Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
falsafa Inayoishi kichwani mwangu
Atawafanya wajinga Wazanzibar wenzake huko sio huku Tanganyika.Pale Karume aliposema kwamba koti likikubana unalivua na kisha akaanza kupinga muungano kwenye mwaka 1970 Nyerere na wapambe wake hawakufurahia hilo na ndio hayo yaliyotokea kweli yakatokea.
Ila hilo la utumwa asitufanye wajinga, waarabu walikuja pwani ya Afrika mashariki kutafuta watumwa na ndio walioanzisha biashara hiyo haramu katika eneo hili kabla ya kuja kupigwa marufuku na wajerumani.
Maneno hata kwenye kanga yamejaa tele. Alete ushahidi sio blah blah.....akumbuke, wazungu wanajua kulinda maslahi yao kuliko yoyote awayeNimewahi kusikiliza online TV inaitwa Zanzibar Kamili, kuna mahojiano ya huyo anayeitwa Ismael Jussa ( Nadhani nimetaja jina lake la pili vizuri), huyo Jussa wakati akifanya uchambuzi wa vitabu, kuna sehamu amesema kuwa Nyerere alikuwa anawakandamiza viongozi wa ZNZ kuanzia wakati wa vuguvugu la Jumbe, Salmin Amour, na wengine, halafu akarejea kuwa pia alihusika wakati wa mapinduzi na wakati wa mauaji ya Karume.
Ninavyoelewa Karume aliuawa na Kanali Humudi na sababu wanazijua fika, kusema Nyerere kahusika ili aendelee kuinyonya ZNZ inahitaji ushahidi ambao kimsingi huyo Jusa na hiyo TV Kamili ya ZNZ wanapaswa kuuleta.
Kuna mengi yanaongea ambayo yametiwa chumvi na hilo kundi la Jusa na wenzake akiwemo yule anayeitwa OMO, badala ya kufanya kazi ya kuijenga nchi ya Zinjibari anazunguka huko na huko kuichafua serikali na rais wa ZNZ.
Kuna kipindi kimoja Jussa alikaririwa akisema kuwa waarabu hawakuhusika na biashara ya watumwa, akawatupia lawama wananchi waafrika weusi, aka-justify kuwa Zanzibar ilikaliwa kwanza na waarabu....yaani waarabu ndiyo first people. Wengine wote, yaani waafrika weusi walikuja kutoka bara na kuwa huwezi kutenganisha ZNZ na uislaam, yaani serikali na dini ni kitu kimoja....Ni ya kweli hayo?
Eti kuna mtu mweusi alikuwa akimiliki watumwa ndiyo moja ya justification kwamba kila mtu alihusika na biashara ya utumwa, lakini akikataa kuwa waarabu siyo wahusika...atuthibitishie hayo.
Lingine alisema kuwa Waingereza walishindwa kwenye vita vya SUEZ CANAL na misri ndiyo maana walikuwa na hasira na ZNZ, Wakati kila mtu anajua kuwa Egypt ilipigwa na mfereji ukafunguliwa kwa meli zote zipite hapo hadi leo hakuna anayethubutu kuufunga tena....Hata hajui hiyo ilikuwa ile vita iliyoitwa " Six day war" au Yom Kippur. Kwanini anatudanganya?
Kuna mengi ambayo anahitaji kuthibitisha....mpelekeni polisi akathibitishe, ila safari hii msimvunje miguu tena.
Kwanini mnaruhusu non-credible sources of information katika nchi hii iendelee kueneza uongo wa mtu mmoja au wawili wajinga
Kaanza tena yale mashetani yao ya Udini au sio? Mi nlikuwa partial sana wakati anatetewa na CHADEMA, hawakujiuliza kwanini dola ilimsweka ndani. Ile mihadhara ya chuki za kidini it's only a matter of time itaanza tenaNimewahi kusikiliza online TV inaitwa Zanzibar Kamili, kuna mahojiano ya huyo anayeitwa Ismael Jussa ( Nadhani nimetaja jina lake la pili vizuri), huyo Jussa wakati akifanya uchambuzi wa vitabu, kuna sehamu amesema kuwa Nyerere alikuwa anawakandamiza viongozi wa ZNZ kuanzia wakati wa vuguvugu la Jumbe, Salmin Amour, na wengine, halafu akarejea kuwa pia alihusika wakati wa mapinduzi na wakati wa mauaji ya Karume.
Ninavyoelewa Karume aliuawa na Kanali Humudi na sababu wanazijua fika, kusema Nyerere kahusika ili aendelee kuinyonya ZNZ inahitaji ushahidi ambao kimsingi huyo Jusa na hiyo TV Kamili ya ZNZ wanapaswa kuuleta.
