Inaonesha uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana bwana mdogo....Sasa UN kutokusikilizwa ndo unaona ujanja mkuu....vita inapiganwa kwa namna nyingi sana....zile resolutions zinazopitishwa kule UN ni akiba itakayokuja kuwaumiza hao taifa la Mungu mbeleni.....ukiwa na vitaifa vichache vya Ulaya pamoja na mkubwa mmoja wanakukingia kifua tena ni serikali zao sio wananchi wao in a long run itakula kwako tu....uchumi wako vita ikishaisha utashirikiana na hzo nchi chache zinazokuunga mkono....ukienda kwingine duniani watu watakukataa.....halafu duniani huko maisha ya raia wako yatakuwa matatani maana watu washawaju nyny ni nuksi....interms of propaganda mmeshashindwa maana hata hzo main stream media watu washazishtukia zinawalisha uongo.....in short image ya Hilo taifa imeshachafuka sana.....na bdo kwny battle ground mtaendelea kugongwa na kurudishwa kwny masanduku mpk akili ziwakae sawa....