Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Mohamed Said
Nimejaribu kukumbusha kuwa hawa vijana wanapokwenda si pazuri jaribu kuwarudisha katika mstari.
Ingawa nimeambiwa nakimbilia kulia kwako mimi sitasita kusema kwasababu huenda wanakusikia vema.
Imefika mahali ni kashfa za dini, na cha kusitikitisha kashfa hizo zimeaanza kuwarudi wenyewe.

Namsoma Khataan akiwatukana mashia kwa vilemba na majina kama Khomeni.
Huko nyuma ni vijana hawa hawa wamesema hakuna anayeruhusiwa umuondoa mtu katika Uislam wake.
Wakasema hata Bakwata ni waislam na hakuna anayeweza kuwaondoa huko.
Sasa inakuwaje hawa kina Khataan wanaanza kuwaondoa Shia katika Uislam?je si double standard

Pili, khataan kasema huu ni mnaksha wa kisiasa si wa kidini.
Lakini ni Khataan huyo huyo ametumia dini kuwatukana watu wa imani zingine.
Sasa Mzee Said hapa kweli kuna linaloeleweka?

Labda utufahamishe inakuwaje huu mnakasha unakuwa wa kisiasa kwa nyakati fulani na wa dini za kutukana imani nyingine na hata madhehebu mengine kwa wakati mwingine.

Tatu, kama Khataan anaona mama Aisha kutukanwa inamuuma sana vipi ana hisi maumivu ya donda la kuwatukana wakristo? Je Khataan haoni maumivu ya donda hilo ndiyo maumivu ya matusi yake kwa Wakristo?

Na ni wapi kwa mujibu wa imani imeruhusiwa kutukana watu wa imani nyingine?
Wapi imeelezwa kuwa tusi kwa mama Aisha ni baya zaidi kuliko tusi kwa mtu mwingine au nabii mwingine?

Mzee Said je hapa huoni vijana wamepindukia na sasa imefikia mahali wanazungumza hata kisicho cha dini na je huo si uhalifu!

Nguruvi3,
Tatizo ni title kwa ujumla inayoongelea mchango waislam kama vile uislamu ni dini moja. Angalau angesema mchango wa watu wa coast ingekuwa sawa. Uislamu si dini moja kuna mapingano mabaya sana ndani ya uislam. Kuna sheikh moja syria juzi tu kasema Shia ni makafiri kuliko wakristo na jews. Na japo shia hawaongeagi kuusu vitu wanavyo pinga kuusu sunni ina ukifuatilia utajua wanavyo wachukia sunni. Angalia tu jinsi iran wanavyoathimisha ashura(siku imam hussein aliyouliwa)kwa kujipiga bakora mgongoni na kuanza kulia. Mfano mwingine ni Sheikh Yaser Al-Habib na mpango wake wa kusherehekea siku aliyokufa Aisha(mke wa muhammad).

Hafazali ukabila kuliko udini
 
Last edited by a moderator:

Mzee Said je hapa huoni vijana wamepindukia na sasa imefikia mahali wanazungumza hata kisicho cha dini na je huo si uhaiflu!

Naona swahiba mwaka huu bila kumtaja kahtaan mara kadhaa siku haijapita! ntajaribu kuzijibu hizi hujuma zako juu yangu kM IFUATAVYO;

Mosi, Huwezi kumlaumu mzee Mohamed Said kwa kauli zangu hatta kidogo! nilaumu mimi mwenyewe , japokuwa wanapotokea wale watoto walio laanika kutaka kumvunjia heshima mzee MS, mimi siwezi kukaa kimya lakini juu ya yote MIMI SIO MSEMAJI WA MZEE MOHAMED SAID.!!

PILI, Kusema kuwa nawatukana mashie kwa kuwaita vilemba na Khomeini!! Sidhani kama kilemba au Khomeini ni tusi hata kidogo! unless wewe umegeuza maana halisi ya majina hayo, na hilo litakuwa tatizo lako, sio langu.

TATU. Ukifuatilia uzi huu huko nyuma, ALIYEANZISHA CHUKI NA MALUMBANO YA UDINI SIO MIMI, BALI NI HAO WAGALATIA LKN KAMA KAWAIDA YAKO UNASHINDWA KUSEMA UKWELI!!