Kuna mengi yanaongea ambayo yametiwa chumvi na hilo kundi la Jusa na wenzake akiwemo yule anayeitwa OMO, badala ya kufanya kazi ya kuijenga nchi ya Zinjibari anazunguka huko na huko kuichafua serikali na rais wa ZNZ.
Kuna kipindi kimoja Jussa alikaririwa akisema kuwa waarabu hawakuhusika na biashara ya watumwa, akawatupia lawama wananchi waafrika weusi, aka-justify kuwa Zanzibar ilikaliwa kwanza na waarabu....yaani waarabu ndiyo first people. Wengine wote, yaani waafrika weusi walikuja kutoka bara na kuwa huwezi kutenganisha ZNZ na uislaam, yaani serikali na dini ni kitu kimoja....Ni ya kweli hayo?
Eti kuna mtu mweusi alikuwa akimiliki watumwa ndiyo moja ya justification kwamba kila mtu alihusika na biashara ya utumwa, lakini akikataa kuwa waarabu siyo wahusika...atuthibitishie hayo.
Lingine alisema kuwa Waingereza walishindwa kwenye vita vya SUEZ CANAL na misri ndiyo maana walikuwa na hasira na ZNZ, Wakati kila mtu anajua kuwa Egypt ilipigwa na mfereji ukafunguliwa kwa meli zote zipite hapo hadi leo hakuna anayethubutu kuufunga tena....Hata hajui hiyo ilikuwa ile vita iliyoitwa " Six day war" au Yom Kippur. Kwanini anatudanganya?
Kuna mengi ambayo anahitaji kuthibitisha....mpelekeni polisi akathibitishe, ila safari hii msimvunje miguu tena.
Kwanini mnaruhusu non-credible sources of information katika nchi hii iendelee kueneza uongo wa mtu mmoja au wawili wajinga
Nimewahi kusikiliza online TV inaitwa Zanzibar Kamili, kuna mahojiano ya huyo anayeitwa Ismael Jussa ( Nadhani nimetaja jina lake la pili vizuri), huyo Jussa wakati akifanya uchambuzi wa vitabu, kuna sehamu amesema kuwa Nyerere alikuwa anawakandamiza viongozi wa ZNZ kuanzia wakati wa vuguvugu la Jumbe, Salmin Amour, na wengine, halafu akarejea kuwa pia alihusika wakati wa mapinduzi na wakati wa mauaji ya Karume.
Ninavyoelewa Karume aliuawa na Kanali Humudi na sababu wanazijua fika, kusema Nyerere kahusika ili aendelee kuinyonya ZNZ inahitaji ushahidi ambao kimsingi huyo Jusa na hiyo TV Kamili ya ZNZ wanapaswa kuuleta.
Kuna mengi yanaongea ambayo yametiwa chumvi na hilo kundi la Jusa na wenzake akiwemo yule anayeitwa OMO, badala ya kufanya kazi ya kuijenga nchi ya Zinjibari anazunguka huko na huko kuichafua serikali na rais wa ZNZ.
Kuna kipindi kimoja Jussa alikaririwa akisema kuwa waarabu hawakuhusika na biashara ya watumwa, akawatupia lawama wananchi waafrika weusi, aka-justify kuwa Zanzibar ilikaliwa kwanza na waarabu....yaani waarabu ndiyo first people. Wengine wote, yaani waafrika weusi walikuja kutoka bara na kuwa huwezi kutenganisha ZNZ na uislaam, yaani serikali na dini ni kitu kimoja....Ni ya kweli hayo?
Eti kuna mtu mweusi alikuwa akimiliki watumwa ndiyo moja ya justification kwamba kila mtu alihusika na biashara ya utumwa, lakini akikataa kuwa waarabu siyo wahusika...atuthibitishie hayo.
Lingine alisema kuwa Waingereza walishindwa kwenye vita vya SUEZ CANAL na misri ndiyo maana walikuwa na hasira na ZNZ, Wakati kila mtu anajua kuwa Egypt ilipigwa na mfereji ukafunguliwa kwa meli zote zipite hapo hadi leo hakuna anayethubutu kuufunga tena....Hata hajui hiyo ilikuwa ile vita iliyoitwa " Six day war" au Yom Kippur. Kwanini anatudanganya?
Kuna mengi ambayo anahitaji kuthibitisha....mpelekeni polisi akathibitishe, ila safari hii msimvunje miguu tena.
Kwanini mnaruhusu non-credible sources of information katika nchi hii iendelee kueneza uongo wa mtu mmoja au wawili wajinga
Ukikuta nyuki popote fanya bidii umkamate na umfonze utatimiza haha yako na afya itarejea kama mwaka 1964Asali tamu sana. Ukiipata naomba unilambishe na mimi. Afya yangu imedhoofika kwa kukosa lishe bora na asali mbichi.
Another psychotic case.
