Ndio maana nasema hakuna amani kwenye uislam. Yaani unatafuta ugomvi hata kwenye issue ya typo eti nawatafuta. Na shehe ubwabwa kahtaan anaongelea mikoba ya AK47 au rungu. Hayo yote ni military mentality ambazo zina prove nilichosema. Uislam nikama old wild wild west shootout until the last man stand. Mulianza kuua watu wadini nyingine wakati muhamad yupo hai na mkaanza kuuana wenyewe kwa wenyewe baada tu ya muhamad kufa. Namtazidi kuuwa watu wa dini nyingine na kuuana wenyewe kwa wenyewe mapaka mpaka mtakapo anza kutumia ubongo na kufanya reformation kwenye dini yenu. Ndio waislam wenye akili kama tunisia na iran wanapunguza mambo ya dini kweye siasa zao. Nimeulizwa swali fundamental kwenye uislam hakuna anaejibu heti hakuna jibu fupi. Wengine wanajibi kwa kuuliza swali. Nazani mnaogopa kutoa misimamo yenu maana mtaanza kutofautiana wenyewe kwa wenyewe alafu muanze kutiana mapanga.
Nauliza tena. Shia wana amini Ali ndiye alikuwa anatakiwa kumridhi muhamadi alipokufa. Tena Ali ndie alie alieandikwa kwenye kuruani zaidi. Ila watu walichakachua kuruani kufuta umuimu Ali. Nikweli?
Weka msimamo wako hapa jf
Kazi ipo kubwa sana kwa watu wenye fikra kama za kwako,
Wewe ni miongon mwa wale wenye kuamin na kulewa propaganda za marekani na washirika wake dhidi ya uislam na mafundisho yake ili hali wenzako wengi wanasilimu baada ya kuona uhalisia ulivyo,
Unajicontradict mwenyewe,huelew unazungumzia kitu gani wala ushahid wa kimaandiko hauna juu ya hayo unayoyasema,
Nakuomba uje na andiko gani ndan ya uislam na qur an linalofundisha chuki,vita au malumbano na hali ya utengamano kwenye jamii ya wanadamu,naomba unipatie ili kuanzia hapo tuimarishe mjadala ya kwamba ni kweli uislam unafundisha na kuhubiri hayo unayoyasema,
Wewe ni miongon mwa wale mnaotutoa nje ya mada hii,lakin si kitu tutazid kuwapa ilmu hivyo hivyo
Nguruvi3 Ndug yangu njoo umsikie ndug yako huyu na matusi yake dhidi ya uislam na chuki zake anavozidhihirisha,
Uislam kama uislam miongon mwa nguzo zake kuu ni aman,islam means peace,na mafundisho yake yameegemea kwa kias kikubwa kwenye haki na usawa baina ya wanadamu,
Kama wewe unaamua kuzama kwenye propaganda saawa,twende kwa muktadha hu huo,
Joseph kony wa Uganda anapotumia jeshi la kulazmisha watoto wadogo kujiunga nalo kisha kuingia misituni huku akipigana vita ya kusimamisha amri kumi za mungu,huku akiua wakina mama,kubaka wanawake,kusababisha maafa na wakimbiz wa kila namna namna vipi unamzungumziaje yule ni muislam??au ukristo ndivo unavoelekeza namna iyo??
Na wale mabwana waliokaja kutufanyia wazeee wetu enzi hizo kuwa watumwa na kuwaua maelfu kwa maelfu kwa kutumia ulaghai wa vifungu vya bible ili kukamilisha nia yao ile ovu unawazungumziaje ni waislam wale??
Wewe ndio wale unaokuja kumeza propaganda za marekani katika vita vyake vya kupigania maslahi yake huko middle east na alipoona anashindwa akaamua kuuvesha kengele uislam kuwa ni tatizo ili hali tokea mwanzon wakati anaanza choko choko zake hakuja na gia kama ile,ni wewe sampuli ya watu mnaoamin kwmba alqaeda ni waislam na wanatekeleza mafundisho ya uislam ili hali chanzo chake kinafahamika na aliepelekea hadi hali kufikia pale ilipofikia anafahamika,
Ujifunze kujiongeza kwanza,kusoma na kufuatilia mambo kabla hujasimama mbele za watu na kuongea mashudu yasiyo na mashiko