NNE. Unasema nawatoa mashia kwenye uislamu, Nataka nikukumbushe kuwa SIO KILA ANAEJIITA MUISLAMU BASI NI MUISLAMU KWELI!!
HEBU JARIBU KUUSOMA KWANZA UISLAMU HALAFU UJE UNIFAHAMISHE HAPA! NI NANI HASSA ANAESTAHIKI KUITWA MUISLAMU!!

5 NA MWISHO. Nadhani muhalifu ni yule mwenye sura mbili{mnafiki asiye na msimamo} wewe unafahamu fika msimamo wetu wote hapa{except galatians}

sasa nikuulize wewe Nguruvi3 NINI MSIMAMO WAKO JUU YA HUU UZI?? Manake toka mwanzo unageuka geuka kama kinyonga!!

n.b my name is KAHTAAN and NOT KHATAAN thank you!!
 
Last edited by a moderator:
Ungekuwa una lengo zuri la kutuliza gasia unge balance kwenye suala hili kwakuwa matusi yanatolewa pia kutukana uislamu na sioni makemeo yako. Kukimbilia kwa mzee Mohamed Said ni kuonyesha wewe biased na unajenga hoja yako kinafiki. Matusi ulianza wewe kuwatukana waislamu kama tulivyokuonya huko nyuma, sasa maji yakizidi unga unalialia. Sipendi huu mnakasha kuwa wa kidini ndio maana nikawanajitahidi hata kuhoji masuala ya kihistoria lakini kwa makusudi vijana wako wanaleta habari za dini sasa wewe ungetegemea nini? Halafu tunapojadili mambo ya waislamu tafadhali usichanganye na kuwavesha uislamu wayahudi/wakristo kisa wanavaa kanzu na majoho kama wale mapadri kanisani.

ahsanta hayatollah CHAMVIGA ahsanta!! wala sina la kuongeza hapa, lbd kahawa na tende za madina tu!! teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
we Khomeini huna ulijualo wewe,
unatoa vitisho lkn kumalizia huwezi!
taja huo ukoo wako basi tukusome hapa! longalonga waachie walevi!! na kujisifu kuwa unathamini huko kutambika kwako ni dalili za ufinyu wa elimu! WATU WENYE IMANI KAMA HIZO NDIO WALE WANACHUNA NGOZI WATU ILI WATAJIRIKE HARAKA!!

Huwezi kuja kwenye thread ya waungwana ukasifia utumbo ukitegemea watu wakae kimya!!

adult breast feed my foot!! unaandika mapovu halafu unayaita REFERENCE?????

Mnfnsssssssssssssssss!

Kahtaan.
Makabila mengi ayato kafara mtu. Kabila langu wanatumia pombe kutambika. Lakini japo napinga makabila wanaotoa kafara watu lakini huo utambikaji aujauwa watu wengi kama watu wanakufa kwenye mapigano ya kidini sasa hivi. Na hakuta kitu cha ajabu kama kufia dili alafu upewe bikira 72 huko unapoenda baada ya kufa.
Afazali dini za kiafrika zenye kasoro kuli ko dini zakuletewa zinavyouwa wat sasahivi
 
Nguruvi3,
Tatizo ni title kwa ujumla inayoongelea mchango waislam kama vile uislamu ni dini moja. Angalau angesema mchango wa watu wa coast ingekuwa sawa. Uislamu si dini moja kuna mapingano mabaya sana ndani ya uislam. Kuna sheikh moja syria juzi tu kasema Shia ni makafiri kuliko wakristo na jews. Na japo shia hawaongeagi kuusu vitu wanavyo pinga kuusu sunni ina ukifuatilia utajua wanavyo wachukia sunni. Angalia tu jinsi iran wanavyoathimisha ashura(siku imam hussein aliyouliwa)kwa kujipiga bakora mgongoni na kuanza kulia. Mfano mwingine ni Sheikh Yaser Al-Habib na mpango wake wa kusherehekea siku aliyokufa Aisha(mke wa muhammad).

Hafazali ukabila kuliko udini

mdomo mali yako! unaruhusiwa kusema utakalo!!

Unasema UISLAMU SI DINI MOJA! WE AKILI KUAMBIWA UNAJUA NINI KUHUSU UISLAMU!!?

Hao uanowaita MASHIA huna elimu yyt juu yao, kuna jamaa wako Israel WANAABUDU MOTO! NA WAO WANATUMIA BIBLIA KUFANYA HIVYO! MBONA WAKRISTO WAMEWAKANA KABISA KUWA SIO WAKRISTO!!?

