Israel Ameamua Kukimbia Lebanon

Israel Ameamua Kukimbia Lebanon

Israel imeshakili bila Russia kuingilia kati Mgogoro wa Mashariki ya Kati hauwezi kuisha!
Russia ina uhusiano mzuri na Iran hivyo Russia inaweza kutumia uhusiano kuishawishi Iran imalize vita hivyo!
Israel anaomba Mrusi amuokoe Hezbullah wanampiga kwa style kila siku zikienda ya jana bora kuliko ya leo.
 
Umri wako umefika 10? Hezbullah anataka nini kukalia mji wa Israel kwa sasa yule anatumia ndege na wao lazima watumie missiles. Unafikiria vita unatumia manati uende chini ya mti kutungua Tina au Tetere 😄

Waulize Israel watakupa jibu wanaomba US afanye haraka kusimamisha vita, wanaogopa Hezbullah asiuteke mji wa Jalili we kaa ule pipi kwa papa za kijiti
Kubasi mnadanganyana sana kumbe🤣🤣🤣🤣
 
Endeleeni kudanganganyana ila ukweli nikuwa ingekuwa kweli unachoongea basi Hezbollah aubhamasi wangekuwa wanakalia Kijiji chochote cha Israeli,au umesikia popote wanakalia hata sentimeta Moja ya ardhi ya Israeli,🤣🤣🤣?Hamasi na hezobolla wapo kwenye mashimo ya panya huko wanatweta na wewe sijui upon wapi muisilamu jina nenda kawasaidie🤣🤣🤣 Israel wapo on the ground lkn HezboHamas wapo mashimoni
Huna unalolijua na unabwatuka tu.
Kwani Hizbollah ndiye aliyeivamia Israel hadi akalie kijiji cha Israel!?
Israel ndiye aliyevamia nchi za wenzake.
Wacha nikuoneshe Hizbollah imeifanya nini Israel.
Pokea kitu hiko.
Screenshot_20241111-212101.jpg
 
Hamasi wapo wapi? Si wapo katikati ya raia? Ili umuue hamasi mmoja lazima uue raia sita,hamasi hawamiliki eneo lolote zaidi ya kuhama hama na raia ,raia wakienda mgharibi na wao wanawafata wakienda mashariki na wao Wana wafata kwanini hawataki kukaa mbali na raia??

Ile vita ya siku sita ilikuwa ya kiume yaani majeshi ya waarabu yalikuwa na ndege na vifaru juu ya ardhi na mbali na raia ndo maana yalishindwa mapema siyo hamasi na hezballa chini ya mashimo au katikati ya raia
Screenshot_20241111-212806.jpg
Screenshot_20241111-212823.jpg
Screenshot_20241111-212858.jpg
 
Kubasi mnadanganyana sana kumbe🤣🤣🤣🤣
Hii ni leo jumatatu Hizbollah wameshambulia Israel Haifa bay.
Tizama maafa hapo chini.
Vijana kama ninyi dawa yenu ni KUWATWANGA NA VIVID EVIDENCE BAAS.
Screenshot_20241111-213625.jpg
Screenshot_20241111-213651.jpg
 

View: https://youtu.be/asnYiW5GfhM?si=rE3GVFcLPkBJJRT9

Wanambembeleza US na Russia ili walete njia ya kuzuia vita afu eti Hezbullah asipewe silaha kwa njia ya Syria 😄 ndoto hizo leo Assad kawanyea warabu kulalamika bila action, ndio azue Syria isipeleke silaha. Wanaota hawa Israel. Ye mbona anapewa silaha na US anataka apigane vita na watu wasio na silaha kama vile watoto na wanawake hahahaha
 
Hamasi wapo wapi? Si wapo katikati ya raia? Ili umuue hamasi mmoja lazima uue raia sita,hamasi hawamiliki eneo lolote zaidi ya kuhama hama na raia ,raia wakienda mgharibi na wao wanawafata wakienda mashariki na wao Wana wafata kwanini hawataki kukaa mbali na raia??