Hivi vijamaa vijinga sana sijui Nyerere alitumia vigezo vipi kuungana navyo.
#MaendeleoHayanaChama
Watu hawajui kuwa biashara ya utumwa ilikuwa sawa na biashara zingine za import and export. Ilihitaji Letter of Credit kwa masharti ya kawada FOB, CIF, nk. Kazi ya merchant banking ilikuwa ni y Wahindi, kina Jussa. Waarabu walifanya kazi zote za shulubu lakini wengi walikuwa wametumwa tu na matajiri kina Tippu Tip lakini the guns kwa merchat bankers, mabaki yao ni kina Jussa. Huu upande wa pili haujaandikwa sana lakini unatisha. Jussa kujiita mzawa asijivune, mabaki yetumwa wapo. Mwulizeni alikujaje hapa, yeye na babu zake, lini, nkNimewahi kusikiliza online TV inaitwa Zanzibar Kamili, kuna mahojiano ya huyo anayeitwa Ismael Jussa ( Nadhani nimetaja jina lake la pili vizuri), huyo Jussa wakati akifanya uchambuzi wa vitabu, kuna sehamu amesema kuwa Nyerere alikuwa anawakandamiza viongozi wa ZNZ kuanzia wakati wa vuguvugu la Jumbe, Salmin Amour, na wengine, halafu akarejea kuwa pia alihusika wakati wa mapinduzi na wakati wa mauaji ya Karume.
Ninavyoelewa Karume aliuawa na Kanali Humudi na sababu wanazijua fika, kusema Nyerere kahusika ili aendelee kuinyonya ZNZ inahitaji ushahidi ambao kimsingi huyo Jusa na hiyo TV Kamili ya ZNZ wanapaswa kuuleta.
Kuna mengi yanaongea ambayo yametiwa chumvi na hilo kundi la Jusa na wenzake akiwemo yule anayeitwa OMO, badala ya kufanya kazi ya kuijenga nchi ya Zinjibari anazunguka huko na huko kuichafua serikali na rais wa ZNZ.
Kuna kipindi kimoja Jussa alikaririwa akisema kuwa waarabu hawakuhusika na biashara ya watumwa, akawatupia lawama wananchi waafrika weusi, aka-justify kuwa Zanzibar ilikaliwa kwanza na waarabu....yaani waarabu ndiyo first people. Wengine wote, yaani waafrika weusi walikuja kutoka bara na kuwa huwezi kutenganisha ZNZ na uislaam, yaani serikali na dini ni kitu kimoja....Ni ya kweli hayo?
Eti kuna mtu mweusi alikuwa akimiliki watumwa ndiyo moja ya justification kwamba kila mtu alihusika na biashara ya utumwa, lakini akikataa kuwa waarabu siyo wahusika...atuthibitishie hayo.
Lingine alisema kuwa Waingereza walishindwa kwenye vita vya SUEZ CANAL na misri ndiyo maana walikuwa na hasira na ZNZ, Wakati kila mtu anajua kuwa Egypt ilipigwa na mfereji ukafunguliwa kwa meli zote zipite hapo hadi leo hakuna anayethubutu kuufunga tena....Hata hajui hiyo ilikuwa ile vita iliyoitwa " Six day war" au Yom Kippur. Kwanini anatudanganya?
Kuna mengi ambayo anahitaji kuthibitisha....mpelekeni polisi akathibitishe, ila safari hii msimvunje miguu tena.
Kwanini mnaruhusu non-credible sources of information katika nchi hii iendelee kueneza uongo wa mtu mmoja au wawili wajinga
kwani nyinyi matako....rais wa tz si mzanzibar mwenzenu kwanini mnatupigia kekele sisi wananchi wa kawaida...kwa sasa madai yenu yote yamekuwa upumbavu kwangu kwa sababu marais wote ni wazanzibar hata wakitaka kuvunja muungano wanaweza sijui mnasubiri nini kuvunja muungano au mnategemea mbara akiwa rais ndiyo atavunja muungano?Ondoeni jeshi lenu ya uvamizi Zanzibar sasa mnasubiri nini? Yapelekeni Burundi kwa ndugu zenu.
Ahsante.Mtu anayeamini ukifa,Kuna wanawake vigori sabini,yaani anaamini tamaa za kimwili zipo hata baada ya kifo.
Huwezi kuendelea kumsikiliza
kwani nyinyi matako....rais wa tz si mzanzibar mwenzenu kwanini mnatupigia kekele sisi wananchi wa kawaida...kwa sasa madai yenu yote yamekuwa upumbavu kwangu kwa sababu marais wote ni wazanzibar hata wakitaka kuvunja muungano wanaweza sijui mnasubiri nini kuvunja muungano au mnategemea mbara akiwa rais ndiyo atavunja muungano?