Hapo northern Ireland PROTESTANT WANAWAITA CATHOLICS MAKAFIRI WANAOSTAHIKI KUUWAWA! NA WANACHINJANA KILA SIKU!!
WE unaona irani na Syria tu??

MI NADHANI BORA UDINI KULIKO UNAFIKI KTK JAMII!!

NA WANAFIKI WOTE WANATAKIWA WATENGWE NA JAMII KABISA, STARTING WITH YOU!!
 
Mohamed Said
Nimejaribu kukumbusha kuwa hawa vijana wanapokwenda si pazuri jaribu kuwarudisha katika mstari.
Ingawa nimeambiwa nakimbilia kulia kwako mimi sitasita kusema kwasababu huenda wanakusikia vema.
Imefika mahali ni kashfa za dini, na cha kusitikitisha kashfa hizo zimeaanza kuwarudi wenyewe.

Namsoma Khataan akiwatukana mashia kwa vilemba na majina kama Khomeni.
Huko nyuma ni vijana hawa hawa wamesema hakuna anayeruhusiwa umuondoa mtu katika Uislam wake.
Wakasema hata Bakwata ni waislam na hakuna anayeweza kuwaondoa huko.
Sasa inakuwaje hawa kina Khataan wanaanza kuwaondoa Shia katika Uislam?je si double standard

Pili, khataan kasema huu ni mnaksha wa kisiasa si wa kidini.
Lakini ni Khataan huyo huyo ametumia dini kuwatukana watu wa imani zingine.
Sasa Mzee Said hapa kweli kuna linaloeleweka?

Labda utufahamishe inakuwaje huu mnakasha unakuwa wa kisiasa kwa nyakati fulani na wa dini za kutukana imani nyingine na hata madhehebu mengine kwa wakati mwingine.

Tatu, kama Khataan anaona mama Aisha kutukanwa inamuuma sana vipi ana hisi maumivu ya donda la kuwatukana wakristo? Je Khataan haoni maumivu ya donda hilo ndiyo maumivu ya matusi yake kwa Wakristo?

Na ni wapi kwa mujibu wa imani imeruhusiwa kutukana watu wa imani nyingine?
Wapi imeelezwa kuwa tusi kwa mama Aisha ni baya zaidi kuliko tusi kwa mtu mwingine au nabii mwingine?

Mzee Said je hapa huoni vijana wamepindukia na sasa imefikia mahali wanazungumza hata kisicho cha dini na je huo si uhalifu!

Wewe mnafiki sana yaani yanayoandikwa yote kuhusu dini umemuona kahtaan peke yake mpaka ukamwambie Mohamed Said matusi wanaotukanwa Waislam kwako ni sawa.

Hawa CattleRustler Mlaleo andate mbona haujamwambia Mohamed Said hawakataze ukitaka kuwa hakimu mzuri kusimamia haki usiwe mnafiki.

kahtaan anawajibu kama roho inakuuma kumsoma ingia uwasaidie wenzako kupambana naye usimuingize Mohamed Said kwenye huu upuuzi wenu, tena wengine tumeamua kujizuia mtu anakuja humu jamvi anasema wazi mimi ndiyo kiboko ya Waislam anaanza kutukana kahtaan akimjibu wewe roho inakuuma. Simama kwenye haki utaheshimika.
 
Last edited by a moderator:
hawa jamaa walikuja tanga miaka ya 90 wakaanza kugawa baskeli kwa yeyote atakae jiunga nao! sasa inaonekana bwana Wickama ni muuza samaki pale ngamiani! anahitaji baskeli kwenda nunulia wale papa kulee gombero! basi jamaa wamemnunua kwa bei rahiiisi!

maskini mtoto wa mzee sheheza mwana wa hatibu wa pale usagara mabange sio rizki tena!

Daktari???

Lakini samaki wameliwa hata na mitume waadilifu, miye kuuza samaki ni hishima kubwa na kumbe napata rizki halali sasa walalamika nini?

NYANI HAONI ......... HEBU TUPIME BWANA DAKTARI KAMA KWELI UNA PHD.

