Israel Ameamua Kukimbia Lebanon

Israel Ameamua Kukimbia Lebanon

makobaz mkipigwa mna laumu, mkiachwa pia mnaleta kidomo domo.
Mfano sahv uko Gaza mnasema wanauliwa watoto kama na nyie mnanguvu si muue watoto wa Israel?
 
Kule Amsterdam walipigwa mitama baada ya kujitoa akili🤠🤠🤠....ile ni kuonesha kuwa man to man combat hawawezi Hawa wavaa nepi.....mkuu hata ww unaweza kuzipanga vzuri tu na yule Chief of staff wao wa jeshi na ukamtoa kamasi🤠🤠🤠....they are that weak....ukikorofishana na mtu akaja Nyumbani kwako haupo na akawaua familia yako yte yaani wife na watoto wako wte halafu ww usiende kwake kuua familia yake Bali ukaamua ku deal naye yy....kimtazamo ww ndo utaonekana mshindi si yy anayeua watu wasio na uwezo wa kujitetea....it's that simple
 
Sasa mtendweje mkipigwa kelele, mkiachwa kelele.
Wambie wanao fahamu kiarabu wakutafsirie, Israel anabembeleza US wasimamishe vita Lebanon. Afu wawazue Syria wasipeleke silaha Lebanon, pia wanaomba US awatie pressure Lebanon ili jeshi la Lebanon liende mpakani afu wakubali Israel awe ana control Air space ya Lebanon 😄

Eti wao wameamua kusimamisha vita in one side vichekesho kweli. We umeshindwa vita afu unataka US awatie pressure serekali ya Lebanon na Syria ili uonekane wewe umeshinda.

Mimi nasema Hezbullah kamatieni hapo hapo huyo Syria kisha Hongwa pesa na UAE ili azuie silaha zisiende Lebanon, mnaweza kwenda kumtoa madarakani nyie ndio mlio mzuia Assad asianguke sio US au Israel.

View: https://youtube.com/shorts/ck1VDQ_XU7c?si=lMcCjtRuZFybDxvH

Hayo maombi mbona Hezbullah alisha yakataa ya kuondoka mpakani na Israel awe ana control Lebanon airspace.
 
Kule Amsterdam walipigwa mitama baada ya kujitoa akili🤠🤠🤠....ile ni kuonesha kuwa man to man combat hawawezi Hawa wavaa nepi.....mkuu hata ww unaweza kuzipanga vzuri tu na yule Chief of staff wao wa jeshi na ukamtoa kamasi🤠🤠🤠....they are that weak....ukikorofishana na mtu akaja Nyumbani kwako haupo na akawaua familia yako yte yaani wife na watoto wako wte halafu ww usiende kwake kuua familia yake Bali ukaamua ku deal naye yy....kimtazamo ww ndo utaonekana mshindi si yy anayeua watu wasio na uwezo wa kujitetea....it's that simple
Huo ni mtazamo wako tu na katika hali ya kujipa moyo.
Hapo Middle East Muyahudi hamumuwezi anatembeza kichapo anavotaka na anavopenda. Hata UN mwenyewe hasikilizwi
 
Hezbollah hawana nguvu yeyote ya kupigana na Israel zaidi ya kupiga kwa kuvizia na kujificha kwenye mashimo kama panya huku wakijinyea kama wanaume wasimame peupe kama mwenzao Ukraine ndo tutajua wanaweza,vita vya msituni hata mkwawa aliweza mbele ya mjerumani Kwa miaka minne yeye ana mkuki mjerumani ana mizinga na bunduki achilia mbali mabomu
Huna unalojua wewe.
Angekua hizbollah hana nguvu asingeua askari wengi wa Israel.
Punguza kuropoka.
 
Huo ni mtazamo wako tu na katika hali ya kujipa moyo.
Hapo Middle East Muyahudi hamumuwezi anatembeza kichapo anavotaka na anavopenda. Hata UN mwenyewe hasikilizwi
Askari wa IDF wakikusikia watakuchapa makofi.
Israel kwa ground battle mweupee peee,hamas peke yake imewafanya askari elfu 70 wa Israel walemavu wa kudumu,na hao wamepata ulemavu baada ya kupigana street battles hapo Gaza na hamas.
Muarabu unaweza kumpiga kwa anga ila kwa ground thubutuu hutoboi,waulize wafaransa kwa Algeria uone kilichowakuta kipindi cha kupambania uhuru.
Muarabu vita za chini humuwezi kamwe.
 
Hezbollah hawana nguvu yeyote ya kupigana na Israel zaidi ya kupiga kwa kuvizia na kujificha kwenye mashimo kama panya huku wakijinyea kama wanaume wasimame peupe kama mwenzao Ukraine ndo tutajua wanaweza,vita vya msituni hata mkwawa aliweza mbele ya mjerumani Kwa miaka minne yeye ana mkuki mjerumani ana mizinga na bunduki achilia mbali mabomu
Zayuni muoga zaidi na ndio maana anaripua akiwa juu juu tena anaua watoto kina mama na wazee kama anaweza atie boot kwa ground
 
makobaz mkipigwa mna laumu, mkiachwa pia mnaleta kidomo domo.
Mfano sahv uko Gaza mnasema wanauliwa watoto kama na nyie mnanguvu si muue watoto wa Israel?
Hamas sio wajinga na wana akili hawana shida na watoto na wala watoto hawajawakosea kitu sasa wawapige wa kazi gani wao shida yao magaidi ya kizayuni
 
hio ndio dawa ya makobazz....mwamba trump aongeze doziii
20241110_144637.jpg
 
Watu wasiyopenda amani wanapenda sasa kuleta uchochezi...
IDF ikiendelea kuwepo Lebanon kunakuwa na nongwa " oooo IDF inaua watoto na wamama" wakitaka kuondoka " IDF kakimbia uwanja wa vita"
Upuuzi huu, upuuzi hu...
 
Umeropoka badala ya kuongea.
IDF wanalaumiwa kulipua makazi ya raia badala ya kupigana na Hizbollah.
Na hilo ni jambo la kweli wala sio uongo.
 
Watu wasiyopenda amani wanapenda sasa kuleta uchochezi...
IDF ikiendelea kuwepo Lebanon kunakuwa na nongwa " oooo IDF inaua watoto na wamama" wakitaka kuondoka " IDF kakimbia uwanja wa vita"
Upuuzi huu, upuuzi hu...
Wakiua raia lazima watu watalalamika ulimsikia nani wanalalamika baada ya Mazayuni kumuua Nasrallah Hassan
 
Back
Top Bottom