Israel Ameamua Kukimbia Lebanon

Israel Ameamua Kukimbia Lebanon

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
7,681
Reaction score
9,892
Habari ndio hio Israel wanasingizia watasimamisha vita North kwa mda kutokana na UN itatoa Resolution kuhusu Gaza. Swali toka lini Israel ilifata sheria za UN. Hakuna zaidi ya moto wa Hezbullah unatisha wameona wakimbia kijanja huko Lebanon

Habari ndio hio Al Arab TV inasema hio ni Breaking news kutokana na Israel TV channel 12.

View: https://youtube.com/shorts/XhhX2vgRvaY?si=cCLRefvVPxmGWqTo
 
Unaandika kishabiki kama unatoa maelezo ya mpambano wa Simba vs Yanga!

Kwani Israel wakisimamisha vita ama kuachana navyo, wanakuwa wamefanya jambo la aibu?
 
Watakuwa wamefanya jambo la aibu. Walienda kwenye vita kwa target ya kurudisha watu wao kule North hawakurudi mpaa leo. Walitaka Hezbullah waondoke border Hezbullah wapo, hawajarudi mpa mto Letani kama walivyo taka wao. Walipo fanikiwa kwenye pager na kuwaua viongozi wa Hezbullah, wakasema hatusimamishi vita mpaa Hezbullah awe disarmed. Hayo yote hakuna alicho fanikiwa. Kwa hio kashindwa vita.
 
Taifa la Israel halina uwezo wa kupigana vita vya muda mrefu kiasi hicho,hivyo kushindwa kuendeleza vita ni kutohimili mikiki ya vita ,Cha msingi HEZBULLAH wasiache vita hivyo mpaka kieleweke,Mwamba Iran aendelee kuwasaidia kwani USA lazima isaidie Israel kwa tahadhali huku PUTIN akiwa anaendelea na operation yake ya kijeshi huko Ukraine.Dunia haiwezi kuwa salaama kama litakuwa na mataifa ya kinyonge.
 
Habari ndio hio Israel wanasingizia watasimamisha vita North kwa mda kutokana na UN itatoa Resolution kuhusu Gaza. Swali toka lini Israel ilifata sheria za UN. Hakuna zaidi ya moto wa Hezbullah unatisha wameona wakimbia kijanja huko Lebanon

Habari ndio hio Al Arab TV inasema hio ni Breaking news kutokana na Israel TV channel 12.

View: https://youtube.com/shorts/XhhX2vgRvaY?si=cCLRefvVPxmGWqTo

Kweli kamanda, hakuna kama Hezbollah. Israeli kashindwa vita kaishia kuua makamanda wa Hezbollah nà wanawake na watoto.
 
Kwa hiyo unataka waendelee kuuana? Kaka yako angekuwa mstari wa mbele vitani, sasa ungekuwa unafurahia na kushangilia tamko hilo la usitishwaji vita.

#Trump4President!
 
Habari ndio hio Israel wanasingizia watasimamisha vita North kwa mda kutokana na UN itatoa Resolution kuhusu Gaza. Swali toka lini Israel ilifata sheria za UN. Hakuna zaidi ya moto wa Hezbullah unatisha wameona wakimbia kijanja huko Lebanon

Habari ndio hio Al Arab TV inasema hio ni Breaking news kutokana na Israel TV channel 12.

View: https://youtube.com/shorts/XhhX2vgRvaY?si=cCLRefvVPxmGWqTo

Hii habari chungu kwa walokole na mayahudi meusi hayataki kabisa kisikia hizi habari🤣
 
Watakuwa wamefanya jambo la aibu. Walienda kwenye vita kwa target ya kurudisha watu wao kule North hawakurudi mpaa leo. Walitaka Hezbullah waondoke border Hezbullah wapo, hawajarudi mpa mto Letani kama walivyo taka wao. Walipo fanikiwa kwenye pager na kuwaua viongozi wa Hezbullah, wakasema hatusimamishi vita mpaa Hezbullah awe disarmed. Hayo yote hakuna alicho fanikiwa. Kwa hio kashindwa vita.
Usiwe mpuuzi kiasi hicho!
 
Habari ndio hio Israel wanasingizia watasimamisha vita North kwa mda kutokana na UN itatoa Resolution kuhusu Gaza. Swali toka lini Israel ilifata sheria za UN. Hakuna zaidi ya moto wa Hezbullah unatisha wameona wakimbia kijanja huko Lebanon

Habari ndio hio Al Arab TV inasema hio ni Breaking news kutokana na Israel TV channel 12.

View: https://youtube.com/shorts/XhhX2vgRvaY?si=cCLRefvVPxmGWqTo

Netanyahu bado anaakili zile za ujima kuwa jesh lake linaweza kila kitu kumbe mambo yamebadilika Sana na walisema watawarudisha watu wa kaskazi kwa mbwembwe ila kilichotokea ni watu wa kaskazin kutorudo na wala wa miji ya kati nao kurudishwa nyuma
 
Taifa la Israel halina uwezo wa kupigana vita vya muda mrefu kiasi hicho,hivyo kushindwa kuendeleza vita ni kutohimili mikiki ya vita ,Cha msingi HEZBULLAH wasiache vita hivyo mpaka kieleweke,Mwamba Iran aendelee kuwasaidia kwani USA lazima isaidie Israel kwa tahadhali huku PUTIN akiwa anaendelea na operation yake ya kijeshi huko Ukraine.Dunia haiwezi kuwa salaama kama litakuwa na mataifa ya kinyonge.
Huo ndo ukweli Netanyahu alisema lengo ni kuwarudisha raia wa kaskazini matokeo yake hadi raia wa miji ya kati nao wameondolewa
 
Back
Top Bottom