1. Kumbe Mashia kupokea baiskeli tokea Iran ni tatizo. Lakini nyie kupokea Dollars toka NADJ (mashariki mwa madina) ili muanzishie projects za kijamii na hata vituo vya mawasiliano vinavyotangaza mwezi mwandamo wa Saudia na kuitukana Bakwata ni SAWA? Nani mjinga???

2. Mashia Kutembea na jiwe/udongo kuwekea paji la uso ni tatizo, lakini nyie kuvaa kanzu mithli ya mini-skirt mnalipwa.

3. Mashia kujipiga mijeledi ya vyuma huku hawaui waislamu wenzao ni tatizo kwenu lakini nyie kuua waislamu wenzenu (shia na alhil sunna wal jamaa reference; libya, iraq, somalia kwa kigezo kuwa ni makafiri na kuvunja makaburi ya misikiti yao kwa maagizo toka Saudia (NADJ) ni thawabu. Soma kwenye internet mmevunja misikiti mingapi Libya tena kwa buldozers (orders from Saudia) mkiwaanda mnawaita SUFIs

4. Level yenu ya ujinga ni dhahiri kwa kauli na hata matendo kuwa wakati Iran leo wanajitengenezea ndege, meli mpaka drones za kivita mabosi wenu wamebakia nchi pekee duniani ambayo wanawake hawaruhusiwi kuendesha magari. Pana sheikh wenu mjinga mwenzenu katoa kichekesho kuwa wanawake wakiendesha magari wataathiri MAYAI/ OVARIES.

http://http://jalopnik.com/if-women-drive-theyll-damage-their-ovaries-says-stupi-1421563048

Baada ya kushukuru kwa kunigawia baiskeli za USHIA nimewakaribisheni tena kuwa MKIJISIKIA waungwana kuhitaji MUTA karibuni tutafutane. Sheikh, ninasema tena usiogope hayo uyliyoita MALIPO mazungumzo pia yapo!!!! Mbona kauli njema pia ni malipo.
 
Nimekuchokoa mpaka umetoka shimoni!

Teh teh teh teh!

Sina haja ya kubishana na wewe! We hija yako karbala. Mi ni totally different!
Cc CHAMVIGA Ritz
 
Teh teh teh Dr. kahtaan

Mpe ofa afungue uzi au wewe ufungue uzi juwaa la dini au popote pale kila mtu aje na mikoba yake.
 
Last edited by a moderator:

mdomo mali yako! unaruhusiwa kusema utakalo!!

Unasema UISLAMU SI DINI MOJA! WE AKILI KUAMBIWA UNAJUA NINI KUHUSU UISLAMU!!?

Hao uanowaita MASHIA huna elimu yyt juu yao, kuna jamaa wako Israel WANAABUDU MOTO! NA WAO WANATUMIA BIBLIA KUFANYA HIVYO! MBONA WAKRISTO WAMEWAKANA KABISA KUWA SIO WAKRISTO!!?

Hapo northern Ireland PROTESTANT WANAWAITA CATHOLICS MAKAFIRI WANAOSTAHIKI KUUWAWA! NA WANACHINJANA KILA SIKU!!
WE unaona irani na Syria tu??

MI NADHANI BORA UDINI KULIKO UNAFIKI KTK JAMII!!

NA WANAFIKI WOTE WANATAKIWA WATENGWE NA JAMII KABISA, STARTING WITH YOU!!

Kahtaan,
Kweli unamatatizo. Uwaga najiuliza mtukama wewe kama umetoka bara maana lazima una ndugu mkristo. Nakama unaye ivi wanakutembelea, unakula nao. Pole sana. Ila nikujibu hoja yako hapo juu. Ukristo nao umeua sana tu uko ulaya. Lakini umepitia reformation. Ndio maana nchinyingi za ulaya wamegawa mambo ya serekali na dini na kuna uhuru wa kuabudu dini yoyote.

Hafazali ukabila kuliko udini
 
Teh teh teh Dr. kahtaan

Mpe ofa afungue uzi au wewe ufungue uzi juwaa la dini au popote pale kila mtu aje na mikoba yake.

Shariff Ritz unajua huyu Wickama anasahau kuwa yeye ni ana daraja kubwa sana tofauti na mimi!

Yeye ana guarantee ya pepo kutoka kwa khomein lkn mi sijui ntakwenda wapi!!

Sasa vipi utabishana na mtu mwenye kujua elimu l ghaib!