Ile vita ya siku sita ilikuwa ya kiume yaani majeshi ya waarabu yalikuwa na ndege na vifaru juu ya ardhi na mbali na raia ndo maana yalishindwa mapema siyo hamasi na hezballa chini ya mashimo au katikati ya raia
Huna unalojua.
Hamas hajifichi nyuma ya raia hata siku moja.
Hayo madai yalichunguzwa na kugundulika ni uongo Israel inapiga makazi kimakusudi.
Kama Hamas angekua anajificha nyuma ya raia angewezaje kuwafanya wanajeshi elfu 70 wa Israel kuwa walemavu!?
Wewe si unajifanya unajua!?
Usikimbie humu ndani embu soma ripoti hiyo kutoka Times of Israel chombo cha habari cha Israel.
Kuanzia Oktoba 7 2023 hadi mwezi ulioletwa hiyo ripoti June 2024 Israel imepata askari elfu sabini walemavu kutoka vita za Hamas peke yake.
Wewe endelea kuleta udini sisi tunakupa facts usikimbie tu.
Tena tunakuletea ripoti kutoka hadi vyanzo hivyo hivyo vya wayahudi wenyewe.
Screenshot_20241111-214040.jpg
Screenshot_20241111-214113.jpg
 
Breaking news, Nyau anasema hakuna ushindi Israel ataupata Lebanon zaidi ya kumua Nasurlah 😄

Al Araby TV wanasema hio ni breaking news kutokana na channel 12 ya Israel


View: https://youtube.com/shorts/rH0COqxxEHg?si=Ko9VW9V1a1D9duyD

Nyau anakimbia huyooo si alisema Lazima arudishe watu wake North. Hezbullah wawe disarmed na warudishwe nyuma ya mto Letan vipi tena hapo nyau, unatuabisha hahaha 😆
 
Taifa la Israel halina uwezo wa kupigana vita vya muda mrefu kiasi hicho,hivyo kushindwa kuendeleza vita ni kutohimili mikiki ya vita ,Cha msingi HEZBULLAH wasiache vita hivyo mpaka kieleweke,Mwamba Iran aendelee kuwasaidia kwani USA lazima isaidie Israel kwa tahadhali huku PUTIN akiwa anaendelea na operation yake ya kijeshi huko Ukraine.Dunia haiwezi kuwa salaama kama litakuwa na mataifa ya kinyonge.
Dunia haiwezi kua Salama iwapo kuna Taifa linaamini wao ni wateule wa Mungu na wanahaki ya kufanya watakavyo, vita iendelee Hizbollah wasiweke silaha chini Israeli imeshatepeta.
 
Hezbollah hawana nguvu yeyote ya kupigana na Israel zaidi ya kupiga kwa kuvizia na kujificha kwenye mashimo kama panya huku wakijinyea kama wanaume wasimame peupe kama mwenzao Ukraine ndo tutajua wanaweza,vita vya msituni hata mkwawa aliweza mbele ya mjerumani Kwa miaka minne yeye ana mkuki mjerumani ana mizinga na bunduki achilia mbali mabomu
Hujui chochote wewe, fuatilia Hizbollah vs Israeli 2006, ndio maana mara hii Israeli kamua kupigana na magorofa na watoto tu anakumbuka kilichompata 2006
 
Siku huzi hatusikii habari za iron dome chezea Iran nyie, Hizbollah anapiga anapotaka, hakuna mavi ya dome wala taifa teule.
 
Hezbullah kawakatalia walicho taka, kwanza walidhani US atawalazimisha serekali ya Lebanon iwape pressure Hezbullah ili wakubali. Masharti ya kusimamisha vita na ndege zao ziruke na kupiga Lebanon na kuzuia Syria asipeleke silaha kwa njia yake. Israel yuko njia panda kwa sababu, Hezbullah still has the potential to declare another victory over Israel.
 
Hujui chochote wewe, fuatilia Hizbollah vs Israeli 2006, ndio maana mara hii Israeli kamua kupigana na magorofa na watoto tu anakumbuka kilichompata 2006
Hezbola analengo alilotumwa la kuingamiza Israeli yaani kuifuta katika ramani ya Dunia na nafikiri kafanikiwa maana ana nguvu sana ana Sivyo?
 
Habari ndio hio Israel wanasingizia watasimamisha vita North kwa mda kutokana na UN itatoa Resolution kuhusu Gaza. Swali toka lini Israel ilifata sheria za UN. Hakuna zaidi ya moto wa Hezbullah unatisha wameona wakimbia kijanja huko Lebanon

Habari ndio hio Al Arab TV inasema hio ni Breaking news kutokana na Israel TV channel 12.


View: https://youtube.com/shorts/XhhX2vgRvaY?si=cCLRefvVPxmGWqTo

Hezbollah wamempa kipigo alidhani ataingia kirahisi rahisi anatafuta sababu ya kujiondoa kwa US alivyojiondoa vietnam.
Wao si waligoma kuisikiliza UN hadi katibu mkuu akapigwa marufuku kukanyaga Israel.
 
Back
Top Bottom