Israel Ameamua Kukimbia Lebanon

Israel Ameamua Kukimbia Lebanon

N

Ngono ndo agenda kuu mlionayo mnajilipua na mabomu Kila siku na kutuua binadamu wenzenu tunaacha familia zetu kisa uroho wenu kupenda k*ma za pepo yenu ya ngono
Kama sisi tunapenda ngono nyie hampendi wewe uliokotwa kwenye mti au akili hajawahi kua nazo Familia zenu mnaacha hata kwa kuumwa mkalazwa mahospitalni na kufia huko
 
Kuna Kijiji chochote hakitawaliwi na Israeli pale Gaza? Israeli ndo wanaamua nani wakuishi Gaza na nani hapaswi kuishi na hata misaada wanaruhusu wao hata Amerika wanaomba ruhusa ya Yahudi ndo wawape mikate wapalestina
Kumbe hata unaloongea hulijui misaada inatokea nje lazima ipite kwenye ardhi za palestina zinazoitwa israhell unategemea amri itatoka Nairobi au sasa kama wanaamua nani aishi Gaza nani asiishi mateka wao wako wapi mwaka naa sasa
 
We endelea kubaki gizani mpaka utakpo tambua ukweli,nimegundua nimuathirika wa propaganda za waarabu
 
Kuna Kijiji chochote hakitawaliwi na Israeli pale Gaza? Israeli ndo wanaamua nani wakuishi Gaza na nani hapaswi kuishi na hata misaada wanaruhusu wao hata Amerika wanaomba ruhusa ya Yahudi ndo wawape mikate wapalestina
Kwani mkuu ww ujui kuwa Gaza imezungukwa na Israel miaka na miaka ata kabla iyo vita ya Gaza lkn ndani ya Gaza ndio kwa kwamoto sio mipakani ndio tumasema Israel inapigana Gaza uku Hamas kafungwa mikono lkn mwaka sasa Israel ajakomboa mateka na jana tu wajeda 15 wa kisrael wameuwawa Gaza!!, Ukija uyo Israel anapewa misaada kibao waziwazi lkn Hamas apewi anajiundia mwenyewe uku kazungukwa, NO mqji umeme chakula hoapital ya uhakika lkn wanaume awajaweka siraa chini wanapigana kiume kiume kaz kaz jiulize ww ingekuwa Israel ndio Hamas kungekuwa na vita adi leo.
 
Kama sisi tunapenda ngono nyie hampendi wewe uliokotwa kwenye mti au akili hajawahi kua nazo Familia zenu mnaacha hata kwa kuumwa mkalazwa mahospitalni na kufia huko
Ngono ndo pepo yenu tunalijua Hilo,hv majuzi wanaume wa Iraqi walikuwa wanaomba waruhusiwe kubaka watoto wa miaka 9 duh mnapenda sana ngono hv hamnaga starehe zingine??Pepo ya Muhammad itajaaa harufu na vilio vya ngono TU hakuna kingine Kila MTU na 72 wake😭🤣🤣🤣
 
Hamas n+ palestin ndio taifa teule la kaleee wanajiundia wenyewe siraaa na wanapigana na taifa lenye kubebwa na WEST yote ikiwemo marekani ujagundua tu uteule wao Hamaa!!!
 
Habari ndio hio Israel wanasingizia watasimamisha vita North kwa mda kutokana na UN itatoa Resolution kuhusu Gaza. Swali toka lini Israel ilifata sheria za UN. Hakuna zaidi ya moto wa Hezbullah unatisha wameona wakimbia kijanja huko Lebanon

Habari ndio hio Al Arab TV inasema hio ni Breaking news kutokana na Israel TV channel 12.

View: https://youtube.com/shorts/XhhX2vgRvaY?si=cCLRefvVPxmGWqTo

Wewe kweli uzao wa shetani!!

Kwa hiyo furaha yako wewe ni wanadamu wenzako waendelee kuangamia?
 
Wewe kweli uzao wa shetani!!

Kwa hiyo furaha yako wewe ni wanadamu wenzako waendelee kuangamia?
Uzao wa shetani ni wale wanao furahia genocide mimi nafurahia kuona walio fanya genocide wanalipiwa hapa hapa dunia kabla ya akhera, unaona tofauti. Hezbullah kamatilieni hapo hapo Israel kumeisha chafuka, karibu wanajeshi watamtandika nyau risasi.
 
Inaonesha uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana bwana mdogo....Sasa UN kutokusikilizwa ndo unaona ujanja mkuu....vita inapiganwa kwa namna nyingi sana....zile resolutions zinazopitishwa kule UN ni akiba itakayokuja kuwaumiza hao taifa la Mungu mbeleni.....ukiwa na vitaifa vichache vya Ulaya pamoja na mkubwa mmoja wanakukingia kifua tena ni serikali zao sio wananchi wao in a long run itakula kwako tu....uchumi wako vita ikishaisha utashirikiana na hzo nchi chache zinazokuunga mkono....ukienda kwingine duniani watu watakukataa.....halafu duniani huko maisha ya raia wako yatakuwa matatani maana watu washawaju nyny ni nuksi....interms of propaganda mmeshashindwa maana hata hzo main stream media watu washazishtukia zinawalisha uongo.....in short image ya Hilo taifa imeshachafuka sana.....na bdo kwny battle ground mtaendelea kugongwa na kurudishwa kwny masanduku mpk akili ziwakae sawa....
Allahu Akbariii watu kama wewe ndio Great Thinkers 👍 Mwenye akili ataelewa tu, asiye kuwa hana akili hata uandike kama hivi hawawezi kuelewa. Safi sana.
 