Bwana Wickama nimeshauriwa nikupe offa na shariff Ritz ya kufungua uzi mwingine tuyajadili haya!
Japo kuwa wewe na wagalatia wote mna guarantee ya salvation na mimi sina lkn ninayo mawili matatu nataka nikukumbushe!
Kwa hapa tusichafue zaidi huu uzi!
Manake kuna wale migambo kina Nguruvi3 sasa hivi watasema mi natukana!!
Ngoja ninyamaze!!:sly:
 
Last edited by a moderator:
lanatullah khomein teh teh teh? umeshamsomaeee?!

Sheikh Chamviga;

Wewe matusi sio daraja lako. Kwa vijembe vya mbaali sawa. Mara nyingi una kauli zinashahibiana na za ust. Tayeb, which i strongly like and support. Stick to your own personality. Hizo hadith wanazolalama hawa madaktari juu na Bi Saffiya na Aisha zipo kwenye Suna Abu Dawud. Anayejua, ni proof kuwa ni wavivu wa kuperuzi. WALITAKIWA WAFANYE FALSIFICATION TEST ya hizo quotations and references. Hamna counter agruments ni kelele za Kishia. Yaani ni; ZERO so far.

Sasa kama mtu hajui na ana-suspect hata hadith za Sunan Abu Dawud kama Shia propaganda, my advice just stay out of it. Chamviga, Matusi sio umbo lako yako. Nimekusoma kama mtu mwenye knowledge.
 
Daktari???

Lakini samaki wameliwa hata na mitume waadilifu, miye kuuza samaki ni hishima kubwa na kumbe napata rizki halali sasa walalamika nini?

NYANI HAONI ......... HEBU TUPIME BWANA DAKTARI KAMA KWELI UNA PHD.

1. Kumbe Mashia kupokea baiskeli tokea Iran ni tatizo. Lakini nyie kupokea Dollars toka NADJ (mashariki mwa madina) ili muanzishie projects za kijamii na hata vituo vya mawasiliano vinavyotangaza mwezi mwandamo wa Saudia na kuitukana Bakwata ni SAWA? Nani mjinga???

2. Mashia Kutembea na jiwe/udongo kuwekea paji la uso ni tatizo, lakini nyie kuvaa kanzu mithli ya mini-skirt mnalipwa.

3. Mashia kujipiga mijeledi ya vyuma huku hawaui waislamu wenzao ni tatizo kwenu lakini nyie kuua waislamu wenzenu (shia na alhil sunna wal jamaa reference; libya, iraq, somalia kwa kigezo kuwa ni makafiri na kuvunja makaburi ya misikiti yao kwa maagizo toka Saudia (NADJ) ni thawabu. Soma kwenye internet mmevunja misikiti mingapi Libya tena kwa buldozers (orders from Saudia) mkiwaanda mnawaita SUFIs

4. Level yenu ya ujinga ni dhahiri kwa kauli na hata matendo kuwa wakati Iran leo wanajitengenezea ndege, meli mpaka drones za kivita mabosi wenu wamebakia nchi pekee duniani ambayo wanawake hawaruhusiwi kuendesha magari. Pana sheikh wenu mjinga mwenzenu katoa kichekesho kuwa wanawake wakiendesha magari wataathiri MAYAI/ OVARIES.

http://http://jalopnik.com/if-women-drive-theyll-damage-their-ovaries-says-stupi-1421563048

Baada ya kushukuru kwa kunigawia baiskeli za USHIA nimewakaribisheni tena kuwa MKIJISIKIA waungwana kuhitaji MUTA karibuni tutafutane. Sheikh, ninasema tena usiogope hayo uyliyoita MALIPO mazungumzo pia yapo!!!! Mbona kauli njema pia ni malipo.

