Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wateule wa mungu wanakuje tena?Sasa,ugumu wake ni upi hapo?Kwamba IDF ilikuwa na wanajeshi jumla kumi(10)na sasa wamekufa saba(7) wamebakia watatu tu?Hebu tueleze nini maana ya vita/mapambano?Kwamba ulitaka yale ya kwenye sinema asife hata mmoja?
Upo serious?Trump kwani kisha shika madaraka, afu mnamkuza huyo mbele ya Hezbullah na Al Houthi hana lolote. Hata Iran atamchapa Israel nyie tegeni masikioa True Promise 3 ipo njiani.
Sipo serious vipi, kumbe kala kiapo tayari kuwa yeye Rais hongera sana. Haya hata kama unataka kumuanzisha awe Rais kabla ya tarehe 20th January 2025. Muambie Hezbullah, Al Houthi na Iran hawatishwi naye wakati utaongea.Upo serious?
Basi sawaSipo serious vipi, kumbe kala kiapo tayari kuwa yeye Rais hongera sana. Haya hata kama unataka kumuanzisha awe Rais kabla ya tarehe 20th January 2025. Muambie Hezbullah, Al Houthi na Iran hawatishwi naye wakati utaongea.
Israel alitegemea akijidai kusimamisha vita Lebanon in one side, serekali ya Lebanon watawatia pressure Hezbullah wasimamishe vita. US alienda kuwahonga hao serekali ya Lebanon ambao ni masunni kwa kusaidiwa na Saud Arabia na UAE ili watume jeshi la Lebanon kule border na Hezbullah warudishe km 15 nyuma ya mto Letani. Pia walitaka serekali ya Lebanon iruhusu ndege za Israel ziwe zinahaki ya kushambulia anytime, wakiona kuna hatari upande wa Hezbullah. Pia Hezbullah azuwiwe kuingiza silaha Lebanon kwa njia ya Syria. US alisha toa ahadi wakifanya hayo serekali ya Lebanon watapewa msada wa US wa kijeshi na mabilioni ya pesa kuijenga Lebanon kutoka US, UAE na Saud Arabia.Hezbollah wamempa kipigo alidhani ataingia kirahisi rahisi anatafuta sababu ya kujiondoa kwa US alivyojiondoa vietnam.
Wao si waligoma kuisikiliza UN hadi katibu mkuu akapigwa marufuku kukanyaga Israel.
Hao ma Mods ni wafuasi wa mkosa nyumba, lazima wawatetee wanajeshi wa taifa fake la babu yao 😄Mods bana hawataki kabisa kusikia hizi habari za kuuliwa Waisrael, kuna uzi nilinzisha wanajeshi wa Waisrael wanaendelea kufa wamemipiga pini siwezi kupost😂
Tazama mwanzo wa mada niliweka breaking news, hio channel ilisema ni channel 12 ya Israel ndio ilisema, wanataka kusimamisha vita upande mmoja. Walikuwa ndio wameisha amua vile na dalili pia ni hio hapa ingine. Hezbullah akasema mpaa Israel akubali wanacho taka wao Hezbullah sio serekali ya Lebanon ikubali wanacho taka Israel.Hizi habari za israel kukimbia Lebanon mnazipata msikiti gani nyie
Badala ya kurudisha watu wa kaskazin lakini mpaka telaviv wamefikiwaWatakuwa wamefanya jambo la aibu. Walienda kwenye vita kwa target ya kurudisha watu wao kule North hawakurudi mpaa leo. Walitaka Hezbullah waondoke border Hezbullah wapo, hawajarudi mpa mto Letani kama walivyo taka wao. Walipo fanikiwa kwenye pager na kuwaua viongozi wa Hezbullah, wakasema hatusimamishi vita mpaa Hezbullah awe disarmed. Hayo yote hakuna alicho fanikiwa. Kwa hio kashindwa vita.
Unajifariji tu wewe Israel ni mbabe wao ndo maana anafanya afanyavyo na hakuna mtu anaethubutu kuizuia ndo maana hata Irani wametulizwa kwao huko wamebeki kulia Lia tuHuna jipya umebaki kubwabwaja kijana mdogo MBYA .
Nadhani nondo zimekupata kiuhakika na umejifunza vya kutosha.
Siku nyingine uliza uelimishwe.
Habari ndio hio Israel wanasingizia watasimamisha vita North kwa mda kutokana na UN itatoa Resolution kuhusu Gaza. Swali toka lini Israel ilifata sheria za UN. Hakuna zaidi ya moto wa Hezbullah unatisha wameona wakimbia kijanja huko Lebanon
Habari ndio hio Al Arab TV inasema hio ni Breaking news kutokana na Israel TV channel 12.
View: https://youtube.com/shorts/XhhX2vgRvaY?si=cCLRefvVPxmGWqTo
Iendelee tuone nani anaumia zaidi kati ya Israeli au waarabu saivi jamaa katawala anga anajibondea tuHezbollah wamempa kipigo alidhani ataingia kirahisi rahisi anatafuta sababu ya kujiondoa kwa US alivyojiondoa vietnam.
Wao si waligoma kuisikiliza UN hadi katibu mkuu akapigwa marufuku kukanyaga Israel.
Nimekuletea ushahidi wa habari wewe unaniletea maneno matupu,hivi unajielewa kweli wewe kijana!??Unajifariji tu wewe Israel ni mbabe wao ndo maana anafanya afanyavyo na hakuna mtu anaethubutu kuizuia ndo maana hata Irani wametulizwa kwao huko wamebeki kulia Lia tu
Kama atatawala anga mpaka vita iishe atashinda ila akishuka tu chini ataswagwaVita
Iendelee tuone nani anaumia zaidi kati ya Israeli au waarabu saivi jamaa katawala anga anajibondea tu