Kila nikipata muda kidogo naingia kuwasoma the pack na najifunza mengi kutoka kwao.
Ndugu yangu naona hata fadhaa kufungua nyuzi hii. Kinachonishangaza nimesoma mahali nikapewa'daawa' ya Usilam, nikisoma wanaotoa daawa najiuliza hivi kumbe daawa ni matusi tena mazito! Sasa huyo kafir asiyetukana si ataona ukafir wake unathamani kuliko imani iliyojengwa katika lugha.. lahaula eeh mola wanusuru vizazi vyako. Huu ni mtihani mkubwa.

Nikimsikia mzee mmoja pale Mikwamba akigutiwa Chukumeni, yeye akisali sana na kusema watu walinganiwe kwa hoja na mntiki ili wavutike katika iman. Nilitegemea Mzee Said angesimama na hekma na busara kuwakanya vijana wake kwamba sivyo hivyo. Mitume waliopita hawakufanya hivyo hata pale walipopolewa kwa mawe.
Bahti mbaya Mohamed Said naye kashangilia mahali nilipokuwa napewa 'dozi ya matusi tena ya nguoni'

Mimi nasimama katika kusema na kutete ukweli. Dhidi ya yote wapo wanaoona na kusema 'ahsante' kwa kunena.
Nikiambiwa na mjomba yangu pale Ubwari akisema njia rahisi ya kupata maadui ni kuwa mkweli. Inshallah ilikuwa ilm kubwa na habri hizo ni kubwa!

Najiuliza kikosi kazi hiki kikiwa na MS kwa majaaliwa ndio bodi ya shule ya Masjid Quba nini kitatokea.!!
Yote heri mnyazi atunusuru lakini safari ni ndefu na kazi ya kutoa elimu ni ngumu. Tusipotoa nani atatoa?
 
Hivi mzee unajua nimekuuliza kitu gani?

Maana nijuavyo mimi kuna majibu yasiyo sahihi na kuna kujibu jibu sahihi na kuna kutokujibu kabisa

Nimekuuliza kilichomfanya Nyerere awe na nafasi aliyokuwa nayo miongoni mwa watu ambao walikuwa na harakati na kulikuwa na itikadi ya harakati hizo na Nyerere hakuwa na itikadi hiyo,iweje akapewa madaraka aliyokuwa nayo bila kuwa na itikadi husika ya harakati?

Hujanijibu hili achilia mbali kunipa majibu ambayo sio sahihi
Sasa sijui tatizo liko kwa nani hapa

Kama una jibu la hili si uniambie tu?
Tatizo ni nini Mzee MOHAMMEDI?
Au huna jibu?

Wewe Mlokole, kuanzia sasa, hivi lete masuali/"hoja" zako zoote kwangu mimi na ninakusubiria hapa!

Ahsanta.
 
Hivi mzee unajua nimekuuliza kitu gani?

Maana nijuavyo mimi kuna majibu yasiyo sahihi na kuna kujibu jibu sahihi na kuna kutokujibu kabisa

Nimekuuliza kilichomfanya Nyerere awe na nafasi aliyokuwa nayo miongoni mwa watu ambao walikuwa na harakati na kulikuwa na itikadi ya harakati hizo na Nyerere hakuwa na itikadi hiyo,iweje akapewa madaraka aliyokuwa nayo bila kuwa na itikadi husika ya harakati?

Hujanijibu hili achilia mbali kunipa majibu ambayo sio sahihi
Sasa sijui tatizo liko kwa nani hapa

Kama una jibu la hili si uniambie tu?
Tatizo ni nini Mzee MOHAMMEDI?
Au huna jibu?

Yaani ni rahisi kujenga nyumba 1000 kwa muda mfupi na uliopangwa zitakuwa zimekamilika kuliko wewe mjukuu wa Abuu jahli kuelewa nini waelekezwa,

Wewe na kiswahili wapi na wapi ama ufunzike kwa lugha ipi ilo nyepesi kwako?

Bila haya wala staha ati nawe uulize swali ushindwejibiwa,

Makafiri wenzio wajanja watupia macjo tu na kuondoka,

Maswali unayokutana nayo wayajibu ama tushike nyundo kwa kumuua sisimizi?!

Kwi kwi kwi ...!
 
Ndugu yangu naona hata fadhaa kufungua nyuzi hii. Kinachonishangaza nimesoma mahali nikapewa'daawa' ya Usilam, nikisoma wanaotoa daawa najiuliza hivi kumbe daawa ni matusi tena mazito! Sasa huyo kafir asiyetukana si ataona ukafir wake unathamani kuliko imani iliyojengwa katika lugha.. lahaula eeh mola wanusuru vizazi vyako. Huu ni mtihani mkubwa.

Nikimsikia mzee mmoja pale Mikwamba akigutiwa Chukumeni, yeye akisali sana na kusema watu walinganiwe kwa hoja na mntiki ili wavutike katika iman. Nilitegemea Mzee Said angesimama na hekma na busara kuwakanya vijana wake kwamba sivyo hivyo. Mitume waliopita hawakufanya hivyo hata pale walipopolewa kwa mawe.
Bahti mbaya Mohamed Said naye kashangilia mahali nilipokuwa napewa 'dozi ya matusi tena ya nguoni'

Mimi nasimama katika kusema na kutete ukweli. Dhidi ya yote wapo wanaoona na kusema 'ahsante' kwa kunena.
Nikiambiwa na mjomba yangu pale Ubwari akisema njia rahisi ya kupata maadui ni kuwa mkweli. Inshallah ilikuwa ilm kubwa na habri hizo ni kubwa!

Najiuliza kikosi kazi hiki kikiwa na MS kwa majaaliwa ndio bodi ya shule ya Masjid Quba nini kitatokea.!!
Yote heri mnyazi atunusuru lakini safari ni ndefu na kazi ya kutoa elimu ni ngumu. Tusipotoa nani atatoa?

Wewe unanikumbusha kisa cha nyani. Hivi hujioni?
 
Sema huna jibu au u punguani tu.

Muungwana asipoelewa huuliza na sio kujibu tu

Mimi nimekuuliza kwakuwa sijakuelewa halafu wewe unaniita punguani

Sasa yule anaetaka kuelewa ili atoe majibu sahihi na yule anaemuona huyo anaetafuta kuelewa kuwa ni punguani ni nani punguani?
 
The struggle for independence in Tanganyika was driven by patriotic sentiments across the entirety of Tanganyikan territory. Apparently, the new feeble claim that Muslim played bigger part in the struggle for independence signifies weak attempt geared towards rewriting the history of Tangayika's independence.

Untantambua,
Uko sawa kabisa katika hiyo sentensi yako ya ufunguzi.

Wala sithubutu kukubishia katika hilo.
 
Back
Top Bottom