Nimekusoma Wickama kwa maelezo yako mazuri na murua. Ukienda katika surat Kahf aya mia moja naa kuna maneno mwenyezi Mungu anasema kumuambia mjumbe wake "SEMA EWE MUHAMADDI, JE NIKUJULISHENI KWA WALIOPATA HASARA KATIKA MATENDO(AAMALI) YAO? NI WALE WALIOPOTEZA MUDA WAO KATIKA MAISHA YA DUNIA HUKU WAKIDHANIA WANATENDA MEMA". Hayo ni maneno ya busara kutoka kwa Mungu ni vyema kujithmini upya maisha yahapa ni sawa na kwenda sokoni kununua/kuuza ila ikifika jioni utarejea nyumbani, ole wako kama ulitumwa chakula na mkeo badala yake ukacheza kamari pesa hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Sheikh Chamviga;

Wewe matusi sio daraja lako. Kwa vijembe vya mbaali sawa. Mara nyingi una kauli zinashahibiana na za ust. Tayeb, which i strongly like and support. Stick to your own personality. Hizo hadith wanazolalama hawa madaktari juu na Bi Saffiya na Aisha zipo kwenye Suna Abu Dawud. Anayejua, ni proof kuwa ni wavivu wa kuperuzi. WALITAKIWA WAFANYE FALSIFICATION TEST ya hizo quotations and references. Hamna counter agruments ni kelele za Kishia. Yaani ni; ZERO so far.

Sasa kama mtu hajui na ana-suspect hata hadith za Sunan Abu Dawud kama Shia propaganda, my advice just stay out of it. Chamviga, Matusi sio umbo lako yako. Nimekusoma kama mtu mwenye knowledge.

Najihisi vibaya sana kwa wewe kunisifu ila kama ni kutoka moyoni basi fuata ushauri wangu tujadili historia ya wapigania uhuru ila kwa maandishi yako ya fark nakuomba kama umejipanga ukaanzishe uzi twenda hatua kwa hatua. Akhsante.
 
Kahtaan,
Kweli unamatatizo. Uwaga najiuliza mtukama wewe kama umetoka bara maana lazima una ndugu mkristo. Nakama unaye ivi wanakutembelea, unakula nao. Pole sana. Ila nikujibu hoja yako hapo juu. Ukristo nao umeua sana tu uko ulaya. Lakini umepitia reformation. Ndio maana nchinyingi za ulaya wamegawa mambo ya serekali na dini na kuna uhuru wa kuabudu dini yoyote.

Hafazali ukabila kuliko udini

Wewe huna dini lakini adui wako ni uislamu tena wasuni?! This is fantastic and very interesting.
 
Nimekuchokoa mpaka umetoka shimoni!

Teh teh teh teh!

Sina haja ya kubishana na wewe! We hija yako karbala. Mi ni totally different!
Cc CHAMVIGA Ritz

Naunga mkono hoja ya Ritz umpe ofa afungue uzi halafu atualike tutaenda na mikoba yetu huku kiustarabu kabisa na mwisho tutafika.
 
Last edited by a moderator:
Shariff Ritz unajua huyu Wickama anasahau kuwa yeye ni ana daraja kubwa sana tofauti na mimi!

Yeye ana guarantee ya pepo kutoka kwa khomein lkn mi sijui ntakwenda wapi!!

Sasa vipi utabishana na mtu mwenye kujua elimu l ghaib!

Bwana Wickama nimeshauriwa nikupe offa na shariff Ritz ya kufungua uzi mwingine tuyajadili haya!
Japo kuwa wewe na wagalatia wote mna guarantee ya salvation na mimi sina lkn ninayo mawili matatu nataka nikukumbushe!
Kwa hapa tusichafue zaidi huu uzi!
Manake kuna wale migambo kina Nguruvi3 sasa hivi watasema mi natukana!!
Ngoja ninyamaze!!:sly:

Sheikh wangu;

Shukran zikuendee kunipandisha daraja. Hopefully you are sincere.

1. It is true tangu uzi huu uanze watu wengi ni majeruhi wa matusi yako. Myself included. Here is a simple challenge show a posting yangu NAKUTUKANA.

2. Tangu awali nilikuwa kwenye track ya uzalendo na uhuru wa tanganyika na afrika. i have stated my position ni ya kizalendo and i offered no apologies na hata Mzee MS anajua huo ndio msimamo wangu and sijawahi kujutia kutukanwa juu ya hilo and i find no contradictions.

3. sijawahi kuona tatizo kama wewe au wenzako mnaona liberation ya nchi hii ni achievement ya moslems peke yao. Mimi siwapi support kwa vile i have to explain role ya kina Bhoke Munanka, Kyaruzi, Mzee Rupia, Mareale and many others ambao walikuwa non-moslems

4. tulitoa rai, is it logical kusema general Marwa alipoingia na kuteka kasri ya Idd Amin ni honesty kesho nikiandika juu ya mchango wa dhehebu la "mennonite katika ku-liberate mji kampala?) tukakosa majibu. Sheikh Chamviga, was exteremly sincere kusema kuwa wazee hawa walikuwa WAZALENDO wa KIISLAMU

5. Sasa kama kulisema hili kwako ndilo master key ya kutukana watu nadi kuwaingiza kwenye madhehebu unayoyataka, hapa tunasema GO AHEAD. Hakuna cha Elimu ya ghaibu.