Badala ya kuhama kaskazini sasa hivi raia wanakimbia nchi kabisa. Waisrael wengi wamekimbia nchi yao sbb ya ujinga wa SHETANYAHU
Sababu kuuu awa tunawaita WaIsrael lkn %90 yao wana uraia pacha kikinuka uyooo anachukua pasport ya taifa mama mbiooo kwaoo OG
 
Nakumbuka kile kisa kule Dagstan jimbo la Russia wale wakazi wengi waslamu walisikia kuna ndege toka Israel inakuja wkt kule Gaza vifo vishafika erf 15000 tukaona uwanja w ndege airport umevamiwa na wananchi kuwasaka waIsrael wakaingia adi kwenye ndege baada y kuona kila anaeshuka ni Russia sio muIsrael uko nako wakakuta ni wa Russia au mataifa mengine wa Israel awakuwaona wakazani pengine ndege sio ile!!😀😀😀 baada ya siku 1 ndio wakashtuka kuwa wale raia wa Russia ndio ao waIsrael😀😀 ilitakiwa wawapekuwe kwenye mabegi yao ndio wangekuta pasport za Israel lkn wameshawakosa!!
 
We endelea kubaki gizani mpaka utakpo tambua ukweli,nimegundua nimuathirika wa propaganda za waarabu
Sio wewe umeathirika na propaganda za wazayuni waliopigana na mataifa yote ya Kiarabu kwa siku sita ila wanaishindwa hamas mwaka naa sasa amka kumeanza kupambazuka
 
Ngono ndo pepo yenu tunalijua Hilo,hv majuzi wanaume wa Iraqi walikuwa wanaomba waruhusiwe kubaka watoto wa miaka 9 duh mnapenda sana ngono hv hamnaga starehe zingine??Pepo ya Muhammad itajaaa harufu na vilio vya ngono TU hakuna kingine Kila MTU na 72 wake😭🤣🤣🤣
Unajichekesha nini sasa jikaze dogo wewe ambao kwenu ngono sio pepo tuambie umepatikanaje
 
Kufa vitani kawaida hata wasomali wali wahi ua askari wa marekani, naona udini umekulemaza ndugu
Ona kwanini mkiishiwa hoja huwa mnakimbilia udini!?
Udini umekujaje!?
Sawa kufa kawaida ila sio kwa vifo wanavyokufa askari wa Israel.
Na kama haujui imefikia reservists wanaandika barua za kugoma kuitwa vitani kwenda Lebanon.
Jiulize kwanini iwe hivyo!?
 
Endeleeni kudanganganyana ila ukweli nikuwa ingekuwa kweli unachoongea basi Hezbollah aubhamasi wangekuwa wanakalia Kijiji chochote cha Israeli,au umesikia popote wanakalia hata sentimeta Moja ya ardhi ya Israeli,🤣🤣🤣?Hamasi na hezobolla wapo kwenye mashimo ya panya huko wanatweta na wewe sijui upon wapi muisilamu jina nenda kawasaidie🤣🤣🤣 Israel wapo on the ground lkn HezboHamas wapo mashimoni
Ona kwanini mkiishiwa hoja huwa mnakimbilia udini!?
Udini umekujaje!?
Sawa kufa kawaida ila sio kwa vifo wanavyokufa askari wa Israel.
Na kama haujui imefikia reservists wanaandika barua za kugoma kuitwa vitani kwenda Lebanon.
Jiulize kwanini iwe hivyo!?
 
Sio wewe umeathirika na propaganda za wazayuni waliopigana na mataifa yote ya Kiarabu kwa siku sita ila wanaishindwa hamas mwaka naa sasa amka kumeanza kupambazuka
Hamasi wapo wapi? Si wapo katikati ya raia? Ili umuue hamasi mmoja lazima uue raia sita,hamasi hawamiliki eneo lolote zaidi ya kuhama hama na raia ,raia wakienda mgharibi na wao wanawafata wakienda mashariki na wao Wana wafata kwanini hawataki kukaa mbali na raia??

Ile vita ya siku sita ilikuwa ya kiume yaani majeshi ya waarabu yalikuwa na ndege na vifaru juu ya ardhi na mbali na raia ndo maana yalishindwa mapema siyo hamasi na hezballa chini ya mashimo au katikati ya raia
 
Israel imeshakili bila Russia kuingilia kati Mgogoro wa Mashariki ya Kati hauwezi kuisha!
Russia ina uhusiano mzuri na Iran hivyo Russia inaweza kutumia uhusiano kuishawishi Iran imalize vita hivyo!
 
Endeleeni kudanganganyana ila ukweli nikuwa ingekuwa kweli unachoongea basi Hezbollah aubhamasi wangekuwa wanakalia Kijiji chochote cha Israeli,au umesikia popote wanakalia hata sentimeta Moja ya ardhi ya Israeli,🤣🤣🤣?Hamasi na hezobolla wapo kwenye mashimo ya panya huko wanatweta na wewe sijui upon wapi muisilamu jina nenda kawasaidie🤣🤣🤣 Israel wapo on the ground lkn HezboHamas wapo mashimoni
Umri wako umefika 10? Hezbullah anataka nini kukalia mji wa Israel kwa sasa yule anatumia ndege na wao lazima watumie missiles. Unafikiria vita unatumia manati uende chini ya mti kutungua Tina au Tetere 😄

Waulize Israel watakupa jibu wanaomba US afanye haraka kusimamisha vita, wanaogopa Hezbullah asiuteke mji wa Jalili we kaa ule pipi kwa papa za kijiti
 
Back
Top Bottom