Ismael Jussa amesema kuwa Nyerere ndiye aliyemuua Abeid Karume, yana ukweli haya? Na kama siyo mbona bado anazunguka mitaani, akamatwe

Kumbe Jussa? nilifikiri ni mtu mwingine! Jussa ni Mwarabu kwani ulitaka aseme nini?
Hapa Muungano ukivunjika Waarabu wanakuja kujichukulia visiwa bure!
 
Atawafanya wajinga Wazanzibar wenzake huko sio huku Tanganyika.
 
Maneno hata kwenye kanga yamejaa tele. Alete ushahidi sio blah blah.....akumbuke, wazungu wanajua kulinda maslahi yao kuliko yoyote awaye
 
Kaanza tena yale mashetani yao ya Udini au sio? Mi nlikuwa partial sana wakati anatetewa na CHADEMA, hawakujiuliza kwanini dola ilimsweka ndani. Ile mihadhara ya chuki za kidini it's only a matter of time itaanza tena
 

Anatumika kututoa Ngorongoro.
 
Sasa kama kaongea mengi hayo na unaona si sahihi, vipi unataka tupoteze muda kumzingatia?

Labda kama ni kumsaidia tu kama ilivyokuwa kwa Marehemu Dokta Shika.
 
Jussa mmoja ni sawa na akili za wabunge 300 wa chama cha ccm walioko bungeni na kama inakuma jussa kusema hivo kamulize mjukuu kinda kindaki wa mwana mapinduzi fatma karume ukweli wote atakwambia na wazanzibar wote wanajua
 
Asali tamu sana. Ukiipata naomba unilambishe na mimi. Afya yangu imedhoofika kwa kukosa lishe bora na asali mbichi.
Ukikuta nyuki popote fanya bidii umkamate na umfonze utatimiza haha yako na afya itarejea kama mwaka 1964
 
Another psychotic case.

Hivi vijamaa vijinga sana sijui Nyerere alitumia vigezo vipi kuungana navyo.

#MaendeleoHayanaChama

Ondoeni jeshi lenu ya uvamizi Zanzibar sasa mnasubiri nini? Yapelekeni Burundi kwa ndugu zenu.

 
Watu hawajui kuwa biashara ya utumwa ilikuwa sawa na biashara zingine za import and export. Ilihitaji Letter of Credit kwa masharti ya kawada FOB, CIF, nk. Kazi ya merchant banking ilikuwa ni y Wahindi, kina Jussa. Waarabu walifanya kazi zote za shulubu lakini wengi walikuwa wametumwa tu na matajiri kina Tippu Tip lakini the guns kwa merchat bankers, mabaki yao ni kina Jussa. Huu upande wa pili haujaandikwa sana lakini unatisha. Jussa kujiita mzawa asijivune, mabaki yetumwa wapo. Mwulizeni alikujaje hapa, yeye na babu zake, lini, nk
 
Mtu anayeamini ukifa,Kuna wanawake vigori sabini,yaani anaamini tamaa za kimwili zipo hata baada ya kifo.

Huwezi kuendelea kumsikiliza
 
Ondoeni jeshi lenu ya uvamizi Zanzibar sasa mnasubiri nini? Yapelekeni Burundi kwa ndugu zenu.

kwani nyinyi matako....rais wa tz si mzanzibar mwenzenu kwanini mnatupigia kekele sisi wananchi wa kawaida...kwa sasa madai yenu yote yamekuwa upumbavu kwangu kwa sababu marais wote ni wazanzibar hata wakitaka kuvunja muungano wanaweza sijui mnasubiri nini kuvunja muungano au mnategemea mbara akiwa rais ndiyo atavunja muungano?
 

Mbona huku Zanzibar mumemuweka mtanganyika mwenzenu tena wa mkuranga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…