6. Tangu awali huu haukuwa mnakasha wa dini. Proof ni hii.

a. Ni dini ipi ili komboa Kenya (uislamu/ukiristo)
b. Ni dini gani ilikomboa Vietnam?
c. Geronimo wakati anapigana na wazungu kule marekani ni mchango wa dini gani?
d. Mao-Tse-Tung na Japan?
e. Dar-Fur wanataka kujikomboa kutoka kwa wenzao wa dini gani?
f. Vita vya Ireland? ni dini gani?
g. South Africa ilikombolewa na dini gani?

Mwisho ni kuwa nashukuru kuniarifu umeshauriwa na Ritz uanzishe au nianzishe uzi wa maswala ya dini tujimwage kulumbana. Binafsi sitafanya hivyo kwa kuzingatia kwamba; 1. umeshanikosea heshima 2. nakuhisi huna subira ya kusikiliza maoni tofauti 3. unatumia maneno ambayo ni kero na masimango makubwa kwa wana wa wenzio kama huyo uliyesema mtoto... wa shehe....wa sio riziki huku ukijua unasengenya mtu tena kwenye open line ya internet 4. sitathubutu kuanzisha thread ambayo itawapa fursa watu aina yako kuzitusi dini zingine hususan hao unawaita wagalatia ili niende kinyume na amri ya mtume (saw) juu ya agizo na mkataba aliofunga nao. Mkataba huu kwa sasa upo Instambul museum lakini search kwenye internet (promise of prophet Muhammad to christians) ujipatie download. Kama ingekuwa kuandaa mjadala wa public tunaonana usoni na wao pia. SAWA.

Ukiona umechoka kunitusi pumzika
 
Last edited by a moderator:
Najihisi vibaya sana kwa wewe kunisifu ila kama ni kutoka moyoni basi fuata ushauri wangu tujadili historia ya wapigania uhuru ila kwa maandishi yako ya fark nakuomba kama umejipanga ukaanzishe uzi twenda hatua kwa hatua. Akhsante.

Sheikh Chamviga,

Ni bahati tuu kuwa nimemjibu Sheikh Kahtaan kabla sijaiona response yako, lakini pia ni bora. Kwa vile naona kama nimekujibu. Nimeandika kitu ambacho ni sincere kwa vile ulikuwa mkweli wa kuwaita wale wazee yale maneno uliyoyatumia na tafadhali rejea nilitumia lugha gani ulipoyatumia. Kihistoria, mimi sina tija na postings za kidini. Hili lililopita lililazimishwa na baadhi ya wachangiaji kama mbinu ya ku-detract watu.
 
Sheikh wangu;

Shukran zikuendee kunipandisha daraja. Hopefully you are sincere.

1. It is true tangu uzi huu uanze watu wengi ni majeruhi wa matusi yako. Myself included. Here is a simple challenge show a posting yangu NAKUTUKANA.

2. Tangu awali nilikuwa kwenye track ya uzalendo na uhuru wa tanganyika na afrika. i have stated my position ni ya kizalendo and i offered no apologies na hata Mzee MS anajua huo ndio msimamo wangu and sijawahi kujutia kutukanwa juu ya hilo and i find no contradictions.

3. sijawahi kuona tatizo kama wewe au wenzako mnaona liberation ya nchi hii ni achievement ya moslems peke yao. Mimi siwapi support kwa vile i have to explain role ya kina Bhoke Munanka, Kyaruzi, Mzee Rupia, Mareale and many others ambao walikuwa non-moslems

4. tulitoa rai, is it logical kusema general Marwa alipoingia na kuteka kasri ya Idd Amin ni honesty kesho nikiandika juu ya mchango wa dhehebu la "mennonite katika ku-liberate mji kampala?) tukakosa majibu. Sheikh Chamviga, was exteremly sincere kusema kuwa wazee hawa walikuwa WAZALENDO wa KIISLAMU

5. Sasa kama kulisema hili kwako ndilo master key ya kutukana watu nadi kuwaingiza kwenye madhehebu unayoyataka, hapa tunasema GO AHEAD. Hakuna cha Elimu ya ghaibu.

6. Tangu awali huu haukuwa mnakasha wa dini. Proof ni hii.

a. Ni dini ipi ili komboa Kenya (uislamu/ukiristo)
b. Ni dini gani ilikomboa Vietnam?
c. Geronimo wakati anapigana na wazungu kule marekani ni mchango wa dini gani?
d. Mao-Tse-Tung na Japan?
e. Dar-Fur wanataka kujikomboa kutoka kwa wenzao wa dini gani?
f. Vita vya Ireland? ni dini gani?
g. South Africa ilikombolewa na dini gani?

Mwisho ni kuwa nashukuru kuniarifu umeshauriwa na Ritz uanzishe au nianzishe uzi wa maswala ya dini tujimwage kulumbana. Binafsi sitafanya hivyo kwa kuzingatia kwamba; 1. umeshanikosea heshima 2. nakuhisi huna subira ya kusikiliza maoni tofauti 3. unatumia maneno ambayo ni kero na masimango makubwa kwa wana wa wenzio kama huyo uliyesema mtoto... wa shehe....wa sio riziki huku ukijua unasengenya mtu tena kwenye open line ya internet 4. sitathubutu kuanzisha thread ambayo itawapa fursa watu aina yako kuzitusi dini zingine hususan hao unawaita wagalatia ili niende kinyume na amri ya mtume (saw) juu ya agizo na mkataba aliofunga nao. Mkataba huu kwa sasa upo Instambul museum lakini search kwenye internet (promise of prophet Muhammad to christians) ujipatie download. Kama ingekuwa kuandaa mjadala wa public tunaonana usoni na wao pia. SAWA.

Ukiona umechoka kunitusi pumzika

Teh teh teh teh!
Sasa naona umeamua kutupikia chakula cha ajabu kabisa hapa!
Yaani umachanganya kila kitu kwenye hii menu! Na najaribu ku digest lkn nashindwa kabisa!

HAKUNA MTU KAANZISHA UZI USEMAO KUWA WAISLAMU PEKE YAO NDIO WALIO PIGANIA UHURU HAPA TZ!!?

Labda tatizo lako ni lugha!

Kichwa cha uzi huu ni ;- Islam’s ROLE in Tanzania’s freedom struggle.

SASA HILO LA WAISLAMU PEKE YAO SIJUI UMELIPATA WAPI!!
Na kuhusu matusi! Nadhani hakuna mwenye matusi kama wewe na hao wagalatia!
Mimi na maulamaa wengine hapa tunavhofanya ni kuyajibu tu kwa lugha NZITO ZAIDI! thats all.

Na kawaida yenu nyie ni kuwa mnapotuka hujiona mmetoa point muhimu sana!
Lkn mkijibiwa na al mujtahid CHAMVIGA au shariff Ritz @au al akhiy gombesugu au maalim Boko haram na al habib Tayebna sheikh wabara na ukhti wetu FaizaFoxywe unachoona ni matusi!

Taratibu utaelewa tu
Ni kawaida ya ukweli kuwa na tabia ya kuumiza!
Kila la kheri Hayatolah Wickama.
 
Last edited by a moderator:
Nimekusoma Wickama kwa maelezo yako mazuri na murua. Ukienda katika surat Kahf aya mia moja naa kuna maneno mwenyezi Mungu anasema kumuambia mjumbe wake "SEMA EWE MUHAMADDI, JE NIKUJULISHENI KWA WALIOPATA HASARA KATIKA MATENDO(AAMALI) YAO? NI WALE WALIOPOTEZA MUDA WAO KATIKA MAISHA YA DUNIA HUKU WAKIDHANIA WANATENDA MEMA". Hayo ni maneno ya busara kutoka kwa Mungu ni vyema kujithmini upya maisha yahapa ni sawa na kwenda sokoni kununua/kuuza ila ikifika jioni utarejea nyumbani, ole wako kama ulitumwa chakula na mkeo badala yake ukacheza kamari pesa hiyo.

Sheikh Chamviga;

Nimekusikia Ustadh. Kisha nimekuelewa. Nakuheshimu kaka, hunisikii tena na mada hii. Shukran
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom